Nini kazi ya hizo Sayari zilizobaki ukiondoa Dunia?

Nini kazi ya hizo Sayari zilizobaki ukiondoa Dunia?

Tungeanza kujua dunia inafanyaje kazi tena kwa ushahidi wa kuonekana hili swali tungelijibu!! Mfano tujiulize:-
1. Why gravitational force?
2. Is the world spherical?
3. If spherical jua lipo upande gan mwa dunia? Cz hakuna juu ya dunia...,
4. Ni how valid is corriolis and centrifugal force?
N. K n.k n.k....si maswali mepesi, geographers wanajua.

Maswali mepesi sana, hata darasa la 7 anajibu kwa ufasaha..., hivyo vijiswali haviwezi kujenga hoja za uhali/kazi za sayari nyingine ndani na nje ya solar system yetu
 
Kwa uelewa wangu mdogo najua Jupiter inazuia dunia isigongwe/isipitiwe na vimondo

How? alligment ya dunia na Jupiter ipo tofauti sana, kumbuka kuwa sayari hazipo kwenye level moja horizontally......!
 
Maswali mepesi sana, hata darasa la 7 anajibu kwa ufasaha..., hivyo vijiswali haviwezi kujenga hoja za uhali/kazi za sayari nyingine ndani na nje ya solar system yetu
Pole....acha waje wasomi wenzangu!! U r of grass root!! Yan below human brain cc
 
How? alligment ya dunia na Jupiter ipo tofauti sana, kumbuka kuwa sayari hazipo kwenye level moja horizontally......!
Kama sijakosea jupita ni sayari ya tano katika mfumo wetu wa jua. Ni sayari ambayo ina gravitational force kubwa kulinganisha na zingine. Kati ya jupita na mars kuna ukanda unaitwa asteroid belt ni sehemu ambayo vimondo hupatikana hivyo vimondo Vingi vinadondokea(vinavutwa) kwenye hii sayari kwa sababu ya gravitational kubwa iliyonayo hivyo inasaidia kuzilinda sayari kama mars na hii dunia vinginevyo vimondo vingekuwa vinaungukia duniani kwa wingi Sana.

Hii sayari inakadiliwa ingekuwa ni nyota kama ingekuwa Mara 76 ya ukubwa wake wa sasa kwa sababu ya wingi wake wa hydrogen na helium na pia inaweza kutoa radiation yenyewe mbali na ile ya jua. Nadhani utakuwa umeelewa ni kwa vipi hii inaiprotect pia dunia.
 
Huo ndo ukweli wenyewe, ndo maana mtoto akizaliwa huingia duniani kwa kulia ilhali wale anaowakuta wanafurahi ina maana analia kwa sababu ameacha watu aliokuwa amewazoea nao huko wanalia, kama mtoto hakulia wakati wa kuzaliwa haiwezi kuishi, inabdi afe ili kurudi huko alikotoka. Lakini, tena mtu akifa, yeye hunyamaza tu ilihali wale waliobaki wanalia, kwa maana nyingine ni kwamba huko anakoenda watakuwa wanafurahi kupokea mgeni ilihali huku anakotoka wanasikitika kuondokewa na mtu waliyemzoea.

Chai hii...cjui umesoma hadi langapi
 
Kama movie flani hivi..
 
Kwani neno kiumbe maana yake nini? Mungu ameumba viumbe tunavyoweza kuviona na tusivyoweza kuviona, tena hata tunavyoweza kuviona anaruhusu mwenyewe kuviona/kuvumbua/gundua kutokana na wakati. Mfano Mwanzo ilijulikana dunia ni kama meza, kumbe ni mviringo. Kuna watu walitangaza laana kwa wale walokwenda kwenye mwezi kwa kuwa wanaenda kumchokoza kwenye makao yake, walifikiri mbinguni ni juu ya utosi wao, leo ni safari za kawaida. Na vyombo vya masafa vipo zaidi ya Pluto sayari iliyozaniwa ni ya mwisho kumbe zipo nyingine kibao kwa jina la Gallaxy, kuna wakati Joshua 'alisimamisha jua', kumbe dunia ndo iliacha kuzunguka, jua halitembei wala kuzunguka!Mungu hashindwi kitu, Funguka ufahamu!kuna viumbe kama nyungunyungu wanaishi ardhini,hewa wanapate, lkn wanaishi,kuna bacteria,virus etc, mfumo wao wa kuishi ni tofauti kabisa na sisi, funza chooni, seal chini ya maji ambayo juu yameganda barafu huko Canada, Alaska nk. Wameanza kuonekana UFO, Alliens nk. Kuna Wanefil na Waanaki nk. Je majini,Shetani,Maroho,Mizimu,Voudoo, Angles etc. Nenda kwa ma Yoga na Budhaa(google) huko ndo utachanganyikiwa! Naamini, vile Mungu aliziumba hizo sayari pia kunaweza kuwa kuna viumbe vya namna yake, ni jambo ka wakati tu kuvigundua tena pale atakapotufunulia Yeye.
Hili ndicho nikiwazacho mimi na uwelewa wangu huu wa mambo ya anga. Tatizo watu wengi wanajua kiumbe ni mpaka ki consume oxygen au Carbon dioxide. Kwa level ya technology yetu tumeshindwa kuditect viumbe vingine viishivyo sayari nyingine. Ila in only a small observable space of the universe na kugundua kuwepo kwa billions of galaxies ndani yake kukiwa na zaidi ya billions 100 ya sayari I come into conclusion that there's possibility of life existence some where out there na sio kwenye sayari hii tu moja dunia.
 
And why don't we go there!!? Or even try!?
Haha you have made me laugh my friend. Wanasayansi wanasema mwanga tu unachukua miaka milioni kibao(light years) kufika na unajua hakuna kitu chenye kasi zaidi ya mwanga mpaka sasa. Je binadamu tutafika baada ya muda gani huko kwa hizi space ships zetu?

Na hata ikitumwa kwenda kwenye nyota nyingine ikifika na kurudi itamletea nani taarifa maana wote tutakuwa tumeshakufa.
 
Hili ndicho nikiwazacho mimi na uwelewa wangu huu wa mambo ya anga. Tatizo watu wengi wanajua kiumbe ni mpaka ki consume oxygen au Carbon dioxide. Kwa level ya technology yetu tumeshindwa kuditect viumbe vingine viishivyo sayari nyingine. Ila in only a small observable space of the universe na kugundua kuwepo kwa billions of galaxies ndani yake kukiwa na zaidi ya billions 100 ya sayari I come into conclusion that there's possibility of life existence some where out there na sio kwenye sayari hii tu moja dunia.

Duuuh
watu wa HKL utawajua tu
 
Solar System yetu ina sayari almost 9 zinazofahamika lakini kuna Billions of Solar Systems kwenye hii Galaxy ya Milk Way Galaxy, na kuna billions of Galaxies. No one knows if tupo alone.

Hakuna kazi inayotusaidia sisi directly ila Stars zina kazi na zimetengeneza Elements kutoka katika element ya kwanza ya Hydrogen. Others elements zinazofuatia zimetoka kwenye fussions za star. Pia stars zinatoa mwanga na heat.

Sayari nyingine ni kama useless lakini nazo zina elements mbalimbali na zinatusaidia kufahamu jinsi evolvement ya Sayari kwani mpaka sasa elements zake zinatupa ishahidi kuwa all planets zina common minerals ambazo zinaonyesha zimetoka katika evolvement moja. So, other planets zinatusaidia kuuelewa ulimwengu na probably kuna ambazo zilishakuwa na uhai au zitakuja kuwa na uhai million of years to come.

Ilishapatikana Meteorite nje ya dunia yenye fossilized bacteria and ice. Water and life havijaanza hapa duniani. Its like a virus. Vimetoka katika Nebula. Nebula ni zote iliyopo kama Gas au Cloud yenye maji, chumvi na DNA elements. Probably kama zinavyopita nje ya sayari vinaweza kuwa ilipita au part of nebula ilipita na kufika duniani kuanzisha first unicellular organism.

Its complicating lakini kuna vitabu ukisoma utajifunza mengi kuhusiana na nini kinachofahamika mpaka sasa kuhusiana na Ulimwengu wa nje ya dunia.
 
Life is like a virus. When it reach suitable environment to survive it evolve from single cell organism DNA which create its own food kwa photosynthesis to complex organisms like Human.

Hail the Creator. The greatest designer and Architect of the Universe. The Source. The Universal Mind. The Universal Consciousness.
 
1971 Mariner 9 ilitumia siku 167 na 2004 NASA Rover ilikadiriwa miezi 8.5 kufika Mars
I am talking stars, not planets.

We have gathered much of the information about planets in our local solar system. Complete with a Pluto flyby.

To get to exoplanets we need to do interstellar travel

Umbali wa Alpha Centauri, the nearest star, ni about 177,778 times umbali wa Mars.

Kwa makadirio yako hayo, tutachukua miezi 8.5 x 177,778 = miezi 1,511,111 = miaka 125,926.

Teknolojia ya sasa haipo tayari kwa interstellar travel. Hata kwa kwenda nyota iliyo karibu nasi kuliko zote.

Na kuna nyota ziko mamilioni na mabilioni ya umbali huo. Maana yake uchukue miaka 125,926 uizidishe kwa mamilioni na mabilioni.

Kwa mfano ili kwenda kwenye nyota iliyo 6 times umbali wa Alpha Centauri system, just in the neighborhood by interstellar standards.If we have to go to a star 6 times the distance to Alpha Centauri that, by your figures, will take us 755,555 years.The Milky Way Galaxy is 100,000 light years across, Alpha Centauri is just under 4.4 light years away from us, we have to go 11 times the distance to Alpha Centauri to travel half the distance across the Milky Way)
 
I am talking stars, not planets.

We have gathered much of the information about planets in our local solar system. Complete with a Pluto flyby.

To get to exoplanets we need to do interstellar travel

Umbali wa Alpha Centauri, the nearest star, ni about 177,778 times umbali wa Mars.

Kwa makadirio yako hayo, tutachukua miezi 8.5 x 177,778 = miezi 1,511,111 = miaka 125,926.

Teknolojia ya sasa haipo tayari kwa interstellar travel. Hata kwa kwenda nyota iliyo karibu zote.

Na kuna nyota ziko mamilioni na mabilioni ya umbali huo. Maana yake uchukue miaka 125,926 uizidishe kwa mamilioni na mabilioni.

Kwa mfano ili kwenda kwenye nyota iliyo 6 times umbali wa Alpha Centauri system, just in the neighborhood by interstellar standards.If we have to go to a star 6 times the distance to Alpha Centauri that, by your figures, will take us 755,555 years.The Milky Way Galaxy is 100,000 light years across, Alpha Centauri is just under 4.4 light years across, we have to go 11 times the distance to Alpha Centauri to travel half the distance across the Milky Way)

Interesting [emoji106]
 
Chai hii...cjui umesoma hadi langapi
Nina Master of Tourism Management kutoka Chuo Kikuu cha Ryukus, Okinawa - Japan. Unaweza kuona ngazi hiyo ya elimu mtu anakuwa amefikia "la ngapi". Kazi kwako wewe Mbulula unayekebehi kila kitu bila kushirikisha ubongo wako, kizazi cha sasa hivi unauliza la ngapi badala ya kuuliza kidato cha ngapi.

Kama ungekuwa umefikia la ngapi, ungefahamu kuwa hata kichaa akiongea unaweza kupata moja la kukusaidia kuliko kupuuza kila kitu kutoka kwake. Kwa mfano, nilichokisema hapo juu, kinaonyesha uwepo wa "Super Power" (Mungu au Nguvu nyingine) ambayo inaratibu uwepo wa maisha ya binadamu, kama unapinga kwa kuyaita mawazo yangu chai, je, unaweza kutengeneza hata unywele wako mmoja ?
 
ukifa unahamia sayari ingine,ila hujijua kwani memory za nyuma zinakuwa deleted

mtu akifa tunamzika na baada ya siku kadhaa ukienda kufukua unakuta ameoza sasa hyo sayar nyingine anampeleka na nan?
 
Huu ukanda wa vimondo mnaozungumzia (Asteroid belt), ni lini hizi vimondo vitaacha kuanguka? je vimondo hizi zinazaliana kila kukicha? wanasayansi wanasema nini kuhusu Jupiter kuvuta Vimondo? havita jaa siku moja ikazidiwa nguzu kutokana na uwingi wa Vimondo?

Ya Ulimwengu mengi.
 
Back
Top Bottom