LGE2024 Nini kimetokea kiasi kwamba Wananchi hawataki kujiandikisha hadi wanafatwa majumbani na wanatoa majibu ya dharau kwa wahamasishaji?

LGE2024 Nini kimetokea kiasi kwamba Wananchi hawataki kujiandikisha hadi wanafatwa majumbani na wanatoa majibu ya dharau kwa wahamasishaji?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hivi kuna nini mwaka huu mbona watu wengi wanajitokeza kujiandikisha aisse uchaguzi huu utakua mzuri sana
 
Labda majukumu ndio yanasababisha watu wakose hata muda wa kujiandikisha maisha magumu na wanaowachagua hawawapi tumaini bado Barabara mbovu inabidi wadamke kwenda kazini wakirudi Hoi na safari
 
Mshindi anajulikana Sasa nikajiandikishe Ili kitokee nini?

Pili Maendeleo yanaletwa Sasa nikajiandikishe Ili iwaje?

Mwisho,mambo ya siasa sio kipaombele Cha Watanzania,kama unabisha uliza Chadema na maandamano Yao 😆😆😆😆
Sasa kama hayo yote yanajulikana nini kinafabya watu wafatwe majumbani ,si waache tuu maana kila kitu kiko sawa
 
Kabla ya mwaka 2015 kulikuwa na mwamko mkubwa sana kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha ili kutimixa adhima yao ya kuwacjagua viongozi wanaowataka.

Kuanzia 2010 hadi 2015 ulizuka msemo unaitwa Kichinjio. Yaani kadi ya mpiga kura ambapo mwenye nayo anaamua kumkatilia mbali Diwani, Mbunge au Rais anayeonekana hafai kwenye uongozi.

Wananchi walijivunia sana Viparata vyao " vichinjio" Ilikuwa hakuna kusukumana kwenda kujiandikisha.

Ghafla bini vuu wananchi wamesusa. Yaani imefika mahala hata ukiwapa rushwa hawaendi Ng'oo

Tutafakari kama taifa nini kimetokea? Je, uzalendo utatoka wapi ikiwa wananchi wanakwama kushiriki mambo ya kitaifa mepesi kama haya?

Je, tunaweza kufikia level ya uzalendo wa Wananchi wa Israel, Irani, Lebanoni au China?
Wewe unajizimia data...Kinachowaweka watawala si kura yako.
 
Mkuu ambatanisha na viambata vyake
 
Niwashauri waandikishaji wasikate tamaa wawafuate watu majumbani mwaoo
Hautakuwa uandikishaji wapiga kura itakuwa sensa.But muhimu ni kubadilisha Mindset za watu kwa kuwasisitiza kwamba washiriki zoezi hili vizuri kwa kuhakikishiwa kwamba kura zao zitakuwa safe na maamuzi yao yataheshimiwa.Serikali itakuwa imepoteza hela umma bure kama zoezi hili litafanyika chini ya kiwango.Shime watanzania tujitokeza kwenye zoezi hili la uchaguzi
 
Back
Top Bottom