Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Naanza kushawishika,kuna member humu alieleta uzi juu usalama wa rais kusimama chini ya waya za umeme.

Ghafla na haya yaliyojiri sitaki kuamini ilikuwa ni habar tu.
 
Ni sayansi kubwa hata FBI, CIA Scotland Yard, KGB na wenzao watafunga safari kuja Lindi kujifunza Mbinu mpya ambayo wao hawajafahamu vizuri
Hao unao wataja unawachukulia poa tu, hujawajua vzuri. Ni mafundi katk sanaaa na sayansi za giza.
 
Watamhurumiaje wakati kwenye sakata la Korosho mwaka jana Desemba alimwambia PM Majaliwa nitapiga mpaka shangazi zako. Halafu akaingia 18 zao bila adabu wala kuomba radhi
Nakumbuka Sana hio kauli

Kwakweli majaliwa alifedheheka sana mbele ya kamera .

Akina Hawa ghasia wakaambiwa waache kimbelembele heheheh
 
Wangenijumuisha
Watu waliowekewa pacemaker wana exemption hata ya kufanyiwa metal Check up kwenye viwanja vya ndege. Hawapaswi kukutana na kitu chochote chenye radioactive material.
Mikoa Lindi na mtwara haitakuja kuendelea kamwe sababu ya uchawi na ushirikina.
Mbona kama kuna kitu kimewashwa tu chini hapo... Sidhan kama ni ushirikina... Inaweza ikawa moshi umemdhuru ila sio kwamba ni shirki
Ni ushirikina bro kaiyangalie video ipo you tube. Hata mtoto mdogo ataelewa
 
Kwa uzio ule anaowekewaga na kikosi kazi kile nashangaa huu moshi unaonekana unatokea karibu yake mno.
 
Hee! Unataka kutuambia moshi huo ni mlipuko wa battery ya ndani kwa ndani? Na kuwa ni sababu ya kusimama chini ya high voltage electric wire?
Kama ni hivyo hili jambo ni internal sabotage yaani "kikulacho ......"
Kwani watakuwa hawajui battery haitaki mvutano huo?
Hahaaaa wenyewe wanataka kumla kichwa boss wao
 
Kusini ndiomana wako nyuma kimaendeleo (Ki elimu, Afya, Uchumi, na nk.), ushirikina mpaka kwa serikali! (Mh. Rais)....wamejiabisha kwa kweli
Mim nadhan mnawasingizia watu wa kusini, hamna ushahid wa moja kwa moja kwamba wamefanya hayo
 
Clip haijahaririwa bali TBC waliishia hapo. Huwa hawaoneshi matukio kama hayo yakitokea
Huyo aliyeihariri hii clip ana lake jambo. ndiyo maana ameishia hapo na hakuweka mpaka mwisho. Inwezekena lilikuwa tukio la kawaida kabisa lakini kwa sababu mhariri clip alitaka kufikisha ujumbe kwa waamini nguvu za uchawi basi akaondoa sehemu zilizofuata.
 
Hiyo ni kawaida Kwa kila Binadamu kupatwa na Matatizo kiafya

Ni suala la Kawaida hata JK ilimpata jangwani

Hilary Clinton imempata mara kadhaa

Tuhubiri amani Upendo na akupendana

Britannica
Unamwambia nani ahubiri amani? Wakati huu ndyo umeona umuhimu wa kuhubir amani? Lisu alipopigwa risasi ulisema tuhubiri amani?
 
Watamhurumiaje wakati kwenye sakata la Korosho mwaka jana Desemba alimwambia PM Majaliwa nitapiga mpaka shangazi zako. Halafu akaingia 18 zao bila adabu wala kuomba radhi

Dah! Kumbe hawajasahau?
 
Itafika mahala mikutano ya vijiji kwa vijiji njiani haitokuwepo zaidi ya wilayani au kwenye makao makuu ya mikoa.
Ziara nyingine za utekelezaji wa majukumu zitafanywa na Wakuu wa Mikoa na Wilaya,nguvu zaidi itaongezwa kwenye ufuatiliaji.
Ziara hazina shida yeyote...
 
Back
Top Bottom