Nini kimetokea mpaka kufa kwa uzalishaji wa Ngano hecta 350,000 kule Bassotu Manyara?

Nini kimetokea mpaka kufa kwa uzalishaji wa Ngano hecta 350,000 kule Bassotu Manyara?

Utamaduni wa Wazungu ni kufanya kazi, ubepari umelenga kuhakikisha kila mtu anafanya kazi. Baada ya WWII Mfalme wa Holland alifungua kiwanda cha kutengeneza vitenge ili vijana wapate kazi.

Soko la vitenge limelengwa Africa, usishangae kufa kwa viwanda vya Mwatex na Sungura Tex, fitina ya soko la vitenge ni kubwa na jamaa wanafanya uchunguzi na propaganda nyingi.

Tungekuwa imara sisi Tanzania tungengeneza vitenge kwa East na South Afrika kutokana na pamba tunayolima.

Hizo tools tatu tulizoongea hapo juu ndio chanzo cha yote hayo kutotokea Africa..

Elimu iko limited na bepari ili isimkomboe Mwafrica maana wao pia wanafahamu elimu inaweza kuwa prime mover na push ya vitu vingi.

Technolojia, ukilimit elimu na technolojia pia haiwezi kukua, hata wale wenye vipaji nje ya elimu wako limited na mifumo ambayo iko controlled na mabepari wa dunia..

Utamaduni, kupitia media ambazo wao ndio controller wanahakikisha tamaduni hazikui zaidi ya zao za magharibi kukua na kutumeza huku...hili ni sambamba na entartaiment kuhakikisha wote tunacopy kwao kwa wao kubland vya kwao na kupuuza vyetu.. Lugha kuu ya dunia kiingereza na wote lazima tusome tuongee kienglish na elimu zote lazima zitumie hiyo lugha....na mkakati ni kutokomeza hata hizi lugha za makabila kwa watu kuoana huku na kule na automatically kuziua lugha na kubaki na kiswahili ambacho kitamezwa na kienglish..
 
Unajua biashara ya utumwa iliendelea kwa miongo mingi, watu waliingiwa na woga hata wa kufanya shughuli za uzalishaji kwa hofu ya kukamatwa utumwani. Matokeo yake jamii zilianza kuwa na uhaba wa chakula.
Haya tuseme tatizo ni utumwa, vipi sasa miaka 60 baada ya uhuru?
 
Haya tuseme tatizo ni utumwa, vipi sasa miaka 60 baada ya uhuru?
Hatujakubali kuyafanyia tathimini makosa na kujifunza jinsi ya kuyarekebisha. Kwakifupi nchi yetu sasa ina focus kwenye ushindi wa uchaguzi tu na kujipanga jinsi ya kushinda uchaguzi ujao.
 
Hizo tools tatu tulizoongea hapo juu ndio chanzo cha yote hayo kutotokea Africa..

Elimu iko limited na bepari ili isimkomboe Mwafrica maana wao pia wanafahamu elimu inaweza kuwa prime mover na push ya vitu vingi.

Technolojia, ukilimit elimu na technolojia pia haiwezi kukua, hata wale wenye vipaji nje ya elimu wako limited na mifumo ambayo iko controlled na mabepari wa dunia..

Utamaduni, kupitia media ambazo wao ndio controller wanahakikisha tamaduni hazikui zaidi ya zao za magharibi kukua na kutumeza huku...hili ni sambamba na entartaiment kuhakikisha wote tunacopy kwao kwa wao kubland vya kwao na kupuuza vyetu.. Lugha kuu ya dunia kiingereza na wote lazima tusome tuongee kienglish na elimu zote lazima zitumie hiyo lugha....na mkakati ni kutokomeza hata hizi lugha za makabila kwa watu kuoana huku na kule na automatically kuziua lugha na kubaki na kiswahili ambacho kitamezwa na kienglish..
Kuhusu lugha hili waliliona siku nyingi na ndiyo maana Ulaya watoto wote ni lazima wajifunze Kijerumani, Kispaniola, Kifaransa na Kiingereza.

Tukubali mapema kuwandisha watoto wetu Kiingereza mapema wakielewe kama wanavyoelewa Kiswahili. Nyerere alisema Kiingereza ndiyo Kiswahili cha duniani.

Entertainment industry duniani kote wanajua Waafrika hawana mpinzani. Hollywood waliwabania sana mpaka hawakuwaalika kwenye Emmy Awards lakini wenyewe waliunda BET awards.

Nigeria wametambua hilo na wameinject pesa nyingi Nollywood. Uzuri wa Nollywood lugha inawabeba. Cinema zao zinaonyeshwa Sky na Al-Jazeera. Ni muda na sisi kupanga mikakati ya kufika huko. Bongo movie wawe na graduates wa movie production kutoka vyuo vinavyotambulika. Hapa tunarudi kwenye Elimu.
 
Miaka ya 90 vilikuwepo viwanda vya azam? Zaidi ya serikali nani alikuwa ananunua ngano?
Wewe kwenu wapi Dar.

Unaijuwa Unga Limited Arusha, au unaisikia tu? Unafikiri ilikuwa inanunua inasaga unga wa bwimbwi?Dar pale gerezani kuna wahindi hakuna zao ambalo walikuwa hawanunui na kulisaga. Uko wapi wewe? Ushaona unga wa ngano wa serikali? Hiyo 90 unayoongea wewe hata NMC ya serikali ilikuwa imeshakufa.

Msitake kudanganya watu kijinga, hii ni JF mkadanganyane jobless corner zenu huko.
 
Uko sahihi Faizafoxy, Sio kweli hapa katudanganya, Serikali si mnunuzi wa ngano. Hii itakuwa ni changamsha baraza, Wanunuzi wakubwa wa ngano ni viwanda kama Bakhresa, Mo n.k unless ngano hiyo haikwa na vigezo kwahoyo mzalishaji alitegemea aiuzie Serikali, huu nao ni upigaji wa aina yake.
Ngano zamani sana ilikuwa inanunuliwa sehemu mbili, Unga Limited Arusha na serikalii NMC pale oppossite na TAZARA ambapo kwa sasa ni Bakhresa. Hizo zilikufa hata Nyerere hajang'atuka.
 
Niseme tu ni tamaa ya wapigania UHURU wachache kwa maslai yao na familia ndio waliowadanganya waafrika wawafukuze wakoloni Ili wao wanufaike na familia zao, check familia zao zinavyoogelea kwenye utajiri huku waafrika wengi wakiwa fukara dhoofu hali. Mwafrika alikuwa na maisha mazuri Sana kabla ya UHURU, check mfano nchini kama zimbabwe, south africa, botswana, Namibia, nk ajira ngapi zimekufa baada ya UHURU. Waafrika ilitakiwa tuombe usawa na sio kujiendesha tumeproofu failer kabisa. Check ripot ya CAG upigaji KILA sekta kuanzia juu hadi chini hapa unaweza nishawishi vipi nilipe kodi hali inaenda kupigwa ni SAwa na kumtongozea mtu yeye ndo anaenda nufaika.
Umeongea kwa uchungu sana..ila huu ndio ukweli..huoni south ilivyoendelea.

#MaendeleoHayanaChama
 
elimu,teknolojia ongeza na utamaduni....hivi vyote kwa sasa ndio tools kubwa inayotumika kumfanya Mwafrica kuwa mtumwa bado...

Huu mtego mpaka sasa hakuna dalili za kuukwepa..
Umesahau dini...ndio nyenzo iliyo mmaliza mwafrika kiakili.

#MaendeleoHayanaChama
 
Njowepo umeleta mada nzuri sana, Jamii Forums tunahitaji mada kama hizi ambazo mjadala wake unaweza kuleta tija katika kutatua changamoto zilizopo na kuleta impact katika uchumi wa nchi yetu. Ni seme tu huu ni mmoja ya miradi ambayo kama nchi ni wakati muafaka sasa Waziri wa Kilimo na team yake waangalie namna ya kufufua miradi hii mikubwa ya kilimo ya kimkakati kwa njia ya PPP (Public-Private Partnership) kwa mazao ya Ngano, Alizeti, Mpunga n.k. Ukiacha maeneo haya ya Hanang, pia kuna haja ya kufufua mashamba makubwa ya Ngombe wa Maziwa kule West Kilimanjaro, Pia Ngano inaweza kulimwa maeneo hayo, pamoja na Mufindi, Njombe n.k
Ni kweli kabisa mkuu hii mada ingepelekwa pia kule Twitter ili Mhe Husein Bashe aione yuko very positive and open minded Kwenye issues kama hizi...
 
Huo ni mfano wa viongozi wanavyoandaliwa,mashamba ya Hanang yaliharibiwa/yalifilisiwa na viongozi wanaosimamia
Hawezi kukuelewa maana akili yake it seems
imetawaliwa na u CCM Vs u CDM badala ya maslahi mapana ya taifa.
 
Unaweza kutoa chozi ukisoma wadau humu wanavyochambua mambo.

Kuna pahala sisi huku Africa nafikiri hatuko sawa licha ya kutaliwa.

Ni kwa kiasi gani Serikali inakimbilia kujenga Miundombinu ya Kisasa mijini kwa gharama kubwa ikiwa kuna sehemu kama Kigoma , Ulanga-Mahenge na kote ambako watu wanazalisha mazao mengi lakini kutokana na kutofikika kwa urahisi , watu wamekata tamaa wameamua kulisha tu matumbo yao.

Vijana hawaogopi kutumia fursa ,tatizo kwenye Kilimo kwa hapa kwetu kumesahaulika na sidhani kama kuna Mwanasiasa ana muda na Kilimo.Ni ujuha wa hali ya juu Nchi kamaa hii kukosa mafuta ya kupikia..huo ni uchawi wa mchana kweupe sana.

Nenda West Kilimanjaro kuna vijana wanalima Karoti ,Nyanya na viazi Ulaya lakini katazame Barabara ya West to Bomang'ombe ni lami lakini ni uozo ule..Barabara nyembamba kama uzi.Sehemu kama hizo na zingine ambazo ndio kabisa hazina hata nukta ya lami zilipaswa kusambazwa Barabara na za kiwango cha lami na Reli pia ili kutufanya tuhame huko mijini tujikite na Kilimo.

Ukitaka kujua sisi tunashida angalia Mkoloni alipeleka Reli kila pahala pailipokuwa na mazao na uzalishaji maligahfi. Lakini njoo utazame akili zetu sis wenye Uhuru.

NSSF ,PSSF wanajenga majengo kiwizi wizi kwa fedha zetu za michango wanaacha kwenda kuwekeza kwa Vijana..majengo marefu na hakuna watu wanakaa humo.

Wanajijengea njia zao Baharini wapite wakati wa jioni wakiwa wamechoka,thamani ya hizo barabara ni umejenga Barabara za kutosha kuunganisha miji yenye uzalishaji bila ubabaishaji.

Vijana tuamke tujikite huko taratibu ..japo kuna ugumu.Serikali haiwezi komboa mtu.
The best post tokea kuanza kwa mwaka huu hapa JF hongera sana mkuu [emoji106][emoji106][emoji1666][emoji1666]
 
Uko sahihi Faizafoxy, Sio kweli hapa katudanganya, Serikali si mnunuzi wa ngano. Hii itakuwa ni changamsha baraza, Wanunuzi wakubwa wa ngano ni viwanda kama Bakhresa, Mo n.k unless ngano hiyo haikwa na vigezo kwahoyo mzalishaji alitegemea aiuzie Serikali, huu nao ni upigaji wa aina yake.
Huyu atakuwa anazungumzia enzi za National milling, ambayo ilikuwa ya serikali...
 
tuache kuilaumu CCM sasa...tutafute tatizo la msingi na wote kwa pamoja tupambane kuliondoa...umaisikini unanuka kila mahala Africa, shida utagundua ni common kwa waAfric wote na ndio hiyo umeionyesha hapo..

umeongea point kubwa sana, madhara ya ukoloni ndio mateso ya Mwafrica mpaka leo.. baada ya ukoloni Mwafrica alishindwa kujua anataka nini na matokeo yake mkoloni akaja tena na aina nyingine ya ukoloni..
Kwani nchi kama Malaysia hazikutawaliwa?
 
Umeongelea zao moja tuu alizeti, tena hata hilo nakupinga.

Fikiria serikali ingewekeza vya kutosha kwenye mashamba ya alizeti pale singida kuwe na plantation kubwa kungekuwa na uhaba wa malighafi..?

Unataka kutuaminisha kuwa tukinunua mahindi, maharage, ngano, mchele, nchi za nje bei itakua chini kuliko kununua hapa kwetu..? , Hizo ndo sababu za wafanyabiashara wapumbavu wabinafsi wasiojali wengine na kuangalia matumbo yao wenyewe
Hii tabia ya kuendekeza wanyonge ni utoto,kila mtu amesoma the so called agrarian revolution ilivyoleta mapinduzi..

Mpango wa kilimo kwanza ulikuwa unaenda kuanzisha mashamba makubwa ya mabepari au ushirika wa kibepari Ili kuleta tija kwenye kilimo..

Unfortunately kila kitu kimekufa.
 
Back
Top Bottom