msindikizaji
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,763
- 2,888
Huyu nae achutame sasa....kazingua lkn bado kakomaa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
At least raia wameonyesha kilichopo ndani ya mioyo yao. Mkipuuza na hilo mtakua ni zaidi ya majuha. Ni muda wa kuangalia ni nini kimelifikisha taifa hapa lilipo.Kigogo na wengineo wataambia nini watu....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo ni smorking machine nahisi hivyo coz kabla huo mosh haujaanza kuna kitu kimesikika kikifoka kuashiria ndicho kilichoutoa huo moshi.... Movie kama kidedea tuuMoshi ulitokea wapi?
Hii ni hujuma dhidi ya Rais, probably na baadhi ya wana usalama, that smoke could be poisonous.
Huo ulikuwa upepo wa kisulisuliHiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya
Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani
Hilary Clinton imempata mara kadhaa
Tuhubiri amani Upendo na akupendana
Britannica
Huyu nae achutame sasa....kazingua lkn bado kakomaa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1239291
Live ya juzi ni recorded ya leoDah! Maneno mengi. Mhe Rais yupo live hapa ikulu watu wanaapa hapa
Ashawaona nyie ni marofa na wapumbafu
Yaan manyumbu
Huo mwanga ni wa simu ya mtu aliekua anarekodi hiyo clip kupitia kwenye TVMpaka mnaleta na Moshi
Ukiangalia clip vizuri inaonekana kuna mwanga kama wa flash hivi halafu na sauti inafuata kama kuharibika kwa kitu ( kama ni hiyo camera imepata hitilafu vile)
Lakini baada ya mwanga mkali wa kwanza na sauti halafu moshi, bado mwanga ule ulikuwa upo kadri camera ilivyokuwa inazunguka
Ngoja niwatumia NASA wakaingalie vizuri [emoji23] maana hii kama sio hitilafu ya camera basi acha tuwapambanishe na sayansi
View attachment 1238981View attachment 1238980
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kapigwaa za usoo na jiwee balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Mchomoa betri unaweza kukuta katoka hata kule Mbegani Bagamoyo wenye uchungu wa kunyimwa Bandari au pengine mchomoa betri ni yule Takukuru aliyetumbuliwa hapo mkoani au hata mchomoa betri ni yule aliyeiba file ofisini kwa DPPTatizo anaechomoaga betri huwa ni mmoja tu ila madhara yanawapata na wengine!
Ruangwa tumewaelewa,hampo pamoja na sisi na hamtaki maendeleo.Kwaherini Ruangwa.Mmemuabisha sana ndugu yenu na Waziri Mkuu Majaliwa.Kwa kweli tumesikitika sana, hamtaki wageni?