Nini kilikuwa chanzo cha mapato ya Bwana Yesu?

Yesu aliweza kufanya MIUJIZA. Kwa hiyo moja kwa moja alikuwa ana advantage, rejea kwenye karamu ya Kana, na pale walipokuwa na mikate mitatu na samaki wawili.
Yohana 2:1-11 harusi ya Kana
 
Kana alitengeneza divai
 
mkuu alionekana dhaifu wapi ulipomuona Jesus dhaifu?
 
Sadaka na michango toka kwa wafadhili, hasa Lazaro (aliyefufuliwa) na dada zake Martha na Maria Magdalena. Hii familia ya hawa ndugu watatu ilikuwa tajiri sana.
 
"Umesema"
Yesu alikuwa anajiamini kuliko rais wa nchi Herode hadi wadau wanamtumia TISs?

Hii ya TISs imefanana na story ya Mshkaji Lisususu!!!
 
Watu mmeambiwa mtubu na kuacha dhambi lakini mnainvestigate mpaka uchumi wa Mwana wa Mungu
Hahahaha Mkuu umenichekesha kwa sauti.

Maandiko yanasema bila kumjua Mungu na Yesu aliyemtuma hatuwezi kuuona ufalme. Yohana 17:3

Hapa tunamchunguza Yesu katika eneo LA uchumi ili tumjua katika kona zote.
 
Riwaya ya kijana wa mzee Yozefu huwa inasisimua sana.
Kifup tu huyu Bwana alitokea kipindi murua wayahudi wameshachoshwa na ukoloni wa warumi. Alidhaniwa ndo mkomboz. Hata mitume waliota vyeo kama uwaziri. (Had anauawa na mamlaka ya kisiasa wanafunz wake hawakuwa wameelewa kitu kuhusu mission yake). Alipata sana michango ya kiupendo toka kwa wayahudi wakiamini anafanya harakat za ukomboz. Bahat mbaya haikuwa hivyo!
Mbaya zaid aliishi maisha ya ujana hivi. Kula na kunywa pamoja na mastaa, tycoons, "video vixens", "slay queens" na "pisi kali" kama Maria magdalena!
Kitu kizur alichosaidia ni kupunguza makali ya torati kwa kuibua udhibiti wa tabia kwa mbinu ya upendo kuliko adhabu!
Alipokuja Muddy, alijua mapungufu ya mtanguliz wake. Akarudi kwenye mafundsho yanayoendana na mahitaji ya kijamii na asiki yenyewe ya binadam. Mf kuruhusu wake weng mana wanaume weng walishakufa vitani! Pia kuruhusu mtoto kuolewa endapo tu kavunja ungo! Kumbana mwanamke kuwa chini ya nwanamme. Ni kama torat version mpya! Na ilifit mila na destur za walengwa, tofaut na sera za kijana wa mzee Yozefu!
 
Mkuu tatizo huyu anayedai kuchukua mikoba alikuwa anatumia nguvu badala ya miujiza kupush agenda zake.

Alafu alikuwa ameajiliwa wakati mtangulizi bizness na ujasiliamali alikuwa anaingia front mwenyewe kabla ya kuacha mwisho ni aliporecruit wale mitume hapo ndio panaacha swali LA jinsi alivyofund harakati za ukombozi.


Ila wadau wamejibu vzr sana
 
The Bible teaches that Jesus Christ is both God and man. Deuteronomy 8:18 But remember the LORD your God, for it is he who gives you the ability to produce wealth, and so confirms his covenant, which he swore to your ancestors, as it is today.THEREFORE to Jesus wealth,finances etc wasn't a big deal because He's himself son of God and all wealth belongs to him. I hope you have your answer now. Karibu.
 
Sadaka na michango toka kwa wafadhili, hasa Lazaro (aliyefufuliwa) na dada zake Martha na Maria Magdalena. Hii familia ya hawa ndugu watatu ilikuwa tajiri sana.
Mkuu hawa walikuwa masikini wanaishi Bethania Jerusalem kijijini huko nje ya ukuta.

Masponsor nadhani walikuwa wale

Simon Mkoma,Tajiri
Zakayo Mzee wa TRA ya uyahudi
Yusuphu wa armathaya huyu alisponsor Kaburi LA matajiri. Yesu alizikwa makaburi ya matajiri wa kubwa sana.

Hakuzikwa kwa makapuku huku kwetu kwa mnyamani graves.
 
Kama unaamin Mungu ndie aliyeumna kila kitu.. sayar na nyota na vyote vilivyomo.. anajua jana leo na kesho.. anauwezo wa kufanya chochote kila.. pia tunaamin jesus was/is God too...

Hiv kwel inaingia akilin.. et atoke huko alikokua na ukuu wote .. na uwezo wake wooote aje dunian akae 30+ yrs et kisa amsaidie mwanadam ambae kashindikana et asifanye makosa??

Hiv kuna ukwel hapa?
 
I
I believe Bro.
Turudi kwenye mfuko wa fedha za Yesu ulikuwa unatunzwa na kijana wa mzee Iskariyote...

Pesa alizokuwa anazitunza aliItoalea wapi. Au zilitoka Mbinguni automatically
 
Yuda hakumuuza kwa bahatimbaya, iliku kukamilisha mpango wa Mungu juu ya ukombozi wa mwadamu. Ilimpasa yesu kufa
Yuda alijua Yesu atawakimbia lakini iliandikwa ole wake yeye atakayemsaliti mwana wa adamu ni heri kwake kama asingezaliwa
 
I

I believe Bro.
Turudi kwenye mfuko wa fedha za Yesu ulikuwa unatunzwa na kijana wa mzee Iskariyote...

Pesa alizokuwa anazitunza aliItoalea wapi. Au zilitoka Mbinguni automatically
There is no where in the Bible where we read Judas was an evil man up until he plotted evil through his handheld coffers to betray Jesus. Kwa hiyo mapato aliyobeba yalikuwa halali isipokuwa NIA OVU ya Yuda kutenda uovu yaani Mens rea ndo iliharibu kila kitu na kuzalisha Acrus rea NIA VS KUSUDIO la kutenda uovu...hivyo hakuna mapato yasiyo halali aliyobeba Yuda ila nia yake na matendo yake maovu ndo yaliharibu
 
kwa imani yangu, mafungu ya kumi na sadaka zilikuwa zinaenda kwenye masinagogi, havikua vinatolewa kwa mtu binafsi, hivyo sadaka wala mafungu hayakupelekwa kwa Yesu.

Yesu alizaliwa na kukulia kwenye familia ya selemala. hapo huwezi kusema hakuwa selemala, na huwezi kusema hakuwa anafanya kazi kupata kipato. pia, wanafunzi wa Yesu, mitume walikuwa 12, ila thenashara (wanafunzi wasio mitume) walikuwa 70. hawa wote walikuwa wanafanya shughuli zao binafsi, sio kwamba muda wote kuanzia asubuhi hadi jioni Yesu alikuwa anatangatanga akihubiri tu, hapana, alikuwa anafanya kazi zingine pia. wanafunzi wake wengine walikuwa wavuvi wakubwa tu. nakumbuka kuna siku moja aliwatembelea wanafunzi wake, akawauliza leo tuna chakula gani, wakamwambia Rabi, tumehangaika usiku kucha kuvua samaki hatujapata chochote, basi yeye akawaamuru warushe nyavu na wazivute, waliporusha tu wakapata samaki za kimiujiza hadi nyavu zilitaka zianze kukatika. wanafunzi wake wakashangaa mno. kumbe usiku wote wa jana yake wanafunzi wake ambao walikuwa wavuvi walishinda baharini wakivua, walikuwa na shughuli zingine pia kumbe, sio kwamba walikuwa wakizunguka kuhubiri tu.

pia, kama maisha ya Yesu, au Biblia ingeandikwa kila kitu, wala isingetosha, kuna mengi hayajaandikwa ambayo yalitokea enzi zake, na mengine yanayohusu maisha yake.
 
Mkuu wale manasara 12 walianza kuvua baada ya Yesu kufa. Walipokuwa na Yesu sijaona andiko wanavua. Walivua kabla na baada.

Kila alikuwa nao began kwa bega
 
Wafadhili,kama Lazarus au Joseph of Arimathea .
Pia Yesu alikuwa anatibu watu anapata mikwanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…