Nini kilimuua Mehmed II aliyetaka kuufuta ukristo/dola ya kirumi ulaya ??

mkuu unajua mi ni guru wa haya mambo lakini hutaki kunipa tag
najua unaogopa ukweli mchungu
hebu nisije kuyumbisha imani yako pendwa ya kiristo😀😀
Hahahahaha najua mkuu ila wwe na mwenzio Kiranga ni atheists sasa hizi mada zinazogusa dini huwa tunawakwepa msije mkawafanya watu wakimbie nyumba za ibada 😀😀
 
.... Very interesting!.. Je unajua pia kuwa mtu aliyetaka kumuua papa John Paul wa 2 kuwa (Mehmet Ali Agca) ana nasaba na huyo Mehmed?!. Wonders
Duh uko deep sana sikuwa na hili wazo.... Ina maana chuki bado inaendelea au coincidence tu
 
Hivi huyu au Suleman I the magnificent nani alikua anaitisha ulaya zaidi
Huyu Mehmed II naona ndio alikuwa hatari zaidi maana aliweza kuwapiga biti hadi ulaya ikatetemeka
 
aiseee....hiyo laana kumbe ndio maaana alikufa kiboya "" hiyo dini alikuwa anaitangaza vipi sasa wakati alikuwa mshenzi "" yaani anahubiri watu wafnye mambo ambayo yeye mwenyew yanamshinda ...huu ulimwengu bwana
Mkuu Yule alikua anahubiri au anachinja watu waliokataa kuslim
 
Mehmet hakujua kuwa wabunifu wa dini yake ya kiislam ni vaticani kwa lengo la kuua ukristo wa kweli,lakina sio kuua mamlaka ya upapa.dini ya kiislamu iliazinshwa kwa siri na kanisa la roman catholic kwa kuwatumia jesuits na Khadija mama mjane tajiri kwa wakati huo amabae alilirisha kanisa mali zake zote na akaolewa na mtume Muhamad.
lengo la jesuits ililikuwa kuua ukristo uliokuwa umeshamiri ulaya mashariki mpaka mashariki ya kati na Afrika kaskazin.
siri wanayo viongozi wa juu wa dini hizo,ndio maana ukatoriki na uislam una vitu vinafanana,na uislam unaukosoa mno ukatoriki zaidi kuliko ukristo kwa ujumla.mengi yanayokosolewa msingi wake ni mapokeo ya kipagani ya kanisa la katoliki
 
Duh hii mbona kali mkuu..... Dunia ina siri nyingi sana hii
 
Hiyo story ina ukweli kumbe.... So vampires do exist??
story ya "Vampire" haina ukweli wowote!. Zamani baba yake Vlad the Impaler (dracula) alikuwa anaitwa Vlad ambapo baada ya kutoka pigana crusade akarudi Transvania kutawala akaadapt neno 'The Dracul' ambalo kwa english lilimaanisha " The Dragon" so akawaita na watoto wake "Dracula" ambalo lilimaanisha "Son of the DDragon", baada ya kufa na mtoto wake mmoja kurithi ufalme ingawa hakuurithi kiamani ilibidi jamaa amuue binamu yake alliyekuwa amewekwa kama mfalme. Huyu Vlad II akaja kuitwa "dracula" yeye alikuwa katili kweli!!.. Alikuwa akikamata adui hakuwa na haja ya kuwaua lakini alikuwa anawakata kifundo (kile kisehemu kwenye mguu- sijui nimepatia kiswahili chake) ina maana wenzenu wakija wanawakuta mpo chini mnaumia na wengine lazima naturally Mfe!...
Kutokana na adhabu za huyu Vlad II wakampa nickname ya "The Impaler" ambapo wengine wakamuita. Baada ya miaka kupita wazungu kukumbuka mateso ya huyo jamaa wakalink neno "dracula" na unyonyaji damu. Ambapo kwa kipindi hicho bado kuna ujinga ulaya (dark ages).
Historia ya maana Dracula ni kutoka neno Dracul likimaanisha Dragon!!.. ambalo nalo ukija uliza lilitoka wapi ni kutoka kwenye muungano flani wa wafalme wa kipindi hicho ulioitwa Order of Dragon. Wale wafalme waliokuwa wanaenda kupigana crusade wars wote walikuwa chini ya order of dragon nembo yao msalaba.
Hiyo order of dragon ipo chini ya Papa, kila alippokuwa akihitaji kupigana vita anaitumia kuwaita wafalme wote maana wapo chini yake, vita itaitwa 'crusade'.
Kukujibu short VAMPIRES ARE MYTHS!..
 
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa huyu Mehned The Conqueor alifariki 3 May 1481 kwa ugonjwa ambao haukutajwa japo alipigana vita vingi sana.
Aliwahi kuvamia
Serbia
Italy
Albania
Moldavia
Bosnia

Baada ya watu wa ulaya kusikia kuwa huyu Mpiganaji wa JIHAD amekufa makanisa mengini yalikuwa yanapiga kengele kwa fujo huku watu wanaoishi katika mji wa Venice nchini Italy wakiimba kwamba TAI MKUBWA AMEKUFA


Hiyo picha hapo juu ni kaburi lake
 
Ni propaganda tu hii....UISLAMU unafanana zaid na uyahud kuliko ukristo....kwa sabab katka series ya mitume wote na the same bloodline na Muhamamad alitumwa kuja kukamilisha kile kilichoanzishwa na nabii Adam....hakuja na jipya sana isipokuwa Quran tukufu ambayo n mjumuisho wa Torati la kweli, zaburi iliosahih, injili ya kweli na Quran yenyewe iliokamilisha mfumo sahihi wa maisha uliokusudiwa na Mwenyezi.......ndio maana hutoona tofauti kubwa baina ya Uyahudi na Uislam. Mtume Muhammad n wa mwisho katka ile bloodline ya kitume toka kwa Nabii Ibrahim(Baba wa Mitume)

Hoja kuwa uislam umeanzishwa na RC Church.....n propaganda zisizo na mashiko lengo kuwahadaa watu waone kumbe dini hiz za kimapokeo n mpango tu wa Majesuits......

Mfananano wa Propaganda hii ni kama ile ya kusema vyama vyote vya Upinzani Tanzania vilianzishwa na CCM lengo wafadhili waone eti tuna democracy-Ni Urongo wa dhahir kabsa !! Vipo baadh lakin hilo halihalilish zoezi zima !! Hivyo kama kuna matawi ya U-RC yalotokana na U-RC sawa lakin hilo haliwez kushajihisha kuwa uislam umeanzishwa na Ukatolik !!
 
Huyu mehmet al fatih ni mmoja wa masultan wa modern Ottoman empire,pamoja na suleiman the great,kama sikosea suleiman the great alikuja baada ya mehmet,
nchi ambayo iliisumbua sana Ottoman empire ni Hungary empire,

huyu mehemet alijulikana kama the master of two sea and two continent,
kwa jinsi alivyokuwa amepanua empire yake maeneo makubwa ya ulaya na asia.

Lakini Ottoman ilianza kupigana na nchi za ulaya tangu miaka ya 900 AD wakati crusade inaanza.

Ottoman empire ndo iliuangusha ufalme wa byzantine na kuteka mji wa costantinople uliokuwa makao makuu ya Roman empire upande wa mashariki,

huu mji iulipokuwa hatarini kuteka costatine II aliomba msaada toka Rome.

Pope akatuma meli 20 zimejaa askari kuja kuongeza nguvu,

basi kesho yake waturuki wakauzunguka mji kwa meli karibu 200 ,eti meli zingine zikapitiliza mpaka nchi kavu kwa kilomita kadhaa baada ya kuweka manyasi,mji ukawa under siege kwa karibu siku 100 kabla haujaanguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…