Nini kilimuua Mehmed II aliyetaka kuufuta ukristo/dola ya kirumi ulaya ??

Nini kilimuua Mehmed II aliyetaka kuufuta ukristo/dola ya kirumi ulaya ??

Duuh,mkuu huyo dracula alikuwa vampire??
DRACULA kiingereza ni SON OF THE DRAGON limetoka kwenye neno DRACUL lenye maana ya DRAGON.. Ukitaka jua zaidi tafuta historia ya VLAD I "The Dracul" au mtoto wake VLAD II (Dracula) "The Impaler".
 
Hebu fatilia nyuzi zangu kuhusu hizi mambo kwenye jamii intelligence
"bible is a fake"
Nipe nyuzi moja uliyoandika kuhusu huyo mungu unayemwabudu ili nitafute ktk jamii forum.

Mi nakusomaga na huwa inaishia unarukatuka tu, na katika nyuzi zako zote hujawahi kumbainisha
Jina lake,
Alikojitambulisha,
Hadhi yake,
Sheria zake,
Maneno yake ie, anachosema,
Nk.
Hebu sema sasa huyo mungu wako mmeonana wapi ?
Unaweza kutuonesha na sisi alipo kwa sasa ?
Anaishi wapi ?
Anakula nini ?
Nk.
Sema hapa wacha kurukaruka kama ulivyozoea.
 
DRACULA kiingereza ni SON OF THE DRAGON limetoka kwenye neno DRACUL lenye maana ya DRAGON.. Ukitaka jua zaidi tafuta historia ya VLAD I "The Dracul" au mtoto wake VLAD II (Dracula) "The Impaler".
Ila huyu Jamaa hajamfikia Jamaa mmoja anaitwa Alexander the great... Jamaa alikuwa hatari sanaaaa
 
Ila huyu Jamaa hajamfikia Jamaa mmoja anaitwa Alexander the great... Jamaa alikuwa hatari sanaaaa
Yeah huyu jamaa hakuwa mtawala wa empire yeyote kubwa ni kaeneo kadogo sana!!..Ambako nako kalikuja vamiwa na Rumi nazani wakauliwa watu wake yeye akakimbilia ugenini ambako napo wakamtengenezea zengwe akafungwa!!..Ila Legacy yake inabaki kwenye ukatili aliokuwa anawafanyia mateka wake!.. Alexander the Great ni habari ingine ile!!..
 
Ni lini waislam wameanza kuabudu majini au umekaririshwa tu mkuu..... Yaani waache kumuabudu Allah waabudu viumbe??? Duh
Anyway ngoja nikawaite wenye dini zao

Cc kahtaan hydroxo inamankusweke
Hakuna kukaririshwa huo ndo ukweli. Allah sio mungu. Wala subian wata' allah haya ni majinni
 
.... Bandugu.. Tunapo toa maoni yetu. Tuheshimu pia dini na imani za wenzetu jamani. Mimi dini yangu ni Mzuvendi wa Gaga-gogo - coco Catholic Orthodox Chapel of Commons. Najua hamuwezi kunitukana. Kwani imani yangu hamuijui. Ila Tuheshimu wengine jamani.
 
mkuu habari...nimepndezwa mnooo na hili jibu lako "" lakini kwann usianzie mwanzo ili tusiomfahamu vyema huyo Jamaa kabla yakuja kuingia Roma hayo madaraka yake aliyatoa wapi na aliyapata vipi ...yaani tupate full package ya maisha ya huyo mtu ""
maana sisi wengine hatumjui ati
Baba yake alikuwa mtawala ,alivyokuwa na miaka 11 alipewa u-governor ,mzee wake alivyokufa huyu chalii akiwa na miaka 21 kama kamanda aliingia Instabul na kuchukua Viunga vyote vya uturuki ya sasa ,Serbia na nchi zingine za ulaya akiwa na miaka 21..ndiye aliyeipa nguvu sana ottoman enpire kipindi chake
 
Shujaa ni mtu anayejitolea kwa lolote lile,Tuseme mtu anaejitosa

Kwahiyo haijalishi mzuri au mbaya ,ndio maana kuna matendo ukifanya unaambiwa "Hee yani umefanya kishujaa"
thanks bae "" Mandela aliwahi kusema ""ubaya wa che guavera unategemea na mahali anapopasimamia""
kwa wapnda haki ataonekana mwema ..kwa wapinga haki ataonekana adui kwao
 
Hakuna kukaririshwa huo ndo ukweli. Allah sio mungu. Wala subian wata' allah haya ni majinni
Mkuu sikuanzisha uzi kwa mijadala ya kidini kama wwe unaona waislam wana imani mbovu basi ukaanzishe uzi wako ila kuanza kukashifu dini za watu humu nao wakijibu mapigo uzi utapoteza maana.... Hapa zungumzia issues kwa jicho la kihistoria sio kidini please zingatia hilo
 
Tofauti ya Alexndra the great na mehemet ni kuwa,huyu wa kwanza alikuwepo miaka 1700 kabla ya huyu wa Turkey.
Kipindi bado wanapigana kwa mikuki,mishale na mapanga,

huyu wa Turkey ni mwaka 1400 BC wakati silaha za moto zishaanza kutumika,

Alexndra alikuwa mfalme wa macedonia ambae kipindi chake ndo aliuangusha ufalme wa persia ambao ulikuwa ushadhoofika mno kipindi hicho,
Alexndra alifika mpaka india lakini kabla hajaiteka india alirudi nyuma kurudi hadi arabia,
alifariki babylon wakati akijiandaa na kampeni ya kuteka maeneo ya arabia
 
Hakuna kukaririshwa huo ndo ukweli. Allah sio mungu. Wala subian wata' allah haya ni majinni


Ningependa nikuulize swali moja kuhusiana na jambo hilo la majini kama hutojali tafadhali!
 
Nipe nyuzi moja uliyoandika kuhusu huyo mungu unayemwabudu ili nitafute ktk jamii forum.

Mi nakusomaga na huwa inaishia unarukatuka tu, na katika nyuzi zako zote hujawahi kumbainisha
Jina lake,
Alikojitambulisha,
Hadhi yake,
Sheria zake,
Maneno yake ie, anachosema,
Nk.
Hebu sema sasa huyo mungu wako mmeonana wapi ?
Unaweza kutuonesha na sisi alipo kwa sasa ?
Anaishi wapi ?
Anakula nini ?
Nk.
Sema hapa wacha kurukaruka kama ulivyozoea.
tatizo lako unauliza maswali mengine ya ovyo
eti mungu wangu anakula nini
nimekwambia nenda katafute threads nilizoanzisha kuhusu hya mambo
kwa kukusaidia kasome the papyrus of ani na papyrus of hanefer
ukimaliza kusoma utajua ukristo/uislam wak ulikopi nini kutoka wapi
acha uvivu kusoma
ok..umejiunga JF juzi tu
 
Ulaya zamani ikishambuliwa hasa na waislamu/ottoman ilikuwa inajikusanya na kuwa wagumu sana. Wanajeshi wanatoka hadi Sweden huko. Hakuna jeshi limewahifanikiwa teka Ulaya yote, si wapersia, si wa Mongolia si waottoman. Ndiyo maana wanatamani sana kuwa na EU yenye nguvu.
 
Hispania ilikuwa nchi ya Kiislam, ilikombokewa baadae katika vita ya Msalaba. Sina uhakika na historia ya Ureno ingawa ninafahamu mji wa Fatima uliopo Ureno ulipata jina lake kutokana na mfalme kumpa mji ule binti yake kama zawadi.
Spain ilivamiwa na kugeuzwa islamic country kimabavu kabla haija kombolewa tena. Ilivamiwa kutokea Moroko. Tangu hapo kulikua na maingiliano makubwa kati ya Spain na Moroko. Raia wa Morocco walikua hawahitaji visa kwenda spain hadi mwaka 1985 utaratibu ulipobadirika ambapo spain ilikua ikifuata vigwzo vya kujiunga na umoja wa ulaya.
Waislam ni asilimia 4 ya population ya watu hispania. Ingawa 58% ya population ya waislam wa spain ni wale wasiokua na uraia wa spain.
 
Back
Top Bottom