1petro 3:18-20
18 Kwa maana Kristo naye aliteswa Mara moja kwa ajili ya dhambi,mwenye haki kwa ajili yao wasio na haki,ili atulete kwa Mungu; mwili wake akauawa,Bali roho yake akahuishwa,
19 ambayo kwa hiyo aliwaendea roho waliokaa kifungoni, akawahubiri; 20watu wasiotii hapo zamani, uvumilivu wa Mungu ulipokuwa ukingoja, siku za Nuhu, safina ilipokuwa ikitengenezwa; ambamo ndani yake wachache, yaani, watu wanane, waliokoka kwa maji.
hapo tunaona mission ya Yesu baada ya kwenda kuzimu,alihubiri injili kuanzia watu waliokuwa tangu kipindi cha nuhu hadi ambao siku anakufa..
baada ya hapo injili imefungwa na tumebakiwa na kipindi cha neema pekee. Means kwamba hivi SASA injili tunaipata kabla ya umauti tukishakufa hatuwezi kupata injili Tena.!