Nini kinaendelea kuhusu Novena ya Mtakatifu Ritha wa Kashia? Mbona imebamba sana?

Nini kinaendelea kuhusu Novena ya Mtakatifu Ritha wa Kashia? Mbona imebamba sana?

Kuna mtu humu JF aliwahi kunisogezea hy sala kutokana na changamoto fulani za kikazi, nikafanya kama ilivyotakiwa kufanywa ila nimegonga mwamba
Shida yako wewe ulienda kumjaribu! Hakika huwezi kusikilizwa! Hizo nguvu zinaitwa super natural power ambazo kwa Wakristo Wakatoliki wanaamini ziko kwa Yesu na Watakatifu wake! Waislamu wanaamini ziko kwa Mtume Mohamed (S.A)
 
Mimi niliambiwa na mtu nikabisha kabla hata sijaanza kuisali usiku nikiwa nimelala nikamuona huyo mama kavaa manguo marefu nilishangaa sana

Asubuh nikaenda kununua vitabu viwili vya novena kimoja mtakatifu Rita kingine mtakatifu Philomena

Ile nafika tu nyumban nikatokewa na kasichana kadogo kazuri kananambia kenyewe Nika mtakatifu Philomena

Niliogopa vibaya


Huyo mtakatifu Philomena ni baraa utakuja kunikumbuka ukibeep ana piga mda huo huo tena hakawii dakika hiyo hiyo
Kwa mwendo huu,kwa bikira Maria,-Kwisha habari yake!.
SHETANI yupo kazini usiku na mchana,hachoki na wala hakati tamaa,anahakikisha ana wateka wote wasio jitambua.
 
Hii ni miongoni mwa kazi za Shetani kuhakikisha anajipatia waumini wengi dhidi ya MUNGU wa MBINGUNI.
Anapambana kuhakikisha kuwa,watu hawaisomi Biblia na hata kuiamini pia,huku akiwajaza mafundisho ya uongo.
Mpaka sasa ulimwengu umesikia stori ya upande mmoja (upande wa mungu) siku shetani akiamua kuzungumza story yake watu wanaweza wasimuamini tena mungu
 
Mpaka sasa ulimwengu umesikia stori ya upande mmoja (upande wa mungu) siku shetani akiamua kuzungumza story yake watu wanaweza wasimuamini tena mungu
😂
Haita kaa itokee ndugu.Kwa kiburi na ushindani alio nao Shetani,angekuwa a ameropoka siku nyingi sana.
 
Yaani badala ya kuomba Mungu anaombwa mtu mwingine tena. Hii imekaaje RC kuna wakati mnafikirisha sana
 
Yaani badala ya kuomba Mungu anaombwa mtu mwingine tena. Hii imekaaje RC kuna wakati mnafikirisha sana
Hiyo ni hila ya Shetani ndugu.
Rumi imewajaza watu UPAGANI wake na kuwaaminisha kuwa ndiyo ibada ya kweli.RC wengi ni wavivu wa kusoma Biblia, hivyo,imekuwa rahisi sana kukaririshwa mafundisho ya uongo,na hawashituki.
 
Sijawahi kutibiwa katika hizi Hospitali wala simjui ndugu yangu aliyewahi kutibiwa huko.
Ha ha ha,Wakatoliki wapo Kila sehemu na Kuna sehemu hospitali zao ndio kimbilio na hii ni kwa Maombezi ya Mtakatifu Ritha wa Kashia.Kama hujawahi ipo siku isiyo na jina utajijuta Kanda ya ziwa utaelewa.Ipo siku isiyo na jina utajijuta Kanda ya kusini .Utamshuhudia Mt.Ritha wa kashia huku
 
Watu weusi mnatuaibisha na ujinga mwingi
Haya kuna hawa watakatfu, muanze kuomba na sala zao basi....

1730676390990.png
 
Back
Top Bottom