Nini kilimfanya Benjamin Mkapa ashindwe kuchapa Taazia ya muasisi wa TANU Abdul Sykes katika magazeti ya chama?

tembo wakigombana zinazopata tabu ni nyasi siku zote....ebu ngoja....nikae kimya
Prince...
Wala mimi si tembo wala sina ugomvi na mtu.

Nimeandika historia ya kuundwa kwa TANU kama nilivyoelezwa na wazee wangu bahati mbaya kuna watu hawawajui wazee wangu wala historia yao wanaipinga.

Sawa.

Sina tatizo na hilo nimeandika iko kwenye kitabu na wala simlazimishi mtu kuikubali.

Wala mimi sijafanya ugomvi na Chuo Cha CCM Kivukoni kwa kuandika historia yao ya TANU iliyowafuta wazee wangu.

Wao wameanza historia ya TANU na Julius Nyerere 1954.

Mimi nimeanza historia ya TANU na Kleist Sykes 1929.

Vitabu vyote viwili ni historia ya TANU.
Sasa tatizo liko wapi?
 
Ajabu sana.
Kitabu chako ndio chenye kufahamika na maarufu kuliko hiko cha Kivukoni.

Ndio chenye usahihi na ukweli mwingi uliojaribiwa kufichwa.

Kilichowakera ni kuibua yale yaliyofichwa kwa makusudi. Kitabu chako kimeacha alama ambayo haiwezi kufutika tena.

Waache walie, wagaregare ukweli upo wazi.

Mola akupe umri mrefu tuweze kunufaika nawe.

Dos Santos,
Ahsante ndugu yangu.

Amin.
 
Nguruvi...
Huo mwaka wa 1950.
Earle Seaton.

Ushapata kumsikia katika historia ya TANU akitajwa?

Seaton kama rafiki yake Abdul Sykes hawajatajwa katika kitabu cha historia ya TANU kilichoandikwa na Chuo Cha CCM Kivukoni (1981).

Kasome utangulizi wa kitabu hiki utakusaidia sana.

Mimi ushauri wangu kwako upate kushinda ni wewe ukatae kama kulikuwa na mtu anaitwa Seaton katika historia ya TANU.

Kisha mtoe na Abdul na Ally Sykes katika historia ya TANU.

Unamalizia kwa kumfuta baba yao katika historia ya African Association.

Chuo Cha Kivukoni kilifanya haya na walifanikiwa sana.

Huu ndiyo ushauri wangu kwako na jambo hili kuna wengi walilipenda.

Mohamed Said ndiyo kaja kuvuruga mambo na mikaratasi yake ya kina Sykes sijui kaipata wapi.
Mohamed haya yote hayajibu hoja. Hivi kwanini hupendi kukabili hoja!
Hatuongelei kivukoni , tunaongelea Mohamed Said na vitabu vya historia ya Familia ya Sykes.

1. Lionyesha jamvi la JF nusu karatasi tu inayoitwa katiba iliyoandikwa na Kleist Sykes au Abdullwahid Sykes
Hawa waliongoza AA na TAA kabla ya ujio wa Nyerere ambaye tumeshaona hakupokelewa na Abdul hata siku moya

2. Nani kakataa uwepo wa Seaton?
Onyesha nyaraka ya Seaton yenye ushahidi wa kwamba katiba ya TANU iliandikwa na Abdul Sykes
Au hata ushahidi tu kuwa Abdul 'alisema kadha wa kadha'' ikanukuliwa mahali na si dhana au hadithi za maokeo

3. Ni kiongozi gani wa chama cha siasa Tanganyika aliyewahi kuwa na katiba ya chama zaidi ya Nyerere?

Haya ndiyo tunajadili, usiondoke katika mada tukawaacha wasomaji na kiu kama si njaa
 
Mimi nina shida gani leo ya kuhangaika maana kama kitabu ndicho hicho kipo miaka 22 sasa matoleo matatu Kiswahili na Kiingereza na tunachapa toleo la nne.

Baada ya miaka 22 unakuja kupingana na mimi kwa kitu ambacho kwanza hukijui na pili hakikuhusu na hapa huwaambieni kila siku kuwa shida inayokupateni ni kuwa historia ya wazee wangu imegusa historia ya TANU vinginevyo hapangekuwa na huu ubishani.

Mimi sina sababu kabisa ya kubishana na wewe.
Nibishane na wewe kwa kitu gani?

Nimekuambia kaangalie utangulizi wa kitabu cha Kivukoni utakusaidia la hilo huliwezi kataa kuwa Seaton na Abdul Sykes walikuwepo.

Hili pia limekushinda.

Nimejaribu kuielekeza akili yako kuwa hiyo ni 1950 nikiamini utaelewa nimekusudia nini.

Tatizo liko wapi wewe si amini kuwa TANU iliasisiwa na Nyerere 1954?

Mimi sikasirishwi na hilo vipi wewe una hamaki mimi nikisema historia ya TANU inanaanza mwaka wa1929?
 
Baada ya miaka 22 ya kitabu chako wamepata wazo la kutengeneza kitabu chao kwa ajili ya kukiradi.

Lakini kinategemea sana maelezo yako ili wapate kufananiza na kubadili ili kiendane na watakavyo wao. Wapotoshe ukweli.

Ukweli hawajui chochote zaidi ya kupinga. Na wanapopinga hawatuoneshi ukweli ni upi.

Mzee wetu endelea kutoa faida na wenye kupinga wasikushughulishe.

Tatizo la uandishi wako Mr Muddy limekaa kidini sana.Kama mwandishi unayejua mengi ,na umefanya tafiti jaribu kubalance,nimekuwa nikifuatilia maandiko yako toka unaanzisha blogspot,Kuna ajenda ya kidini Sana umekuwa ukiikomalia.Tafadhali punguza udini udini.Imefikia kipindi nikiona maandiko yako napita kusoma nikiyaona Kama udaku Sasa na so Kama zamani.Unaboa Kama siyo kukinaisha,hadi radha inaisha.
Msomi Mzuri,umri umeenda, exposure ya kutosha ila punguza udini.EAMWS, Sykes family,na blabla nyingi,najua unayo mengi ya upande wa wakristo na wapani ila kwa sababu Kuna ajenda unayo umejuwa ukishindwa kutuelezea haya.Tanzania ni secular State,ebu jaribu kubalance.
Mimi siyo mwandishi ila ni shabiki was historia.Najaribu kuangazia siku ukifa unataka tukukumbuke kwa yapi?
 
Red...
Kitabu changu kimefanyiwa book review tatu na mabingwa wa African History na review hizi zimechapwa katika Cambridge Journal of African History.

Waandikaji ni John Iliffe, Jonathan Glassman na James Brennan.

Hakuna hata mmoja amesema naandika dini.

Walioandika historia ya TANU waliwafuta historia ya kweli kisa imejaa Waislam.

Mimi nimewarejesha Waislam.
 
[/QUOT
Hakuna chochote chenye chembe chembe ya "divide and rule theory"ngozi nyeupe isiache kukiunga, mostly wanapenda na wanafurahia wanapokutana na watu sampuli kama ya kwako na kuwatumia kwa maslahi yao mapana ya baadaye...Na wewe tu kwa sababu tu ya hasira na..
-ulichoaminishwa toka utotoni
-misimamo ya kidini
-wazee wako kukosa fursa za kiuongozi
-kuamini na wewe ulipaswa kuwepo kwenye first families,
hautoshindwa kushirikiana nao ilimradi tu myopic ideas zako zifanikiwe bila kuangalia maslahi mapana ya nchi...
 
Nguruvi...
Huo mwaka wa 1950.
Earle Seaton.

Ushapata kumsikia katika historia ya TANU akitajwa?

Seaton kama rafiki yake Abdul Sykes hawajatajwa katika kitabu cha historia ya TANU kilichoandikwa na Chuo Cha CCM Kivukoni (1981).

Kasome utangulizi wa kitabu hiki utakusaidia sana.

Mimi ushauri wangu kwako upate kushinda ni wewe ukatae kama kulikuwa na mtu anaitwa Seaton katika historia ya TANU.

Kisha mtoe na Abdul na Ally Sykes katika historia ya TANU.

Unamalizia kwa kumfuta baba yao katika historia ya African Association.

Chuo Cha Kivukoni kilifanya haya na walifanikiwa sana.

Huu ndiyo ushauri wangu kwako na jambo hili kuna wengi walilipenda.

Mohamed Said ndiyo kaja kuvuruga mambo na mikaratasi yake ya kina Sykes sijui kaipata wapi.
Unajua we Mzee una UNAFIKI SANA, halafu umeshindwa kutoa ushahidi sasa unazunguka zunguka tu

Umeambiwa uthibitishe kuwa urafiki wa Earle Seaton na Abdul Sykes ndio ulioleta katiba ya TANU, umeshindwa sasa unatapatapa kuandika visivyohusika kabisa.

Nini kikuhangaishacho?
 
Prince...
Wala mimi si tembo wala sina ugomvi na mtu.

Nimeandika historia ya kuundwa kwa TANU kama nilivyoelezwa na wazee wangu bahati mbaya kuna watu hawawajui wazee wangu wala historia yao wanaipinga.

Sawa.

Sina tatizo na hilo nimeandika iko kwenye kitabu na wala simlazimishi mtu kuikubali.

Wala mimi sijafanya ugomvi na Chuo Cha CCM Kivukoni kwa kuandika historia yao ya TANU iliyowafuta wazee wangu.

Wao wameanza historia ya TANU na Julius Nyerere 1954.

Mimi nimeanza historia ya TANU na Kleist Sykes 1929.

Vitabu vyote viwili ni historia ya TANU.
Sasa tatizo liko wapi?
Tatizo umeandika UONGO na UZUSHI. kuna uongo mwingi sana katika vitabu vyako mfano kutuambia eti Familia ya Sykes ndio iliyompokea Nyerere kwa Mara ya kwanza Dsm. Uongo huo.

Pia kukataa kuwa aliyecopy, kuanalyse na kuandaa katiba ya TANU ni J.K Nyerere, badala yake unatutajia watu unaojitungia tu wewe

Pia wewe ni Mdini sana.
 
Ajabu sana.
Kitabu chako ndio chenye kufahamika na maarufu kuliko hiko cha Kivukoni.

Ndio chenye usahihi na ukweli mwingi uliojaribiwa kufichwa.

Kilichowakera ni kuibua yale yaliyofichwa kwa makusudi. Kitabu chako kimeacha alama ambayo haiwezi kufutika tena.

Waache walie, wagaregare ukweli upo wazi.

Mola akupe umri mrefu tuweze kunufaika nawe.
Hahaha...hicho mnakisoma na kukiamini ninyi huko misikitini, madrassat na kwenye mikutano yenu ya kidini

Ila LEGACY ya Mwl. J.K Nyerere haitofutika wala kufutwa asilani.

Huyo Abdul Sykes anajulikana JF tu kwa watu wachache, tena haaminiki.
 
Mohamed haya yote hayajibu hoja. Hivi kwanini hupendi kukabili hoja!
Hatuongelei kivukoni , tunaongelea Mohamed Said na vitabu vya historia ya Familia ya Sykes.

1. Lionyesha jamvi la JF nusu karatasi tu inayoitwa katiba iliyoandikwa na Kleist Sykes au Abdullwahid Sykes
Hawa waliongoza AA na TAA kabla ya ujio wa Nyerere ambaye tumeshaona hakupokelewa na Abdul hata siku moya

2. Nani kakataa uwepo wa Seaton?
Onyesha nyaraka ya Seaton yenye ushahidi wa kwamba katiba ya TANU iliandikwa na Abdul Sykes
Au hata ushahidi tu kuwa Abdul 'alisema kadha wa kadha'' ikanukuliwa mahali na si dhana au hadithi za maokeo

3. Ni kiongozi gani wa chama cha siasa Tanganyika aliyewahi kuwa na katiba ya chama zaidi ya Nyerere?

Haya ndiyo tunajadili, usiondoke katika mada tukawaacha wasomaji na kiu kama si njaa
Sasa hapa atakachofanya huyu Mfia dini Mohamed Said ni kuwa ataenda kukopi mistari ya zamani au kutype vifungu kadhaa vya maneno then next time ataanzisha post na kusema amepata sehemu ya katiba ya African Association (AA) au TAA iliyoandaliwa na kina Sykes.

Huyu ni Mtunzi wa Uongo ila ana kipaji cha ushawishi.

Hahaha....!
 
Nguruvi...
Mimi nina shida gani leo ya kuhangaika maana kama kitabu ndicho hicho kipo miaka 22 sasa matoleo matatu Kiswahili na Kiingereza na tunachapa toleo la nne.

Baada ya miaka 22 unakuja kupingana na mimi kwa kitu ambacho kwanza hukijui na pili hakikuhusu na hapa huwaambieni kila siku kuwa shida inayokupateni ni kuwa historia ya wazee wangu imegusa historia ya TANU vinginevyo hapangekuwa na huu ubishani.

Mimi sina sababu kabisa ya kubishana na wewe.
Nibishane na wewe kwa kitu gani?

Nimekuambia kaangalie utangulizi wa kitabu cha Kivukoni utakusaidia la hilo huliwezi kataa kuwa Seaton na Abdul Sykes walikuwepo.

Hili pia limekushinda.

Nimejaribu kuielekeza akili yako kuwa hiyo ni 1950 nikiamini utaelewa nimekusudia nini.

Tatizo liko wapi wewe si amini kuwa TANU iliasisiwa na Nyerere 1954?

Mimi sikasirishwi na hilo vipi wewe una hamaki mimi nikisema historia ya TANU inanaanza mwaka wa1929?
Punguza povu Mzee. Unajua bado hujajibu swali uliloulizwa badala yake unafura kama paka anayejitazama katika kioo

Thibitisha mambo uliyoambiwa na stick kwenye mada wacha kujitamba na kujisifia yaleyale kila mara.
 
Baada ya miaka 22 ya kitabu chako wamepata wazo la kutengeneza kitabu chao kwa ajili ya kukiradi.

Lakini kinategemea sana maelezo yako ili wapate kufananiza na kubadili ili kiendane na watakavyo wao. Wapotoshe ukweli.

Ukweli hawajui chochote zaidi ya kupinga. Na wanapopinga hawatuoneshi ukweli ni upi.

Mzee wetu endelea kutoa faida na wenye kupinga wasikushughulishe.
Kufananiza ndio nini?

Wewe usiyejua kuandika kama Mtume wako Muhammad (S.A.W) ulipaswa ukajifinze kwanza kuandika vizuri kabla ya kuja kumtetea Muumin mwenzio
 
Red...
Ikiwa unafikiri hivyo ni sawa.

Muhimu kwangu ni kuwa nimewapa watu nafasi ya kusoma historia ambayo wengi hawakuwa wanajua kuwa ipo.

Naamini wewe umejifunza mengi hapa jamvini.
 
Nguruvi...
Huo mwaka wa 1950.
Earle Seaton.

Ushapata kumsikia katika historia ya TANU akitajwa?

Seaton kama rafiki yake Abdul Sykes hawajatajwa katika kitabu cha historia ya TANU kilichoandikwa na Chuo Cha CCM Kivukoni (1981).

Kasome utangulizi wa kitabu hiki utakusaidia sana.

Mimi ushauri wangu kwako upate kushinda ni wewe ukatae kama kulikuwa na mtu anaitwa Seaton katika historia ya TANU.

Kisha mtoe na Abdul na Ally Sykes katika historia ya TANU.

Unamalizia kwa kumfuta baba yao katika historia ya African Association.

Chuo Cha Kivukoni kilifanya haya na walifanikiwa sana.

Huu ndiyo ushauri wangu kwako na jambo hili kuna wengi walilipenda.

Mohamed Said ndiyo kaja kuvuruga mambo na mikaratasi yake ya kina Sykes sijui kaipata wapi.
Mzee Said kila wakati ninaposoma unapomjibu anayetaka kufahamishwa huwa naishia kujiuliza kama ni mimi tu huwa nashindwa kukuelewa.

Kwa mfano kwenye hoja ya Mkuu Nguruvi amehoji kama uandishi wa katiba ya TANU ni matokeo ya urafiki wa Seaton na Abdul, na je wazo la katiba ni la Abdul na Seaton ni mtekelezaji?...jibu ambalo ningelitegemea hapa ni 'kwa mfano' ndio katiba ya TANU ni matokeo ya urafiki wa Seaton na Abdul au Hapana......... badala yako umeanza tena kuhoji kama amewahi kumsikia Seaton akitajwa kwenye historia za TANU.

Anza kwa kuweka sawa kwanza hoja inayojitokeza kabla ya kuibua hoja yako mpya i naye mwenye hoja awajibike kutoa jibu kwa hoja yako.
 
Sidhani kama kuna Mtu ana tatizo kwa kazi kubwa unayoifanya ya kuufahamisha uma juu ya Walioshiriki harakati za kuupata uhuru lakini walikuwa hatarini kusahaulika.

Ila usitarajie kamwe kwamba Jamii yote itakaa pembeni kuona unatumia mwanya huo kupenyeza yale ambayo unatamani yaingie kwenye akili za Watu...kama alivyowahi kuimba Bob Marley "you can fool some people sometimes but you can't fool all the people all the time".
 
Kwenye moja ya maelezo yako kufuatia komenti yangu huko juu ulisema safari ya kwanza ya Mwalimu ilikuwa ni Morogoro na sio Mbeya kama alivyosema yeye Mwenyewe Mwalimu....ni sawa maana kusahau sio dhambi, na umesema baadae alienda Lindi mwaka 1955...nami nilikuuliza kama je kuna safari nyingine tena aliyoifanya Mwalimu kwenda Lindi kati ya Mwaka 1954-1961?....kama kawaida Mzee Said ni mgumu sana kujibu maswali moja kwa moja bila kutoa maelezo mapya.

Ila ningetamani sana kama ungenijibu swali hili kwa ajili ya kuweka kumbukumbu zangu sawa...na kama huna taarifa sahihi pia sio dhambi kusema sifahamu.
 
Nguruvi...
Mimi nina shida gani leo ya kuhangaika maana kama kitabu ndicho hicho kipo miaka 22 sasa matoleo matatu Kiswahili na Kiingereza na tunachapa toleo la nne.

Baada ya miaka 22 unakuja kupingana na mimi kwa kitu ambacho kwanza hukijui na pili hakikuhusu na hapa huwaambieni kila siku kuwa shida inayokupateni ni kuwa historia ya wazee wangu imegusa historia ya TANU vinginevyo hapangekuwa na huu ubishani.

Mimi sina sababu kabisa ya kubishana na wewe.
Nibishane na wewe kwa kitu gani?

Nimekuambia kaangalie utangulizi wa kitabu cha Kivukoni utakusaidia la hilo huliwezi kataa kuwa Seaton na Abdul Sykes walikuwepo.

Hili pia limekushinda.

Nimejaribu kuielekeza akili yako kuwa hiyo ni 1950 nikiamini utaelewa nimekusudia nini.

Tatizo liko wapi wewe si amini kuwa TANU iliasisiwa na Nyerere 1954?

Mimi sikasirishwi na hilo vipi wewe una hamaki mimi nikisema historia ya TANU inanaanza mwaka wa1929?
Mzee Said kumbuka kitabu unachotuelekeza kila mara unapotakiwa kutoa maelezo ya jambo uliloliibua mwenyewe hapa, mwandishi bado ni wewe.

Kama tunaona ukakasi kwenye baadhi ya maelezo yako humu jamvini ni kipi unataka tukakipate kwenye kitabu ulichoandika Wewe?.
 
Back
Top Bottom