Sheria za uchaguzi zenyewe tunasubiria hisani ya mwenye madaraka mpk pale atakapojiskia, hivi hata kama ni wewe unaweza ruhusu mabadiliko yanayohatarisha ugali wako na jamaa zako?No Reform No Election.
Tufanye mabadiliko ya sheria za uchaguzi sasa ili tupate tume huru na ya haki, filbi ipigwe watu tujibwage wake kwa waume kuchague viongozi tunaowaamni.
.baada ya hapo sasa, tuanze UPYA kama TAIFA HURU
Mambo ya kupumbafu ya kutekana, kuuana itafikia mwisho.
TUNAWEZA - NO REFORMS NO ELECTION
FREE LISSU NOW.
Njia ya pekee iliyobaki kwa sasa ni hiyo tu. Ni njia ngumu na inahitaji kujitoa sadaka bila kujibakiza.Hakuna mbinu, njia wala maarifa yoyote zaidi ya wananchi wenyewe kuwakataa hadharani Kwa maandamano kama wafanyavyo gen z wa Kenya..hiyo ndio lugha pekee watawala wa kiafrika wananielewa...na kama wananchi bado hawako tayari Kwa hilo basi tuendelee kulipa madeni ya matrilioni ambayo wajanja wanajineemesha wao na vizazi vyao!
Kumbe Samia ni haki take kuwalipa mamilioni machawa Ili wakifa wasishangilieUkiona baadhi ya watu wanashangilia fulani akifa, utambue fika huwa wameumizwa sana na matendo ya huyo fulani enzi za uhai wake.
Katika mazingira ya kawaida kabisa, binadamu huwezi kufurahia kifo cha binadamu mwenzako. Ila kuna mazingira yanaweza kusababisha ukasherwhekea kabisa.
Viongozi wenye madaraka, achaneni na mambo ya kiburi, dharau, majivuno, matumizi mabaya ya madaraka, nk. Kumbukeni siku ya vifo vyenu mtatulia kama maji ya mtungi! Hamtatikisika, kuona, kusikia, wala kutoa matamko! Wapo watakao walilia, lakini pia wapo watakao furahia kufa kwenu.
We sio mtanzania je unataka nani apambane zaidi Yako wewe mwenyewe hili ndilo tatizo letu we unalaumu wenzio wakati na wewe ni mtanzania au umeshakufa maana umetuambia tupo tu kama wewe haupo dunianiWatanganyika mnapaswa mtambue kuwa CCM imeshikilia mifumo yote katika nchi yenu kuanzia serikali kuu, bunge, mahakama, jeshi la polisi na jeshi la wananchi. Ndio maana unaona viongozi wenu hawana hofu yoyote ile kwa yale wanayo yafanya maana wanajua hakuna chochote mtakacho wafanya, mbaya zaidi wameisha wajua nyie ni wananchi wa namna gani.
Kwa hiyo msijidanganye kuwa CCM mtawatoa madarakani kwa njia ya demokrasia hilo litoeni kichwani mwenu, njia ya kuitoa madarakani CCM kila mmoja anaijua. Ata CHADEMA wanajidanganya na hiyo operesheni hakuna lolote litatokea, Watanganyika ni watu wa ajabu sana, nchi inachezewa mpo tu na mambo ya ajabu ajabu.
We sio mtanzania je unataka nani apambane zaidi Yako wewe mwenyewe hili ndilo tatizo letu we unalaumu wenzio wakati na wewe ni mtanzania au umeshakufa maana umetuambia tupo tu kama wewe haupo duniani
Tunazibwa mdomo ,tutake tusitake!CHADEMA ndo kinara wa harakati hizi za Ukombozi wa Nchi hii.
Mwenyekiti, Tundu Lissu yupo mahabusu, chama kimefutiwa Ruzuku, kama haitoshi chama hicho hicho kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa.
Nionavyo mimi ni kwamba, kwa mtiririko huu:-
1. Lissu hawezi kuachiliwa leo labda mpaka upite uchaguzi na baada ya kuundwa kwa serikali mpya.
2. Kesi iliyosababisha CHADEMA kupigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa haitakwisha leo. Itapigwa dana dana mpaka uchaguzi upite na baada ya kuundwa kwa serikali mpya.
3. Lakini pia, inawezekana kabisa karibu na uchaguzi viongozi wote wa CHADEMA kuswekwa ndani mpaka uchaguzi upite na baada ya kuundwa kwa serikali mpya.
Kutokana na hali hiyo, nashauri yafuatayo:-
1. Dini zote na madhehebu yake yote Tanzania nzima tutangaze siku kadhaa za maombi tukimwomba Mungu atume jeshi lake la malaika kuja kuchoma moto magugu yote na kubakiza ngano tu.
NB:- Njia kuu ya UKOMBOZI wa kweli wa Nchi hii ni kukubali kupita kwenye njia ya msalaba.
Bila kukubali kupita kwenye njia ya msalaba( kujisacrifice), itachukua miaka mingi sana tukiwa tunaendelea kulia lia tu. Hapa sina maana tuchukue silaha kwenda kupambana na vyombo vya dola, la hasha namaanisha kutumia mbinu, njia na maarifa ya pekee kabisa kuwahi kutumia katika Nchi hii.
Kwa Mungu yote yanawezekana.
Ahsante.
We mbona upambani unataka nani akupambanie Amna mjinga wa kupambania mtuPambanieni nchi yenu acheni uzwazwa