Nini kilibadili mfumo wangu wa maisha na kuanza kufanya mazoezi (Physical fitness)....

Hongera Sana mkuu. Wengine maisha yetu ni kusafiri kila week mpaka kuweka ratiba nzuri unashindwa.

Kwa mtu wa safari ukifika room ya hotel au lodge hakikisha japo push ups 50 hadi 100, then ruka ruka juu kama wamasai hata mara 50 , halafu fanya situps kama 20, halafu fanya pranks hata kwa dakika tatu humo humo chumbani utatoka jasho ni dakika kama 20 hivi lakini zina maana sana
 
nikipita goba na mbezi beach naona wanaofanya asubuh ni watu wenye kipato cha juu tu, masikini wengi maisha yetu ni mazoezi tosha.
Lakini pia wao ndio wahanga wakubwa wa magonjwa yasiyoambukiza.
 
Unamkubalia kua wafanya mazoezi wote duniani wana uwezo wa hali ya juu? Hapana tubase kwenye faida za mazoezi kwanza kuimarisha afya ya mwili, kuukinga mwili na maambukizi ya magonjwa, kuongeza kinga ya mwili, kupunguza au kuondoa kabisa msongo wa mawazo, lakini pia specifically kuimarisha utendaji kazi wa ubongo na kuukinga ubongo dhid ya maambukizi, lakini michezo au mazoezi hukupatia marafiki wengi zaidi. Kama una nia ya dhati hata chumbani unafanya mazoezi vizuri tu
 
Umeandika vyema mkuu japo huu utaratibu wa kupimwa pressure,sukari n.k bila kupenda ni tatizo jingine. Umejikata kidole cha mguu, unaenda pimwa pressure. Pia binafsi nijuacho, ugonjwa kama pressure watu wengi wanatembea nao na pale uendapo kupimwa bila kupenda ndio unazidi kwani watakujengea hofu na pia madaktari wetu wengi sana hawana hekima ya kuongea na wagonjwa wa pressure.

Mama yangu kuna siku nilimpeleka hospitali kwa ajili ya kuumwa miguu. Pale masijala wakampiga Pressure. Ikakutwa kubwa, wakaanza kujiita madaktari wakawa watatu na kuanza mjadili. Tena wakaacha kuangalia tatizo la miguu, wao wakaanza mueleza kuhusu pressure ilihali haumwi sehemu yoyote wala hajawahi kuwa na tatizo hilo.
Wakamtengenezea hofu sana yule mama. Nashauri huu, utaratibu sio mzuri. Mtu atibiwe tatizo alilonalo na sio kuanza chokonoa pressure na UKIMWI kilazima.
Nadhani wameanzisha huu utaratibu kutokana na ukweli kuwa suala la Presha limekuwa underated ilhali ni Ugonjwa unaoshiriki kuua kwa kasi kubwa nowadays.. Na sababu kuu ni watu kutokuwa aware nao
 
Umeandika vyema mkuu japo huu utaratibu wa kupimwa pressure,sukari n.k bila kupenda ni tatizo jingine. Umejikata kidole cha mguu, unaenda pimwa pressure. Pia binafsi nijuacho, ugonjwa kama pressure watu wengi wanatembea nao na pale uendapo kupimwa bila kupenda ndio unazidi kwani watakujengea hofu na pia madaktari wetu wengi sana hawana hekima ya kuongea na wagonjwa wa pressure.

Mama yangu kuna siku nilimpeleka hospitali kwa ajili ya kuumwa miguu. Pale masijala wakampiga Pressure. Ikakutwa kubwa, wakaanza kujiita madaktari wakawa watatu na kuanza mjadili. Tena wakaacha kuangalia tatizo la miguu, wao wakaanza mueleza kuhusu pressure ilihali haumwi sehemu yoyote wala hajawahi kuwa na tatizo hilo.
Wakamtengenezea hofu sana yule mama. Nashauri huu, utaratibu sio mzuri. Mtu atibiwe tatizo alilonalo na sio kuanza chokonoa pressure na UKIMWI kilazima.
Hawa ni madaktari wetu wa bongo..yaani ni full kumchamba mgonjwa...mi walinikutaga pressure imepanda hadi 240 ilikuwa balaa kabisa ....walikuja madokta kibao wametoa macho na kuanza kuuliza nani kanileta nikawaambia nimedrive mwenyewe...duh
 
Kwa mtu wa safari ukifika room ya hotel au lodge hakikisha japo push ups 50 hadi 100, then ruka ruka juu kama wamasai hata mara 50 , halafu fanya situps kama 20, halafu fanya pranks hata kwa dakika tatu humo humo chumbani utatoka jasho ni dakika kama 20 hivi lakini zina maana sana
Watakufukuza
 
Hawa ni madaktari wetu wa bongo..yaani ni full kumchamba mgonjwa...mi walinikutaga pressure imepanda hadi 240 ilikuwa balaa kabisa ....walikuja madokta kibao wametoa macho na kuanza kuuliza nani kanileta nikawaambia nimedrive mwenyewe...duh
Kama huna utulivu na ukiingiwa na hofu. Unapitiliza moja kwa moja. Wanaua sana wagonjwa wa Pressure kwa hofu na mishtuko (Heart attack). Mtu anakupiga zile picha zao sijui echo, sijui E.C.G na unaona na kusikia moyo wako unavyodunda then jamaa "anakuambia Sikia moyo wako unavyodunda kwa nguvu" yaani ni vitisho juu ya vitisho
 
Back
Top Bottom