Nini kimemkuta Waziri Mchengerwa?

Wacha wee
 
Andenda kumdhibiti msemaji wa serikali, pia hyo wizara haina skendo na huenda manjagu alikuwa hawaheshm wakaomba aondolewe.

Manjagu wamepelekewa mhagama mpole, tax mpole na masauni mpole

Hapana dogp alizengua na alikua anaelekea kumchafua bi mkubwa kwa tamaa zake … pamoja na kuwa akiongea utajua huyu mtu ana madhaifu ya ujana pia … akijirekebisha atakuja kuwa kiongozi mzuri ila kwa sasa hajakomaaa kushika wozara Nyeti
 
Natamani kujua mawazo yako kuhusu huu uteuzi wa wakuu safari hii...
 
Andenda kumdhibiti msemaji wa serikali, pia hyo wizara haina skendo na huenda manjagu alikuwa hawaheshm wakaomba aondolewe.

Manjagu wamepelekewa mhagama mpole, tax mpole na masauni mpole
Hivi unajua hata unachoongea? Msemaji wa Serikali yupo wizara ya sanaa na utamaduni?
 
Kweli kabisa Chief, wizara kama madini, nishati, ujenzi na uchukuzi, fedha, afya na mambo ya ndani ni pasua kichwa sana! Ni bora ufichwe huko mambo ya nje, muungano, michezo, mifugo! Mkwere udhaifu wake haukuonekana sababu alijificha mambo ya nje miaka 10! Nakumbuka fedha na nishati hakudumu sana, kingmakers walishaona pangemuharibia
 
Andenda kumdhibiti msemaji wa serikali, pia hyo wizara haina skendo na huenda manjagu alikuwa hawaheshm wakaomba aondolewe.

Manjagu wamepelekewa mhagama mpole, tax mpole na masauni mpole
Kuna ukweli hapa
 
Mchengerwa atafua, kupika na kuosha vyombo. Na kuchelewa kurudi nyumbani marufuku.
Hiyo Ni indiketa aseme nyee nyee aone.
 
Andenda kumdhibiti msemaji wa serikali, pia hyo wizara haina skendo na huenda manjagu alikuwa hawaheshm wakaomba aondolewe.

Manjagu wamepelekewa mhagama mpole, tax mpole na masauni mpole
Msemaji wa Serikali yupo chini ya Waziri Nape
 
Kutoka wizara nyeti ya Utawala Bora na Utumishi wa Umma mpaka Wizara ya Michezo? Nini kimemkuta waziri huyu kutoka royal family?
Akiwa nyumbani alijaribu kumpiga mtoto wa mama kwhyo mtoto kaenda kushtaki kwa mama yake Ikulu na mama kampa Mchengerwa last warning na kumuondoka katika wizara ya karibu na yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…