Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa na maradhi ya moyo ya mfumo wa umeme mama Samia Suluhu Hassan amesema wakati anatangaza kifo chake.Rais Magufuli alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba.
Angalia video hapo chini.
View attachment 1238956
Asante Leo tumepata jibu. Magufuli alikuwa mbovu sana Ila alikuwa anajifanya JIWE.Alikuwa na maradhi ya moyo ya mfumo wa umeme mama Samia Suluhu Hassan amesema wakati anatangaza kifo chake.
Kumbe 'African software' zipo?Hasira za korosho hizi, Rais bado ana maadui wengi Mno. Ni vyema hili suala la korosho likaangaliwa kwa undani zaidi kuepusha majanga zaidi.
Naona Mh. Rais alikiri kabisa kuuona moshi na ukiangalia vizuri unaona Mh. alikuwa na hofu fulani, hata walinzi walianza kama kupanic kwa kujihami kwa kuimarisha ulinzi na kuanza kuwasukuma wananchi waliohudhuria eneo hilo.
Ni vyema serikali iangalie namna ya kumalizana na hao wazee wa huko ruangwa (Hapa Waziri Mkuu itabidi aonane nao, kidogo watamsikiliza) , kwani siku zote kurudia kosa ndio kosa, wawe na moyo wa kusamehe.
Alisacrifice kwa watanzania. Alikuwa mgomjwa miaka yote. Asante sana Mheshimiwa, Nabii , Mfalme wa Watanzania MH. Dk. John Pombe Joseph Magufuli.Rais Magufuli alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba.
Angalia video hapo chini.
View attachment 1238956
Hapo ndipo alipotupiwa jini lililomwingia na kumwandama hadi alipovutaRais Magufuli alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba.
Angalia video hapo chini.
View attachment 1238956
Hatuna waziri mkuu, majaliwa alishindwa kutetea zao la wamachinga wenzie Leo akawaombe msamaha!Hasira za korosho hizi, Rais bado ana maadui wengi Mno. Ni vyema hili suala la korosho likaangaliwa kwa undani zaidi kuepusha majanga zaidi.
Naona Mh. Rais alikiri kabisa kuuona moshi na ukiangalia vizuri unaona Mh. alikuwa na hofu fulani, hata walinzi walianza kama kupanic kwa kujihami kwa kuimarisha ulinzi na kuanza kuwasukuma wananchi waliohudhuria eneo hilo.
Ni vyema serikali iangalie namna ya kumalizana na hao wazee wa huko ruangwa (Hapa Waziri Mkuu itabidi aonane nao, kidogo watamsikiliza) , kwani siku zote kurudia kosa ndio kosa, wawe na moyo wa kusamehe.
Alikuwa na maneno ya shombo!!!Watamhurumiaje wakati kwenye sakata la Korosho mwaka jana Desemba alimwambia PM Majaliwa nitapiga mpaka shangazi zako. Halafu akaingia 18 zao bila adabu wala kuomba radhi
Rais Magufuli alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba.
Angalia video hapo chini.
View attachment 1238956
alipigwa kitu kinacho itwa kamkomesheniTupeni conclusion ndugu zetu kutoka huko ntwala, hasira iliendelea ?
Mwanetu Membe umemtesa vya kutosha sasa tunakutarai kidogoRais Magufuli alipokuwa anahutubia wananchi huko Ruangwa kwenye kijiji fulani juu ya gari, mara moshi ukaanza kufuka. Na hapo hapo akakatisha hotuba.
Angalia video hapo chini.
View attachment 1238956
Ayo yote tofauti kabisa na ilo la Magufuli mzee..!! Bora uumwe tujue moja kuliko hayo ya moshi kukufata(1)Hata Ex-Presdent Bush Juniour wa Amerika yalimpata.Alitapika mezani wakati wa dhifa(karamu) KUUBWA ya kitaifa iliyokuwa ikiangaliwa Duniani kote.Akafichutama CHINI ya meza ya karamu.Just imagine !(2) Ex President Nyerere pia mpishi wake alishuhudia Baadaye baada ya Nyerere kufa KWAMBA, SIKU CCM INAZALIWA 1977 "Tumbo la kuharisha lilimsokota Sana Nyerere siku Hiyo akawa anaenda maliwato KILA baada ya muda Fulani Hadi..Safari za Yeye(Nyerere)kwenda Arusha na kurudi DSM Kwa ndege kushehrekea siku Hiyo muhimu Zikakatizwa.Ndo ujue binadamu wote Mambo mengi ya kwenye miili yetu na AFYA zetu,Hakuna aliye Bora kuliko mwingine.
Asante Leo tumepata jibu. Magufuli alikuwa mbovu sana Ila alikuwa anajifanya JIWE.
VVU + Diabetes+ Kichaa+ Pacemaker + COVID19 = Asingetoboa
Unauliza jibu?Tupeni conclusion ndugu zetu kutoka huko ntwala, hasira iliendelea ?
Wachawi kweli nyie maqota zenuUle tayari ni mzoga wazungu wanaita cadaver au carcass. Unasubiri tu siku ya kuingia futi 6 chini ya ardhi kule Chato