Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Watamhurumiaje wakati kwenye sakata la Korosho mwaka jana Desemba alimwambia PM Majaliwa nitapiga mpaka shangazi zako. Halafu akaingia 18 zao bila adabu wala kuomba radhi

We mpumbavu JPM alikuwa na nia njema sana na hao watu na hat kuruhusu watu walipwe hela nyingi sana kwa Kilo moja. So nakushangaa sana. Utekelezaji una watu kama wewe unatanguliza tumbo lako.
 
Tunaorimia meno tunaomba alieyaondoa ma power tiller ajifie ili tuepukane na hii adhabu.
Maana hata mazinjatropas hayakulimiaga meno!!
Huyu mtu ni katili dhidi ya bin adamu.
 
Uko sahihi ila umezidi kidogo tu kuanza kuingiza kigogo hapo.
 
Huo mwanga ni simu ya mtu aliyekuwa anarekodi kwenye TV. No doubt.
 
Hakuna cha uchawi hapo. Duniani sijawahi kusikia Rais wa Nchi amerogwa. Anayebisha alete mfano hapa.
 
Hiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya

Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani

Hilary Clinton imempata mara kadhaa

Tuhubiri amani Upendo na akupendana

Britannica
Huyu jamaa simjui kwa nini IZRAILI anamchelewesha
 
Hiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya

Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani

Hilary Clinton imempata mara kadhaa

Tuhubiri amani Upendo na akupendana

Britannica
Uko sahihi. Tatizo letu tunaamini Magufuli akipata matatizo na kuondoka, itakuwa nafuu yetu, bila kufahamu nani anakuja. Hiyo nafuu yenyewe inayowindwa, itokane na wizi!

Angela Merkel amekuwa akihangaika sana jukwaani kwa kutetemeka,
Boris Yeltsin alifanyiwa heart bypass akiwa raid, etc.
 
Sasa mwanga wa jua plus refrection ya iyo camera nd una sema uchawi ..moshi nao auja oneshwa ulipo tokea maana video ime onesha juuu juu tu...


Inshort i mada ni moja ya Pumba nilizo jutia kuzi soma mwaka 2019
Elezea wewe nini kimetokea pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…