Chikwangara
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 685
- 939
"Bwana asipo ulinda mji, walindao wanakesha bure"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mtamponza Nape akaombe radhi tena. Na safari hii atatembea kwa magoti tokea Kariakoo huku akirekodiwa hadi nyumba kuu.Wakuu nmesikia saut ya nape au masikio yangu tuuuuu
Huo moshi mbona kama upo nje ya tv,mtu kachoma kitu chini halafu akarekodi,moshi unapanda na kupita mbele ya kioo cha tv,sasa kwa vile tunaonyeshwa usawa wa angle za tv tu,unauona kama sehemu ya picha ya video,na hata Rais hakuonekana kuwa distracted kama kuna kitu mpaka camera ilipoondolewa.Kama ingekuwa kweli huo moshi ulimtokea pale,angestuka from the very beginning na hata security personnels wangemuwahi maana its almost 5 seconds tangu moshi uanze.Mmeanza mapichapicha yenu.Tuambieni tu ukweli,wengine tuna allergy na uongouongo.Na huo moshi vipi mkuu
Source ya moshi ilikuwa nini? Ikawaje wakaruhusu source ya moshi iwe karibu na Mkubwa.
Mmmh ya kweri hayo mkuu kwani ilikua ktk kijiji gani ili tujilizishe kwa kuwasiliana walioko kijijini hapo
😂😂Mnatuchanganya tu,ah!Ngoja nikapulize zaidi mpaka nione vizuri!Wewe ndo umevuta bhangi kwelii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani huo moshi ulipovumaa hukuona kama jamaa wakakatosha hotuba akati alikuwa ndo kwanza anaanza????
we jamaa acha kututia taharukiNapishana hapa na msafara wa mama Samia akitokea maeneo ya Lugalo!
Mkurugenzi toka marekani mkuu wa wilaya mkuu wa Takukuru wote wamefukuzwa kazi pindi magufuli kapita huko wakaamua kwenda kwa Sangoma wa Ruangwa kwa msaada wa membe ndipo moshi wa ndumba ukawashwa na kumlewesha
Ipo na baada ya pale aliendelea kuhutubia.Hii video imerekodiwa na simu kutoka kwny TV, ukiangalia hapo hyo channel inaitwa JWEE info.
J WEE INFO ni online youtube TV kma MillardAyo but nimeenda kucheck Youtube channel hii video nimetafuta sijaiona.
So its either its video ime-editiwa au video its a true video iliwekwa then ikafutwa haraka before haijasambaa kuzuia taharuki.
Bado maswali ni mengi, majibu hakuna. Kuna jambo kubwa.
Yes ni flash ya camera...origional inaonyesha moshi tu na Mkulu aliendelea kuhutubiaMkuu huenda huo mwanga ni flash ya camera aliekuwa anarecod iyo video
Ipo na baada ya pale aliendelea kuhutubia.
Kutoamini kwako hakuondoi vodoo. Kilichopo kipo. Agizo la Mungu ni kutomwachasiamini katika vodoo!
Video aliyoendelea kuhutubia ipo wapi??Yes ni flash ya camera...origional inaonyesha moshi tu na Mkulu aliendelea kuhutubia
Teh teh teh. Dah mkuu! Hili la gwajiboy, mtu akilielezea huwa ninacheka sana....' mkono wa bouncer siyo wangu lakini mauno hayajatolewa maelezo!'...Jf kuna vichwa!Sasa Victoire unaleta ubishi wa Gwajiboy! Eti mkono wa bouncer sio wangu. Mbona mauno hajasema sio yangu ya bouncer?
Wao serekali ndio wakulaumiwa kwa kushindwa kukanusha au kutoa taarifa kwa wananchi.Kaka
Kitu cha kwanza wajiulize kwanini wanaruhusu akili yao kuamini kwenye uzushi wa mitandaoni? Pili hatuna utaratibu wa kupewa taarifa za hali za afya binafsi za viongozi na hutuwezi kuufanya kuwa utaratibu wetu leo hii sababu ya uzushi wa mitandaoni tutaonekana wapumbavu kwa wananchi na hata kwa mataifa ya kigeni.. Na walipaswa kumwelewa vyema rais aliposema anatamani malaika wangeshuka wakaifungia hii mitandao ya kijamii fikirieni kwa fikra pana na dhima ya wanachokifanya Hao wanaosambaza Hizi Taarifa.
Kuna link humu ndani zimewekwa ukiplay utaona yoteVideo aliyoendelea kuhutubia ipo wapi??
Mnapoangalia video kwa ajili ya kufanya analyz wakati mwingine mtumie akili japo kidogo. Maana mkuu mwenyewe kasema hii ni kazi ya wana ruangwa mnaleta na moshi?Huo moshi mbona kama upo nje ya tv,mtu kachoma kitu chini halafu akarekodi,moshi unapanda na kupita mbele ya kioo cha tv,sasa kwa vile tunaonyeshwa usawa wa angle za tv tu,unauona kama sehemu ya picha ya video,na hata Rais hakuonekana kuwa distracted kama kuna kitu mpaka camera ilipoondolewa.Kama ingekuwa kweli huo moshi ulimtokea pale,angestuka from the very beginning na hata security personnels wangemuwahi maana its almost 5 seconds tangu moshi uanze.Mmeanza mapichapicha yenu.Tuambieni tu ukweli,wengine tuna allergy na uongouongo.