Nini kimesababisha South Africa kuwa na HIV AIDS kwa rate kubwa?

Ina make sense na ndio maana hawauogopi wanauchukulia powa tu
 
Kila nnayemuona mtaani ana HIV sijui nani mzima dah kwa macho tu najua mtu mwenye HIV
Sio mtaani tu hata hapa wewe ulivyoshusha comment tayari unao wahi kituo cha afya kilichopo karibu nawe upatiwe ARV zako mapema
 
Sense ipi inayo make wewe? Una akili za namna gani hivyo unafikiri hizo ARV za SA zinatoka Peponi au?
ishu sio arv tu hapa ni pamoja na lifestyle pia inasaidia.
Wewe unadhani muathirika anayekula mboga saba(diet),kufanya mazoezi na muathirika anayekula ugali dagaa kila siku watafanana kiafya?
 
Za ndaani kbsa ni kuwa kipindi cha Apartheid,weusi walipigwa sana sindano za mdudu,ndio maana takwimu hizo ziko kwa waafrika weusi tu,wazungu wenye mdudu ni negligbly small au hakuna
Botswana hakukuwa na apartheid wala boers, hao walikuwa na maambukizi ya juu kuliko South Africa.

Vipi hapo tutafute nani wa kumtupia zigo la lawama, Waamerika ya Kusini si ndio?
 

Wana mila mbaya sana ambazo wanaona fahali kuziendeleza. Na zinawashughulikia kweli kweli. Hizi mila zetu zinaamini kwenye mizimu na matumizi ya Sangoma.
Hawa Sangoma ni waongo na walaghai. Imagine ndio wanaaminika katika kuwezesha watu kufanya maamuzi
 
Sio mtaani tu hata hapa wewe ulivyoshusha comment tayari unao wahi kituo cha afya kilichopo karibu nawe upatiwe ARV zako mapema
Hahah unatafuta wanachama kutomba sio need sio necesity aya viangalie tu vikipita
 
Yani kumbe huku watu hawasomi kabisa. Ingia google andika South Africa HIV/AIDS denialism u some utapata majibu ya why hiv prevalence ni kubwa South Africa. For almost 10 years their president being Thabo Mbeki denied existence of HIV even Zuma in one of his allegedly rape case he said he washed his genitals after the act. Read people, please read!
 
Kusini mwa jangwa la Sahara ni nchi mbili zinazokinzana kuwa na high rate za maambukizi , Swaziland(Eswatini) na South Africa, kama ya kwanza ni S.A basi ya pili huwa ni Swaziland na kama Swaziland ni ya kwanza basi S.A inakuwa ya pili.
College mates wawili waeswatini walikufa kwa ngwengwe, Eswatini ni noma sana, kama SA tu.
 
Sio mtaani tu hata hapa wewe ulivyoshusha comment tayari unao wahi kituo cha afya kilichopo karibu nawe upatiwe ARV zako mapema
Haupo serious, nimesoma comments zako naona huna takwimu ni porojo tu. Njoo na takwimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…