Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Huyu nae achutame sasa....kazingua lkn bado kakomaa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kigogo na wengineo wataambia nini watu....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
At least raia wameonyesha kilichopo ndani ya mioyo yao. Mkipuuza na hilo mtakua ni zaidi ya majuha. Ni muda wa kuangalia ni nini kimelifikisha taifa hapa lilipo.
Kujimwambafai haisaidii, the hate is real.
Mdharau mwiba, mguu huota tende.
 
Moshi ulitokea wapi?
Hiyo ni smorking machine nahisi hivyo coz kabla huo mosh haujaanza kuna kitu kimesikika kikifoka kuashiria ndicho kilichoutoa huo moshi.... Movie kama kidedea tuu
 
😂😂sensa imefanikiwa,kura ya maoni tumeipata,tutajua tushughulikeje na nyie sasa,!nakushukuru kamanda manyota wetu kigogo,mission accomplished,pumzika sasa!chezea system wewe!😂😂
 
Naungana na wewe kabisa, kama hii video niliyosikia na kuona yapo hivyo, basi ni hujuma ya kisayansi kabisa wala si ushirikina. Suspects wa kwanza baadhi ya watu wa kitengo.
Hii ni hujuma dhidi ya Rais, probably na baadhi ya wana usalama, that smoke could be poisonous.
 
Tatizo anaechomoaga betri huwa ni mmoja tu ila madhara yanawapata na wengine!
 
Huo mwanga ni wa simu ya mtu aliekua anarekodi hiyo clip kupitia kwenye TV
 
Tatizo anaechomoaga betri huwa ni mmoja tu ila madhara yanawapata na wengine!
Mchomoa betri unaweza kukuta katoka hata kule Mbegani Bagamoyo wenye uchungu wa kunyimwa Bandari au pengine mchomoa betri ni yule Takukuru aliyetumbuliwa hapo mkoani au hata mchomoa betri ni yule aliyeiba file ofisini kwa DPP
 
Kwa kweli tumesikitika sana, hamtaki wageni?
Ruangwa tumewaelewa,hampo pamoja na sisi na hamtaki maendeleo.Kwaherini Ruangwa.Mmemuabisha sana ndugu yenu na Waziri Mkuu Majaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…