Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Kumbe 'African software' zipo?
 
Rais Magufuli alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba.

Angalia video hapo chini.

View attachment 1238956
Alisacrifice kwa watanzania. Alikuwa mgomjwa miaka yote. Asante sana Mheshimiwa, Nabii , Mfalme wa Watanzania MH. Dk. John Pombe Joseph Magufuli.
 
Hatuna waziri mkuu, majaliwa alishindwa kutetea zao la wamachinga wenzie Leo akawaombe msamaha!
 
(1)Hata Ex-Presdent Bush Juniour wa Amerika yalimpata.Alitapika mezani wakati wa dhifa(karamu) KUUBWA ya kitaifa iliyokuwa ikiangaliwa Duniani kote.Akafichutama CHINI ya meza ya karamu.Just imagine !(2) Ex President Nyerere pia mpishi wake alishuhudia Baadaye baada ya Nyerere kufa KWAMBA, SIKU CCM INAZALIWA 1977 "Tumbo la kuharisha lilimsokota Sana Nyerere siku Hiyo akawa anaenda maliwato KILA baada ya muda Fulani Hadi..Safari za Yeye(Nyerere)kwenda Arusha na kurudi DSM Kwa ndege kushehrekea siku Hiyo muhimu Zikakatizwa.Ndo ujue binadamu wote Mambo mengi ya kwenye miili yetu na AFYA zetu,Hakuna aliye Bora kuliko mwingine.
 
Ayo yote tofauti kabisa na ilo la Magufuli mzee..!! Bora uumwe tujue moja kuliko hayo ya moshi kukufata
 
Asante Leo tumepata jibu. Magufuli alikuwa mbovu sana Ila alikuwa anajifanya JIWE.
VVU + Diabetes+ Kichaa+ Pacemaker + COVID19 = Asingetoboa

Naunga mkono hoja kuna wajinga hawajui hizi siri walileweshwa usukuma watakuja kukutukana. Kiu fupi alikua
UKIMWI + MOYO+ CORONA = REST IN HELL DEVIL
 
Naunga mkono hoja kuna wajinga hawajui hizi siri walileweshwa usukuma watakuja kukutukana. Kiu fupi alikua
UKIMWI + MOYO+ CORONA = REST IN HELL DEVIL
Halafu eti wanamsifia na kumuita Chuma, labda chuma cha mgomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…