Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

Wakuu nmesikia saut ya nape au masikio yangu tuuuuu
Sasa mtamponza Nape akaombe radhi tena. Na safari hii atatembea kwa magoti tokea Kariakoo huku akirekodiwa hadi nyumba kuu.
 
Na huo moshi vipi mkuu
Huo moshi mbona kama upo nje ya tv,mtu kachoma kitu chini halafu akarekodi,moshi unapanda na kupita mbele ya kioo cha tv,sasa kwa vile tunaonyeshwa usawa wa angle za tv tu,unauona kama sehemu ya picha ya video,na hata Rais hakuonekana kuwa distracted kama kuna kitu mpaka camera ilipoondolewa.Kama ingekuwa kweli huo moshi ulimtokea pale,angestuka from the very beginning na hata security personnels wangemuwahi maana its almost 5 seconds tangu moshi uanze.Mmeanza mapichapicha yenu.Tuambieni tu ukweli,wengine tuna allergy na uongouongo.
 
Wananchi walisimamisha msafara ila kuna mmoja wao ulikuwa anachoma taka so upepo ulipobadili mweleke ndio hiyo ikatoke

Ule mwanga ni camera iliakisi mwanga nadhani mpiga picha alitaka kupishana na moshi ule kabla ya kauambiwa azime tu na Magari yakasogezwa mbela na mkutano ukaendelea
Source ya moshi ilikuwa nini? Ikawaje wakaruhusu source ya moshi iwe karibu na Mkubwa.
 
Sikumbuki vizuri nadhani ilikuwa siku moja kabla ya kufika kwa yule DED aliyemtumbua na mkuu wa wilaya

Ilikuwa kabla ya nachingwea
Mmmh ya kweri hayo mkuu kwani ilikua ktk kijiji gani ili tujilizishe kwa kuwasiliana walioko kijijini hapo
 
Wewe ndo umevuta bhangi kwelii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani huo moshi ulipovumaa hukuona kama jamaa wakakatosha hotuba akati alikuwa ndo kwanza anaanza????
😂😂Mnatuchanganya tu,ah!Ngoja nikapulize zaidi mpaka nione vizuri!
 
Hapa ni ruangwa waliotumbuliwa ni nachingwea siku moja baada ya moshi ,tumia akili kufukiri sio wote ni vilaza kama wewe
Mkurugenzi toka marekani mkuu wa wilaya mkuu wa Takukuru wote wamefukuzwa kazi pindi magufuli kapita huko wakaamua kwenda kwa Sangoma wa Ruangwa kwa msaada wa membe ndipo moshi wa ndumba ukawashwa na kumlewesha
 
  • Thanks
Reactions: nao
Hii video imerekodiwa na simu kutoka kwny TV, ukiangalia hapo hyo channel inaitwa JWEE info.

J WEE INFO ni online youtube TV kma MillardAyo but nimeenda kucheck Youtube channel hii video nimetafuta sijaiona.

So its either its video ime-editiwa au video its a true video iliwekwa then ikafutwa haraka before haijasambaa kuzuia taharuki.

Bado maswali ni mengi, majibu hakuna. Kuna jambo kubwa.
Ipo na baada ya pale aliendelea kuhutubia.
 
Ndiobaliendelea na siku ya pili ndio alifika nachingwea alipo tumbua DED na DC

Huo ulikuwa moto umewashwa na wananchi badaae upepo ukageuza uelekeo wa moshi ,wakasogeza Magari mkutano ukaendele

Hapa naona uzushi tu
Ipo na baada ya pale aliendelea kuhutubia.
 
siamini katika vodoo!
Kutoamini kwako hakuondoi vodoo. Kilichopo kipo. Agizo la Mungu ni kutomwacha
mchawi aishi! Anajua yupo. Jihadhari. Ilivyo mahakamani: ignorance of law is no defence; vivyo: kutoamiani
katika vodoo si kutokuwepo kwa vodoo. Wapo waumini wake. Na wanafanya kweli. Chunga. Retired wewe.
Those, they retire not. Hawalali. Usiku kwao mchana!
 
Sasa Victoire unaleta ubishi wa Gwajiboy! Eti mkono wa bouncer sio wangu. Mbona mauno hajasema sio yangu ya bouncer?
Teh teh teh. Dah mkuu! Hili la gwajiboy, mtu akilielezea huwa ninacheka sana....' mkono wa bouncer siyo wangu lakini mauno hayajatolewa maelezo!'...Jf kuna vichwa!
 
Kaka
Kitu cha kwanza wajiulize kwanini wanaruhusu akili yao kuamini kwenye uzushi wa mitandaoni? Pili hatuna utaratibu wa kupewa taarifa za hali za afya binafsi za viongozi na hutuwezi kuufanya kuwa utaratibu wetu leo hii sababu ya uzushi wa mitandaoni tutaonekana wapumbavu kwa wananchi na hata kwa mataifa ya kigeni.. Na walipaswa kumwelewa vyema rais aliposema anatamani malaika wangeshuka wakaifungia hii mitandao ya kijamii fikirieni kwa fikra pana na dhima ya wanachokifanya Hao wanaosambaza Hizi Taarifa.
Wao serekali ndio wakulaumiwa kwa kushindwa kukanusha au kutoa taarifa kwa wananchi.
 
Huo moshi mbona kama upo nje ya tv,mtu kachoma kitu chini halafu akarekodi,moshi unapanda na kupita mbele ya kioo cha tv,sasa kwa vile tunaonyeshwa usawa wa angle za tv tu,unauona kama sehemu ya picha ya video,na hata Rais hakuonekana kuwa distracted kama kuna kitu mpaka camera ilipoondolewa.Kama ingekuwa kweli huo moshi ulimtokea pale,angestuka from the very beginning na hata security personnels wangemuwahi maana its almost 5 seconds tangu moshi uanze.Mmeanza mapichapicha yenu.Tuambieni tu ukweli,wengine tuna allergy na uongouongo.
Mnapoangalia video kwa ajili ya kufanya analyz wakati mwingine mtumie akili japo kidogo. Maana mkuu mwenyewe kasema hii ni kazi ya wana ruangwa mnaleta na moshi?

Punguza ganja ndugu
 
Back
Top Bottom