Gidamnyoda
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 110
- 213
Wapi nimewakataza wasiende majumbani,,wanakaribishwa mnoo,,mimi nimewahasa kuwa makini tu na nawatakia kazi njema yenye mafanikio lukukiNiwashauri waandikishaji wasikate tamaa wawafuate watu majumbani mwaoo
Hicho kituo kisicho na watu CCM inaweza kutangaza imepata kura 300Mtashangazwa zaidi siku ya kupiga kura. Kuna vituo havitapata watu kabisa
Kumbe hupo field mimi nipo naandikisha yaani watu kama leo imekua shida maana watu nyomi aiseeTuko field huku hali ni tetekuwanga sio tete tena
Cha ajabu kura kwenye vituo hivyo zitabandikwaMtashangazwa zaidi siku ya kupiga kura. Kuna vituo havitapata watu kabisa
HahahaHivi kuna nini mwaka huu mbona watu wengi wanajitokeza kujiandikisha aisse uchaguzi huu utakua mzuri sana
Watu nyomi hadi karatasi na kalamu zimeishaKumbe hupo field mimi nipo naandikisha yaani watu kama leo imekua shida maana watu nyomi aisee
HahahHicho kituo kisicho na watu CCM inaweza kutangaza imepata kura 300
Sasa kama hayo yote yanajulikana nini kinafabya watu wafatwe majumbani ,si waache tuu maana kila kitu kiko sawaMshindi anajulikana Sasa nikajiandikishe Ili kitokee nini?
Pili Maendeleo yanaletwa Sasa nikajiandikishe Ili iwaje?
Mwisho,mambo ya siasa sio kipaombele Cha Watanzania,kama unabisha uliza Chadema na maandamano Yao ππππ
Wewe unajizimia data...Kinachowaweka watawala si kura yako.Kabla ya mwaka 2015 kulikuwa na mwamko mkubwa sana kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha ili kutimixa adhima yao ya kuwacjagua viongozi wanaowataka.
Kuanzia 2010 hadi 2015 ulizuka msemo unaitwa Kichinjio. Yaani kadi ya mpiga kura ambapo mwenye nayo anaamua kumkatilia mbali Diwani, Mbunge au Rais anayeonekana hafai kwenye uongozi.
Wananchi walijivunia sana Viparata vyao " vichinjio" Ilikuwa hakuna kusukumana kwenda kujiandikisha.
Ghafla bini vuu wananchi wamesusa. Yaani imefika mahala hata ukiwapa rushwa hawaendi Ng'oo
Tutafakari kama taifa nini kimetokea? Je, uzalendo utatoka wapi ikiwa wananchi wanakwama kushiriki mambo ya kitaifa mepesi kama haya?
Je, tunaweza kufikia level ya uzalendo wa Wananchi wa Israel, Irani, Lebanoni au China?
Mkuu ambatanisha na viambata vyakeKabla ya mwaka 2015 kulikuwa na mwamko mkubwa sana kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha ili kutimixa adhima yao ya kuwacjagua viongozi wanaowataka.
Kuanzia 2010 hadi 2015 ulizuka msemo unaitwa Kichinjio. Yaani kadi ya mpiga kura ambapo mwenye nayo anaamua kumkatilia mbali Diwani, Mbunge au Rais anayeonekana hafai kwenye uongozi.
Wananchi walijivunia sana Viparata vyao " vichinjio" Ilikuwa hakuna kusukumana kwenda kujiandikisha.
Ghafla bini vuu wananchi wamesusa. Yaani imefika mahala hata ukiwapa rushwa hawaendi Ng'oo
Tutafakari kama taifa nini kimetokea? Je, uzalendo utatoka wapi ikiwa wananchi wanakwama kushiriki mambo ya kitaifa mepesi kama haya?
Je, tunaweza kufikia level ya uzalendo wa Wananchi wa Israel, Irani, Lebanoni au China?
Hahah viparata?Mkuu ambatanisha na viambata vyake
Wananchi sasa wameamua wasipoteze muda wao wa kufanya kaziWewe unajizimia data...Kinachowaweka watawala si kura yako.
Hautakuwa uandikishaji wapiga kura itakuwa sensa.But muhimu ni kubadilisha Mindset za watu kwa kuwasisitiza kwamba washiriki zoezi hili vizuri kwa kuhakikishiwa kwamba kura zao zitakuwa safe na maamuzi yao yataheshimiwa.Serikali itakuwa imepoteza hela umma bure kama zoezi hili litafanyika chini ya kiwango.Shime watanzania tujitokeza kwenye zoezi hili la uchaguziNiwashauri waandikishaji wasikate tamaa wawafuate watu majumbani mwaoo