Nini kimepelekea Kadinali Pengo kuondolewa kwenye tovuti ya Jimbo Kuu la D'Salaam?

Kama ni hivyo basi picha ingeondolewa anapofikisha miaka 75 na tungetangaziwa.
Kumbe mkuu una majibu yako tayari ,maana umesema hujui,eumejulishwa hutaki kukubali.
Jibu alilokuoa jamaa ndo sahihi.

Sent using Brain
 
Alipowekwa kwnye website waumini hatukuambiwanalaf ni minor issuea hizi mkuu,
As long tunajua mda tu majukum yake yanapunguzwa taratibu na mrithi wake ypo tayari kitambo,No problem.

Sent using Brain
 
Kumbe mkuu una majibu yako tayari ,maana umesema hujui,eumejulishwa hutaki kukubali.
Jibu alilokuoa jamaa ndo sahihi.

Sent using Brain
Imetangazwa lini? Pengo siyo wa kuondolewa kimyakimya na Ruwa'Ichi kawa Askofu Mkuu lini wakati hiyo siku alikuwa Askofu Mkuu Mwandamizi?
 
Alipowekwa kwnye website waumini hatukuambiwanalaf ni minor issuea hizi mkuu,
As long tunajua mda tu majukum yake yanapunguzwa taratibu na mrithi wake ypo tayari kitambo,No problem.

Sent using Brain

Siy minor issue na ndiyo maana nimeuliza na ndiyo maana hii thread imefikisha watu zaidi ya 3000 wanaisoma.

Mtu mmoja katoa mfano mzuri wa Kinshasa, Zaire. Twende kwenye ukweli.
 
Kumbe hata ndani ya KANISA kuna ukabila(ubaguzi),basi si ajabu kwa hayo aliyoyasema@adolay kuwa ni kweli.
Na kama ni kweli,ana haki ya kuyasema na hata kumsema,kwa maana siamini kama ukristo unakubaliananayo.
Usimhukumu mtumishi wa Mungu
 
Kwa mujibu wa kanuni za Kanisa Katoliki Askofu wa Jimbo akitimiza umri wa miaka 75 anapaswa kumwandikia Askofu wa Roma (Pope) kumwomba kustaafu uongozi wa jimbo na hivyo kumpa nafasi kumteua mtu mwingine kushika nafasi hiyo.
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo atatimiza miaka 75 mwezi August 2019 lakini kwa maoni yangu Vatican wameishateua mrithi wake ambaye ni Mkapuchini Askofu Mkuu Yuda Thadei Ruwaichi (Ofcap).
Kwa wafuatiliaji wa ukatoliki Tanzania hili lilitarajiwa. Haya ni maoni yangu. Niishie hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Miaka 75 ni kigezo finyu ambao wote wakikitaja lazima wawe bubu wakiulizwa maswali zaidi. Maaskofu wote hufikisha miaka 75, mbona wengi tu hawaletewi? Muwe mnajibu hilo nyinyi washabiki wa hii hoja ya miaka 75.
 
Mimi nimesali leo na Cardinal Pengo ametajwa kama Askofu mkuu wa Dar es Salaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mk
Miaka 75 ni kigezo finyu ambao wote wakikitaja lazima wawe bubu wakiulizwa maswali zaidi. Maaskofu wote hufikisha miaka 75, mbona wengi tu hawaletewi? Muwe mnajibu hilo nyinyi washabiki wa hii hoja ya miaka 75.
Mkuu kumbe unamajibu unayo yataka na hutaki kueleweshwa,Wakatoliki wa jimbo la Dar asilimia kubwa tulikua tunajua Baba kadinali akifikisha miaka 75 atastaafu na anafikisha miaka hiyo August2019 na hata mwenyewe alishaongea huko nyumba,hata alivyokuja Luwaichi tulijua ndio atakua askofu mkuu wa jimbo ni taratibu tu zinazosubiriwa na mwezi wa august ufike kadinali astaafu
 
Rwaichi atakuwa na madaraka jimbo kuu DSM na siyo Tanzania yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Usipende kujikita kwenye hoja ya miaka itakushinda kama inavyokushinda. Unamtaja Pengo kustaafu hebu nipe sababu basi kwanini wafuatao hawakupewa waandamizi na miaka yao ya kustaafu hiyo kwenye mabano. Msipende siasa na porojo katika kila jambo.

01: Joseph Kilasara, (Age, 50.5), (Diocese, Moshi), (Year, 1966)
02: Jacob Koda, (Age, 52.3), (Diocese, Same), (Year, 2010)
03: Placidus Nkalanga, (Age, 54.4), (Diocese, Bukoba), (Year, 1973)
04: Eugéne Arthurs, (Age, 55.6), (Diocese, Tanga), (Year, 1969)
05: Fortunatus Lukanima, (Age, 57.6), (Diocese, Arusha), (Year, 1998)
06: Bernhard Hilhorst, (Age, 57.9), (Diocese, Morogoro), (Year, 1953)
07: James Holmes-Siedle, (Age, 59.1), (Diocese, Kigoma), (Year, 1969)
08: Herman Elswijk, (Age, 61.6), (Diocese, Morogoro), (Year, 1966)
09: John Rudin, (Age, 62.1), (Diocese, Musoma), (Year, 1979)
10: Arnold Ralph Cotey, (Age, 62.4), (Diocese, Nachingwea), (Year, 1983)
11: Patrick Winters, (Age, 62.7), (Diocese, Mbulu), (Year, 1971)
12: Maurus Komba, (Age, 65), (Diocese, Tanga), (Year, 1988)
13: Dennis Vincent Durning, (Age, 65.8), (Diocese, Arusha), (Year, 1989)
14: Adriani Mkoba, (Age, 66.7), (Diocese, Morogoro), (Year, 1992)
15: Christopher Mwoleka, (Age, 69.2), (Diocese, Rulenge), (Year, 1996)
16: Edward Aloysius, (Age, 69.6), (Diocese, Shinyanga), (Year, 1975)
17: Renatus Butibubage, (Age, 69.6), (Diocese, Mwanza), (Year, 1987)
18: Nicodemus Hhando, (Age, 70.9), (Diocese, Mbulu), (Year, 1997)
19: Cornelius Sambeek, (Age, 71.5), (Diocese, Kigoma), (Year, 1957)
20: Raymond Mwanyika, (Age, 72.4), (Diocese, Njombe), (Year, 2002)
 
Facts kama hizi Magilapeak na timu yake hawana uwezo wa kuzijibu. Ni kukimbia tu.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…