Nini kimeifanya Rwanda ipunguze kupitishia mizigo Tanzania na kugeukia Kenya?

Mleta mada anahoja ya MSINGI, Mwigulu et al, lifanyieni kazi hili
 
Mimi sina roho ya chuki iliyojaa ushamba mwingi ndani yake.
 
Hivi haya maneno uli yakariri kwamba hata siku moja hayabadiliki?
Sita shangaa ukipata jibu toka kwa 'Steve' kuwa hiyo reli wapewe DP World; lakini ukimwambia tuwape serikali ya mama na mama mwenyewe akae pembeni; hapo hutapata jibu.
Ndio ukweli wenyewe, tatizo lenu ni lile lile la chuki ya kwanini Samia awe rais wa sita wa JMT mnachosahau au mnachokiweka pembeni vichwani mwenu ni ukweli kwamba urais unapangwa na Mungu mwenyewe alishaandikiwa tangu yupo tumboni mwa Mama yake.
 
Kwani dp world ndo inajenga reli?
Ni mteja mkubwa wa hiyo reli, inajengwa ili ilete faida kubwa za kiuchumi. Kubeba abiria ni sehemu tu ya mojawapo ya malengo ya reli lakini kikubwa iwe chanzo kimojawapo cha mapato ya hazina yetu.
 
Ukiwa kiongozi wa nchi naamini unatazama malengo mapana ya kitaifa. Huyo DPW anawafaidisha wote watatu DRC, Rwanda na Tanzania na kila taifa kwa namna lilivyojipanga kibaishara.

Kagame kazaliwa 1957 Samia kazaliwa 1960 hawana uzee huo tunaodhani wameshaufikia.
 
Ni mteja mkubwa wa hiyo reli, inajengwa ili ilete faida kubwa za kiuchumi. Kubeba abiria ni sehemu tu ya mojawapo ya kazi za hiyo reli lakini kikubwa ni iwe chanzo kimojawapo cha mapato ya hazina yetu.
Dp world wamefeli hakuna kitu wameongeza pale bandarini kabla ya wao kuja Rwanda alikuwa anatumia bandari ila wamekuja wao Rwanda anahama
 
Dp world wamefeli hakuna kitu wameongeza pale bandarini kabla ya wao kuja Rwanda alikuwa anatumia bandari ila wamekuja wao Rwanda anahama
Sidhani kama unapitisha hapo bandarini hata kontena moja la magodoro, makelele mengine ya JF katika kuongelea masuala ambayo ufahamu wake huwa ni sifuri tu.
 
Na Tujiandae withini 5 year Rwanda atatuzidi mbali mno na sie tukiendelea na ulofa wetu huu! Nchi ya kishenzi sijawahi ona 😬😬
 
Deal la nchi tatu za afrika mashariki na DPW ni kubwa na lilipangwa miaka kadhaa iliyopita.

Rwanda kupitisha mizigo yao bandari ya Kenya ni maamuzi yao na hayawezi kuifanya Tanzania ikaingiwa na hofu yoyote.
Hivi ukiwa ccm lazima uwe mpumbafu kiasi hiki,mizigo ya bandari inapungua wewe unasema hatuna hofu,atoke rwanda,atoke zambia,atokea malawi atoke congo uonre hali itakavyokuwa mbaya,hivi hujui ni mapato kiasi gani yanapatikana bandarini kwa sababu ya upitishaji wa bidhaa kwenda au kutoka kwenye hizo nchi.

Punguani wa head wewe.

Wekeni mipango imara,ondoeni urasimu boresheni barabara.
 
kwanza tupe source ya takwimu hizo ndipo tunaweza kuchangia
 
Issue ni Tanzania imeongeza Kodi kwenye bidhaa za maziwa kutoka Rwanda hiyo ndio sababu kubwa tafuta Habari acha kupiga siasa.
 
Ilisemwa bandari wakipewa DP World mizigo inayopitia bandari ya DSM toka nchi jirani itaongezeka naona imekuwa vice versa kwa Rwanda.
Tuliambiwa tutaongeza efficiency! Efficiency inaweza kupimwa kwa parameters nyingi.
 
Mkuu naomba data hizi aisee, ili hoja ijengwe namna ya kuishawishi serikali kuongeza mapato!
 
Taja wawili tu kwa mfano ambao wapo serikalini na sio watz?

Mkuu wenu wa majeshi aliropoka hadi Leo hajataja hata mmoja ili achukuliwe hatua. Mnapenda sana story za vijiweni.
Tamko la mkuu wa majeshi ni story za vijiweni?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…