matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #61
Mzee wa sakramenti unaniangusha. Kuna jamaa hapo amenikumbusha kitu.Mi mkristo, tena mkatoliki pure niliyepata mafundisho yote na sakramenti zote za lazima.
Naielewa Dini vizuri mkuu, hakuna Dhambi kusema ukweli kwamba Yesu Kama mwalimu hakuwa Tajiri.
Labda umaskini wake pia ulimshawishi Yuda kumuuza.
Yesualipozaliwa alipewa na wale wachawi wa kiarabu (majusi) waliosoma biblia na kujua kazaliwa bethrehem. Dhahabu na madini mengi sana.
Haya anaweza kuwa alitunziwa na wazazi ili zimsaidie kumsponsor ministry yake.
Pia miaka mingi sana alikuwa selemala kwa Baba yake. Inawezekana alisave mzigo wa kutosha.
Alionekana dhaifu sio kwa sababu ya huzuni kwa sababu alikuwa anakula Mara chache muda mwingine kafunga, anakesha na anahurumia wa dhambi wa vizazi vyote