mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 842
- 1,549
apa mkiacha kuingiza siasa kwenye mambo ya msingi watu wakapima ndio mtapata ukweliWhile both Tanzania and South Africa face significant HIV challenges, South Africa has a higher adult HIV prevalence rate (around 19.6% for adults aged 15-49) compared to Tanzania's (around 4.5%).
Wanaleta siasa kwenye mambo serious nawaambia idadi kwa SA hawatufikii huku tumewazidi ila sababu ARV basi watu wanaona km haupo vile na watu hawanaapa mkiacha kuingiza siasa kwenye mambo ya msingi watu wakapima ndio mtapata ukweli
Umqomboti, aikona!Historia nayoijua ukimwi iliingia katikati mwa Africa Sasa ni miaka ya ngapi hio south wakapigwa na janga au Kuna mkono wa biashara kubwa ya dawa ilitakiwa yaani ni kama kamchezo wanatuchezea duniani.wanatupiga na janga halafu wanatupa relief kidogo nakulilia Africa yangu vita kila kukicha na sekta ya afya kuzidi kuzidiwa duniani kote.na Kuna tetesi coronavirus ilitengenezwa maabara kidigitali.
Historia nayoijua ukimwi iliingia katikati mwa Africa Sasa ni miaka ya ngapi hio south wakapigwa na janga au Kuna mkono wa biashara kubwa ya dawa ilitakiwa yaani ni kama kamchezo wanatuchezea duniani.wanatupiga na janga halafu wanatupa relief kidogo nakulilia Africa yangu vita kila kukicha na sekta ya afya kuzidi kuzidiwa duniani kote.na Kuna tetesi coronavirus ilitengenezwa maabara kidigitali.
Aikona, Umqomboti.Historia nayoijua ukimwi iliingia katikati mwa Africa Sasa ni miaka ya ngapi hio south wakapigwa na janga au Kuna mkono wa biashara kubwa ya dawa ilitakiwa yaani ni kama kamchezo wanatuchezea duniani.wanatupiga na janga halafu wanatupa relief kidogo nakulilia Africa yangu vita kila kukicha na sekta ya afya kuzidi kuzidiwa duniani kote.na Kuna tetesi coronavirus ilitengenezwa maabara kidigitali.
mkuu unajua kwanini privates hawaruhusiwi kutoa data za wahanga kwa bongo?While both Tanzania and South Africa face significant HIV challenges, South Africa has a higher adult HIV prevalence rate (around 19.6% for adults aged 15-49) compared to Tanzania's (around 4.5%).
Sababu idadi ni kubwa mnomkuu unajua kwanini privates hawaruhusiwi kutoa data za wahanga kwa bongo?
Wewe mpenda matako unatuletea kinyaaHuko hadi kufir@na watu wanafir@na kavu
Mkuu Kwa Uniform hizi, Kuwa Teacher kwa Madiba ni Kipengele.Kuna zile ngoma zao wananyanyua mguu mmoja juu ni Hatari na nusu
Niletee na yako. Kwanza umejuaje kama nayapenda? Au nilishakubutua showtime nini?Wewe mpenda matako unatuletea kinyaa
Hapo itakubidi upate ukimwi tu kwa kweliMkuu Kwa Uniform hizi, Kuwa Teacher kwa Madiba ni Kipengele.
View attachment 3280419View attachment 3280420View attachment 3280421View attachment 3280422View attachment 3280423View attachment 3280424View attachment 3280425View attachment 3280426View attachment 3280427View attachment 3280428View attachment 3280429View attachment 3280430View attachment 3280431View attachment 3280432View attachment 3280433View attachment 3280434View attachment 3280435View attachment 3280436
Historia nayoijua ukimwi iliingia katikati mwa Africa Sasa ni miaka ya ngapi hio south wakapigwa na janga au Kuna mkono wa biashara kubwa ya dawa ilitakiwa yaani ni kama kamchezo wanatuchezea duniani.wanatupiga na janga halafu wanatupa relief kidogo nakulilia Africa yangu vita kila kukicha na sekta ya afya kuzidi kuzidiwa duniani kote.na Kuna tetesi coronavirus ilitengenezwa maabara kidigitali.
Yohana the birdHistoria nayoijua ukimwi iliingia katikati mwa Africa Sasa ni miaka ya ngapi hio south wakapigwa na janga au Kuna mkono wa biashara kubwa ya dawa ilitakiwa yaani ni kama kamchezo wanatuchezea duniani.wanatupiga na janga halafu wanatupa relief kidogo nakulilia Africa yangu vita kila kukicha na sekta ya afya kuzidi kuzidiwa duniani kote.na Kuna tetesi coronavirus ilitengenezwa maabara kidigitali.
Ongea na WHO:Nipe hizo data sio hizo cooked data, SA hawatufikii kwa idadi ya watu wenye ngwengwe fanya suu tusiwape ARV ndio utaelewa yaan ARV zizimwe SA na huku zizimwe halafu angalia wapi watu wengi wanaanguka
Hiyo mikow kwantaarifa yako tu haitoboi south, takwim zinazochukuliws ni za nchi si eneo. Kama south inaongoza against tz kwa ujumla, njombe na kigoma ni watu wadogo sana?SA inaizidi Njombe, Iringa, Kagera? Yaan tukiweka hio mikoa mitatu tu SA chali
Cooked dataOngea na WHO:
South Africa has the highest number of people living with HIV globally, with an estimated 7.6 million, and a national HIV prevalence rate of 17.8% among adults, according to the WHO.
Here's a more detailed breakdown of the HIV situation in South Africa based on WHO data:
Key Statistics:
- People Living with HIV: South Africa has the highest absolute number of people living with HIV in the world, with an estimated 7.6 million people.
- HIV Prevalence: The national HIV prevalence rate among adults (15-49 years) is 17.8%.
- New HIV Infections: There were an estimated 160,000 new HIV infections in 2023.
- AIDS-Related Deaths: South Africa also experiences a significant number of AIDS-related deaths, with an estimated 45,000 in 2023.
- People on Antiretroviral Treatment: 5.7 million people in South Africa are on antiretroviral treatment
Akili yako ndogo sana, South Africa wana lishe bora, na nyama ni chakula cha kila siku.Nipe hizo data sio hizo cooked data, SA hawatufikii kwa idadi ya watu wenye ngwengwe fanya suu tusiwape ARV ndio utaelewa yaan ARV zizimwe SA na huku zizimwe halafu angalia wapi watu wengi wanaanguka
Nimekupa kwa uchache tu huko nilipotaja hawashangaani eti fulani ana Ukimwi wao ni jambo la kawaida km ilivyo Maralia au Homa ya Mafua sio kwamba wanatishika maana wanaona ni jambo la kawaida fanya suu ARV wasipewe ndio utajua SA ina idadi kubwa au huku ndio tuna idadi kubwaHiyo mikow kwantaarifa yako tu haitoboi south, takwim zinazochukuliws ni za nchi si eneo. Kama south inaongoza against tz kwa ujumla, njombe na kigoma ni watu wadogo sana?