CHADEMA ndo kinara wa harakati hizi za Ukombozi wa Nchi hii.
Mwenyekiti, Tundu Lissu yupo mahabusu, chama kimefutiwa Ruzuku, kama haitoshi chama hicho hicho kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa.
Nionavyo mimi ni kwamba, kwa mtiririko huu:-
1. Lissu hawezi kuachiliwa leo labda mpaka upite uchaguzi na baada ya kuundwa kwa serikali mpya.
2. Kesi iliyosababisha CHADEMA kupigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa haitakwisha leo. Itapigwa dana dana mpaka uchaguzi upite na baada ya kuundwa kwa serikali mpya.
3. Lakini pia, inawezekana kabisa karibu na uchaguzi viongozi wote wa CHADEMA kuswekwa ndani mpaka uchaguzi upite na baada ya kuundwa kwa serikali mpya.
Kutokana na hali hiyo, nashauri yafuatayo:-
1. Dini zote na madhehebu yake yote Tanzania nzima tutangaze siku kadhaa za maombi tukimwomba Mungu atume jeshi lake la malaika kuja kuchoma moto magugu yote na kubakiza ngano tu.
NB:- Njia kuu ya UKOMBOZI wa kweli wa Nchi hii ni kukubali kupita kwenye njia ya msalaba.
Bila kukubali kupita kwenye njia ya msalaba( kujisacrifice), itachukua miaka mingi sana tukiwa tunaendelea kulia lia tu. Hapa sina maana tuchukue silaha kwenda kupambana na vyombo vya dola, la hasha namaanisha kutumia mbinu, njia na maarifa ya pekee kabisa kuwahi kutumia katika Nchi hii.
Kwa Mungu yote yanawezekana.
Ahsante.