mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww nawe ni mtoto wa mtu na utakufa. Wote njia ni moja hakuna uspecial wowote kwenye kifo.Jamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana😭😭😭😭😭 mama yake atalia sana, huyu sio raisi tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.
Sasa kama mm nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Kwa Mtu committed; Mungu hana mipaka kwamba eti mpaka uambiwe; Hata ukiomba dua ya Uzima kwa Rais; bado inaweza kufanya kazi; Kwamba eti mpaka usubiri uambiwe kitu ndio uanze dua mie naona hiyo sio sawa.Laiti tungeambiwa mh.anaumwa hata dua zingefanywa makanisani na misikitini then Mungu angeamua lakini kwa hali hii sio vizuri kwa kweli
Nasubiria jibu!Makao makuu Dodoma vipi?
Tuendelee na mradi wa bandari ya Bagamoyo sasaKama Bagamoyo,mtwara n katavi
Mali za marehemu!Mnajadili vitu gani wakati tupo kwenye msiba
Uongo utaacha lini?Unadhani watu wananunuliwa kirahisi kama nguo dukani? Niliacha siasa kwa sababu zangu mwenyewe.mapenzi ya chama changu yako moyoni sio lazima niseme hapa. Sikuwahi kuwa mwana CCM hadi leo. Kinachoniuma ni kifo cha mtu basi hata angekufa mtu mwingine ningeumia hivi hivi.
Mradi wa bandari ya Bagamoyo lazima tuufufue!Kama ilivyokuwa BANDARI YA BAGAMOYO na huko pia miradi yake haina tija kwa Taifa,labda hospitali tu.
Ni lazima tuendelee kuwaza na kuhoji mambo mengine.Badala uwaze maombi wewe wawaza Mali za duniani naomba utuache tuko na msiba mnene mpendwa wa taifa kaondoka niko na majonzii.
Pole sanaJamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana😭😭😭😭😭 mama yake atalia sana, huyu sio raisi tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.
Sasa kama mm nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Natamani aamke akute jinsi watu walivyopokea kifo chake. Angezimia milele. Iwe fundisho kwa viongozi waliobaki.Jamaa alikuwa mjinga sana,imagine karne ya 21 jitu lina PhD lakini linakumbatia ukabila na ukanda!😖😖😖
Msiba huu kila mtu ametafsiri kivyake. Hauna umoja wa kitaifa.Mnajadili vitu gani wakati tupo kwenye msiba
Ulishawaza kuhusu Ben, wazazi wake, mkewe na watoto wake?Jamaniiii huyu baba ameniumaaaaaa, achilia mbali mambo ya siasa huyu ni mtoto wa mtu, ana mama jamani, mama yake ni mzeee sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] mama yake atalia sana, huyu sio raisi tu bali ni mtoto wa mtu. Ana familiya ana watoto.
Sasa kama mm nalia hivi huko familiya yake wana hali gani? Kifo ni fumbo. Mungu mpokee huyu mtoto kama sisi tulivyozaliwa.
Tutalipwa hapa hapa DUNIANI. Issue ya Kabendera na mama yake iliniumiza sana. KAMA mzazi nilisikitika mno. Pua inaangalia chini kutuifunza kuwa wanyenyekevu na wenye ubinadamu. Sina mengi.Unamjua Erick Kabendera , hivi yeye hakuwa mtoto wa mtu???
Mama yake aliomba kupitia vyombo vya habari kuwa Raisi amsaidie mtoto wake kwa sababu ndiye tegemeo lake.
Aliziba masikio mwisho mama alifariki na bado Erick hakupata nafasi ya kwenda kumzika mama yake.
Hivyo Karma is bitch ....
Ukilia lia na Mungu wako kwa maana hata wewe haujui utafikia wapi.
Ule ulikuwa ni unafiki tuPoint yangu inabase kwenye jinsi ambavyo viongozi wa serikali walikuwa wanaitetea hiyo miradi, najiuliza je wataiendeleza?