Nini kinachotuongoza? Sheria na Katiba au hila na fadhila za Rais?

Ndio maana ninaamini wewe ni mzee mpumbav.

Hatutaishi maisha ya hofu za kipumbav na vitisho.

Hayo mawazo yako wapelekee familia yako,

Lazima tuione Tanzania yenye katiba bora, uongozi na siasa safi.

Tanzania inayojali wasomi kwa kuwapa ajira, wakulima wapate zana na pembejeo bora, wafanyakazi welfare na sio Tanzania inayowajali viongozi kwanza.

Mawazo yako ya kipumbav peleka huko kwako yawatie ujinga.
Pumbav



Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Umenitukana sijaona hoja nimesema wewe uanze kuandamana mbona hilo unakwepa mzee!? Sema kimeumana 😂😂😂
 
Mzee mpumbav, hata katika maandiko yameweka bayana
Heri kijana muelevu kuliko kiongozi mzee mpumbavu.
Umelaanika!

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ili tuwe wazalendo lazima jeshi la nchi liwe kwa Sasa jeshi Ni la watawala. Hata Marekani Jeshi ndo linaisimamia mihimili mingine ili kutimiza wajibu wake kila siku.Najua wengi hawaielewi hii. Uhuru daima hulindwa kwa nguvu. Ili mahakama na Bunge viwe huru lazima viwe na uhakika wa sapoti ya jeshi.
 
Kwani lengo la chama Cha siasa Ni Nini? Na wakishika dola Nani amesema hawatwasaidia wananchi? Na je wasipowasaidia wananchi si wanatolewa na katiba nzuri inayotoa haki? Nyinyi msiotaka katiba mpya ndo mna ajenda ya siri
 
Una mawazo finyu Sana.
 
Rais anatakiwa kufuata katiba,Sera, Sheria ,taratibu na Mila na deaturi Basi. Hakuna mtu anayetaka kumpangia rais Cha kufanya. Anapoambiwa hapa no ujue ameenda kinyume na hayo ya juu.
 
Acha kumlinganisha Mbowe na vitu vya kijinga.
 
Chadema wanashirikiana na kundi gani kudai katiba mpya mpaka sasa ?
You don't need anyone else to do the right thing. Kwa mfano washirikiane na Nani kwa mfano? Ni kila mtu kwa nafsi yake kwa Sasa ndo aungane nao. Chadema ndo taasisi huru peke yake Tanzania kwa Sasa.
 
Kudai katiba mpya ,kuandamana au kufanya mkutano wa hadhara kwako Ni vurugu na fujo?
 
Kudai katiba mpya ,kuandamana au kufanya mkutano wa hadhara kwako Ni vurugu na fujo?
Aliyesema subirieni ajenge uchumi katiba itashughulikiwa kwa wakati yule ni mpumbavu!
 
Nyerere aliharibu sana bongo za watanzania alipoingiza siasa za kikomunisti.
Mpaka leo wananchi tumekua na ulemavu wa akili.
Tuko kama misukule.
Hiyo ndiyo legacy mbaya sana aliyotuachia Nyerere. Aliogopa CCM isije ikatoka madarakani akiwa hai. Akaacha katiba inayokipa chama hicho umiliki wa dola kidikteta (chama dola).

Waliomfuatia walishikilia hapo hapo wakaondoa tu vipengele vya Azimio la Arusha vinavyokwamisha ufisadi. Huo ndio umekuwa msiba wa taifa hili (national tragedy) hadi leo. Kila kitu sasa kinategemea hisani na fadhila za Rais wa CCM.
 
Unajua ndugu, hawa ni type ya akina' makamanda wastaafu walioondolewa hivi karibuni huko Dar na Dodoma' manake wenyewe' badala ya kuwalinda wananchi, ilikuwa kila leo ni kutishia kuvunja miguu wananchi na kutishia watu 'kipigo cha mbwa',

ili kufurahisha waliowateua, hata kwa masuala ambayo ni ya haki za msingi kwa wananchi kulingana sheria zilizopo na katiba iliyopo..... yaani ndugu ni kazi kubadili mawazo ya watu kama hawa ambao, suluhisho la matatizo kwao huwa ni kutumia mabavu moja kwa moja kwa kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…