Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Natamani kujua aisee hii kitu,kwamba vampire ni real thing.?Sio yeye ambaye alikua vampire ni yule mfalme wa romania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani kujua aisee hii kitu,kwamba vampire ni real thing.?Sio yeye ambaye alikua vampire ni yule mfalme wa romania
DRACULA kiingereza ni SON OF THE DRAGON limetoka kwenye neno DRACUL lenye maana ya DRAGON.. Ukitaka jua zaidi tafuta historia ya VLAD I "The Dracul" au mtoto wake VLAD II (Dracula) "The Impaler".Duuh,mkuu huyo dracula alikuwa vampire??
Sie tunaambiwa limeanza karne ya 21.Basi suala la marinda lina historia ndefu kwa kweli.
Nipe nyuzi moja uliyoandika kuhusu huyo mungu unayemwabudu ili nitafute ktk jamii forum.Hebu fatilia nyuzi zangu kuhusu hizi mambo kwenye jamii intelligence
"bible is a fake"
Aiseee hii crusade mbona ni team ya mpira iko huko North Ireland..... team kubwa sana... ..Pitia hapa mkuu mwaka 1095 ndio wakristo walianza kuchinja watu wote waliokataa kubatizwa
Crusades - Wikipedia
Ila huyu Jamaa hajamfikia Jamaa mmoja anaitwa Alexander the great... Jamaa alikuwa hatari sanaaaaDRACULA kiingereza ni SON OF THE DRAGON limetoka kwenye neno DRACUL lenye maana ya DRAGON.. Ukitaka jua zaidi tafuta historia ya VLAD I "The Dracul" au mtoto wake VLAD II (Dracula) "The Impaler".
Yeah huyu jamaa hakuwa mtawala wa empire yeyote kubwa ni kaeneo kadogo sana!!..Ambako nako kalikuja vamiwa na Rumi nazani wakauliwa watu wake yeye akakimbilia ugenini ambako napo wakamtengenezea zengwe akafungwa!!..Ila Legacy yake inabaki kwenye ukatili aliokuwa anawafanyia mateka wake!.. Alexander the Great ni habari ingine ile!!..Ila huyu Jamaa hajamfikia Jamaa mmoja anaitwa Alexander the great... Jamaa alikuwa hatari sanaaaa
Hakuna kukaririshwa huo ndo ukweli. Allah sio mungu. Wala subian wata' allah haya ni majinniNi lini waislam wameanza kuabudu majini au umekaririshwa tu mkuu..... Yaani waache kumuabudu Allah waabudu viumbe??? Duh
Anyway ngoja nikawaite wenye dini zao
Cc kahtaan hydroxo inamankusweke
Baba yake alikuwa mtawala ,alivyokuwa na miaka 11 alipewa u-governor ,mzee wake alivyokufa huyu chalii akiwa na miaka 21 kama kamanda aliingia Instabul na kuchukua Viunga vyote vya uturuki ya sasa ,Serbia na nchi zingine za ulaya akiwa na miaka 21..ndiye aliyeipa nguvu sana ottoman enpire kipindi chakemkuu habari...nimepndezwa mnooo na hili jibu lako "" lakini kwann usianzie mwanzo ili tusiomfahamu vyema huyo Jamaa kabla yakuja kuingia Roma hayo madaraka yake aliyatoa wapi na aliyapata vipi ...yaani tupate full package ya maisha ya huyo mtu ""
maana sisi wengine hatumjui ati
Shujaa ni mtu anayejitolea kwa lolote lile,Tuseme mtu anaejitosaShujaa anachinja mji mzima?
thanks bae "" Mandela aliwahi kusema ""ubaya wa che guavera unategemea na mahali anapopasimamia""Shujaa ni mtu anayejitolea kwa lolote lile,Tuseme mtu anaejitosa
Kwahiyo haijalishi mzuri au mbaya ,ndio maana kuna matendo ukifanya unaambiwa "Hee yani umefanya kishujaa"
we ni egyptologist mwenzangu nimekushtukiaAseee tupo wengi mkuu shusha nondo watu wafunguke akili humu bila kusahau kina Nefertiti na Ramses
Mkuu sikuanzisha uzi kwa mijadala ya kidini kama wwe unaona waislam wana imani mbovu basi ukaanzishe uzi wako ila kuanza kukashifu dini za watu humu nao wakijibu mapigo uzi utapoteza maana.... Hapa zungumzia issues kwa jicho la kihistoria sio kidini please zingatia hiloHakuna kukaririshwa huo ndo ukweli. Allah sio mungu. Wala subian wata' allah haya ni majinni
Hakuna kukaririshwa huo ndo ukweli. Allah sio mungu. Wala subian wata' allah haya ni majinni
tatizo lako unauliza maswali mengine ya ovyoNipe nyuzi moja uliyoandika kuhusu huyo mungu unayemwabudu ili nitafute ktk jamii forum.
Mi nakusomaga na huwa inaishia unarukatuka tu, na katika nyuzi zako zote hujawahi kumbainisha
Jina lake,
Alikojitambulisha,
Hadhi yake,
Sheria zake,
Maneno yake ie, anachosema,
Nk.
Hebu sema sasa huyo mungu wako mmeonana wapi ?
Unaweza kutuonesha na sisi alipo kwa sasa ?
Anaishi wapi ?
Anakula nini ?
Nk.
Sema hapa wacha kurukaruka kama ulivyozoea.
Spain ilivamiwa na kugeuzwa islamic country kimabavu kabla haija kombolewa tena. Ilivamiwa kutokea Moroko. Tangu hapo kulikua na maingiliano makubwa kati ya Spain na Moroko. Raia wa Morocco walikua hawahitaji visa kwenda spain hadi mwaka 1985 utaratibu ulipobadirika ambapo spain ilikua ikifuata vigwzo vya kujiunga na umoja wa ulaya.Hispania ilikuwa nchi ya Kiislam, ilikombokewa baadae katika vita ya Msalaba. Sina uhakika na historia ya Ureno ingawa ninafahamu mji wa Fatima uliopo Ureno ulipata jina lake kutokana na mfalme kumpa mji ule binti yake kama zawadi.