Nini kazi ya hizo Sayari zilizobaki ukiondoa Dunia?


Maswali mepesi sana, hata darasa la 7 anajibu kwa ufasaha..., hivyo vijiswali haviwezi kujenga hoja za uhali/kazi za sayari nyingine ndani na nje ya solar system yetu
 
Kwa uelewa wangu mdogo najua Jupiter inazuia dunia isigongwe/isipitiwe na vimondo

How? alligment ya dunia na Jupiter ipo tofauti sana, kumbuka kuwa sayari hazipo kwenye level moja horizontally......!
 
Maswali mepesi sana, hata darasa la 7 anajibu kwa ufasaha..., hivyo vijiswali haviwezi kujenga hoja za uhali/kazi za sayari nyingine ndani na nje ya solar system yetu
Pole....acha waje wasomi wenzangu!! U r of grass root!! Yan below human brain cc
 
How? alligment ya dunia na Jupiter ipo tofauti sana, kumbuka kuwa sayari hazipo kwenye level moja horizontally......!
Kama sijakosea jupita ni sayari ya tano katika mfumo wetu wa jua. Ni sayari ambayo ina gravitational force kubwa kulinganisha na zingine. Kati ya jupita na mars kuna ukanda unaitwa asteroid belt ni sehemu ambayo vimondo hupatikana hivyo vimondo Vingi vinadondokea(vinavutwa) kwenye hii sayari kwa sababu ya gravitational kubwa iliyonayo hivyo inasaidia kuzilinda sayari kama mars na hii dunia vinginevyo vimondo vingekuwa vinaungukia duniani kwa wingi Sana.

Hii sayari inakadiliwa ingekuwa ni nyota kama ingekuwa Mara 76 ya ukubwa wake wa sasa kwa sababu ya wingi wake wa hydrogen na helium na pia inaweza kutoa radiation yenyewe mbali na ile ya jua. Nadhani utakuwa umeelewa ni kwa vipi hii inaiprotect pia dunia.
 

Chai hii...cjui umesoma hadi langapi
 

Kama movie flani hivi..
 
Hili ndicho nikiwazacho mimi na uwelewa wangu huu wa mambo ya anga. Tatizo watu wengi wanajua kiumbe ni mpaka ki consume oxygen au Carbon dioxide. Kwa level ya technology yetu tumeshindwa kuditect viumbe vingine viishivyo sayari nyingine. Ila in only a small observable space of the universe na kugundua kuwepo kwa billions of galaxies ndani yake kukiwa na zaidi ya billions 100 ya sayari I come into conclusion that there's possibility of life existence some where out there na sio kwenye sayari hii tu moja dunia.
 
And why don't we go there!!? Or even try!?
Haha you have made me laugh my friend. Wanasayansi wanasema mwanga tu unachukua miaka milioni kibao(light years) kufika na unajua hakuna kitu chenye kasi zaidi ya mwanga mpaka sasa. Je binadamu tutafika baada ya muda gani huko kwa hizi space ships zetu?

Na hata ikitumwa kwenda kwenye nyota nyingine ikifika na kurudi itamletea nani taarifa maana wote tutakuwa tumeshakufa.
 

Duuuh
watu wa HKL utawajua tu
 
Solar System yetu ina sayari almost 9 zinazofahamika lakini kuna Billions of Solar Systems kwenye hii Galaxy ya Milk Way Galaxy, na kuna billions of Galaxies. No one knows if tupo alone.

Hakuna kazi inayotusaidia sisi directly ila Stars zina kazi na zimetengeneza Elements kutoka katika element ya kwanza ya Hydrogen. Others elements zinazofuatia zimetoka kwenye fussions za star. Pia stars zinatoa mwanga na heat.

Sayari nyingine ni kama useless lakini nazo zina elements mbalimbali na zinatusaidia kufahamu jinsi evolvement ya Sayari kwani mpaka sasa elements zake zinatupa ishahidi kuwa all planets zina common minerals ambazo zinaonyesha zimetoka katika evolvement moja. So, other planets zinatusaidia kuuelewa ulimwengu na probably kuna ambazo zilishakuwa na uhai au zitakuja kuwa na uhai million of years to come.

Ilishapatikana Meteorite nje ya dunia yenye fossilized bacteria and ice. Water and life havijaanza hapa duniani. Its like a virus. Vimetoka katika Nebula. Nebula ni zote iliyopo kama Gas au Cloud yenye maji, chumvi na DNA elements. Probably kama zinavyopita nje ya sayari vinaweza kuwa ilipita au part of nebula ilipita na kufika duniani kuanzisha first unicellular organism.

Its complicating lakini kuna vitabu ukisoma utajifunza mengi kuhusiana na nini kinachofahamika mpaka sasa kuhusiana na Ulimwengu wa nje ya dunia.
 
Life is like a virus. When it reach suitable environment to survive it evolve from single cell organism DNA which create its own food kwa photosynthesis to complex organisms like Human.

Hail the Creator. The greatest designer and Architect of the Universe. The Source. The Universal Mind. The Universal Consciousness.
 
1971 Mariner 9 ilitumia siku 167 na 2004 NASA Rover ilikadiriwa miezi 8.5 kufika Mars
I am talking stars, not planets.

We have gathered much of the information about planets in our local solar system. Complete with a Pluto flyby.

To get to exoplanets we need to do interstellar travel

Umbali wa Alpha Centauri, the nearest star, ni about 177,778 times umbali wa Mars.

Kwa makadirio yako hayo, tutachukua miezi 8.5 x 177,778 = miezi 1,511,111 = miaka 125,926.

Teknolojia ya sasa haipo tayari kwa interstellar travel. Hata kwa kwenda nyota iliyo karibu nasi kuliko zote.

Na kuna nyota ziko mamilioni na mabilioni ya umbali huo. Maana yake uchukue miaka 125,926 uizidishe kwa mamilioni na mabilioni.

Kwa mfano ili kwenda kwenye nyota iliyo 6 times umbali wa Alpha Centauri system, just in the neighborhood by interstellar standards.If we have to go to a star 6 times the distance to Alpha Centauri that, by your figures, will take us 755,555 years.The Milky Way Galaxy is 100,000 light years across, Alpha Centauri is just under 4.4 light years away from us, we have to go 11 times the distance to Alpha Centauri to travel half the distance across the Milky Way)
 

Interesting [emoji106]
 
Chai hii...cjui umesoma hadi langapi
Nina Master of Tourism Management kutoka Chuo Kikuu cha Ryukus, Okinawa - Japan. Unaweza kuona ngazi hiyo ya elimu mtu anakuwa amefikia "la ngapi". Kazi kwako wewe Mbulula unayekebehi kila kitu bila kushirikisha ubongo wako, kizazi cha sasa hivi unauliza la ngapi badala ya kuuliza kidato cha ngapi.

Kama ungekuwa umefikia la ngapi, ungefahamu kuwa hata kichaa akiongea unaweza kupata moja la kukusaidia kuliko kupuuza kila kitu kutoka kwake. Kwa mfano, nilichokisema hapo juu, kinaonyesha uwepo wa "Super Power" (Mungu au Nguvu nyingine) ambayo inaratibu uwepo wa maisha ya binadamu, kama unapinga kwa kuyaita mawazo yangu chai, je, unaweza kutengeneza hata unywele wako mmoja ?
 
ukifa unahamia sayari ingine,ila hujijua kwani memory za nyuma zinakuwa deleted

mtu akifa tunamzika na baada ya siku kadhaa ukienda kufukua unakuta ameoza sasa hyo sayar nyingine anampeleka na nan?
 
Huu ukanda wa vimondo mnaozungumzia (Asteroid belt), ni lini hizi vimondo vitaacha kuanguka? je vimondo hizi zinazaliana kila kukicha? wanasayansi wanasema nini kuhusu Jupiter kuvuta Vimondo? havita jaa siku moja ikazidiwa nguzu kutokana na uwingi wa Vimondo?

Ya Ulimwengu mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…