Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Utapataje hela katika nchi ambayo haiongozwi kwa mujibu wa sheria na katiba?Unaelewa kuwa wakati wa magufuli watu wa bureau de change walipewa clearance na BOT ila magufuli akaenda kuwafilisi kinyume na sheria?Watu wanahangaikia mipango ya hela nyie mnalazimishia Agenda ya kisiasa iwe ishu ya wananchi!
Unaelewa kuwa mahakama ilizuia watu wa kimara wasibolewe nyumba zao ikiwa ni pamoja na waliokuwa na biashara zao ila magufuli akaenda kubomoa nyumba zao kinyume na sheria?Unaelewa kuwa Magufuli alikuwa anatumia vibaka(the so called task force) kukusanya kodi badala ya TRA kitu ambacho kilikuwa ni kinyume na sheria?
Katika mazingira kama hayo utafanya mipango gani ya hela?Haya mambo mbona ni madogo sana kuelewa?Unakwama wapi?Unahitaji kuwa profesa ili kuelewa mambo simple namna hii?Yaani unahitaji kuwa profesa ili kujua kuwa bila utawala wa sheria mipango ya hela ni haipo?!