Mimi niliambiwa na mtu nikabisha kabla hata sijaanza kuisali usiku nikiwa nimelala nikamuona huyo mama kavaa manguo marefu nilishangaa sana
Asubuh nikaenda kununua vitabu viwili vya novena kimoja mtakatifu Rita kingine mtakatifu Philomena
Ile nafika tu nyumban nikatokewa na kasichana kadogo kazuri kananambia kenyewe Nika mtakatifu Philomena
Niliogopa vibaya
Huyo mtakatifu Philomena ni baraa utakuja kunikumbuka ukibeep ana piga mda huo huo tena hakawii dakika hiyo hiyo
Acheni upumbavu enyi wajinga.
Biblia iko wazi anaetakiwa kuombwa ni Muumba pekee, lkn ninyi mmekengeuka mnawaomba wafu ambao kimsingi hawana uwezo wa kuwasikia wala kujibu maombi yenu, angalau basi mgewaomba malaika ambao wana uhai wa milele na wana nguvu za kusikia na kutendea kazi maombi yenu.
Yaani mtu aliyeishi duniani na kutenda mambo kama wewe siku kafariki na pengine hujui hata undani wa maisha yake yalikuwa vipi, eti unamuomba asee, ninyi watu akili zenu zinafanya kazi kweli?
Kiuhalisia hizo sala hazina maana na hazifanyi kazi, mnayaomba mashetani/mizimu ya wazungu inayojigeuza maumbo na kubeba sura za hao wajinga mnaowaita watakatifu then mnapewa maono ya uongo ndotoni ili kuwaaminisha kuwa wafu wana uwezo wa kuwasiliana nanyi.
Achen ujinga, mtu akifa kila kitu kimekwisha, hana uwezo wa kufanya lolote na hana uwezo wa kukuombea wewe maana naye anasubiri hukumu kama wewe uliyehai unavyosubiri hukumu, hivyo hana haki ya kukuombea lolote.
Narudia tena, hayo maono yenu mnayopata na kuwaota hao viumbe, mnaangamiza nafsi+roho zenu, maana mnawasiliana na mashetani, mtu aliyekufa hawezi kuwasiliana nawe kamwe na haiwezekani.
Elimikeni jaman, alafu kuna mambo ni kawaida kutokea wala hayahitaji maombi wala visingio vya Mungu katenda maana ni uhalisia mfano mtu mtu unaomba upate kazi na unapata hilo jambo wala halihitaji visingizio vya maombi maana ni juhudi zako za kuwasilisha uhitaji wako wa kazi sehemu ulizowasilisha nyaraka zako,
Pili mtu anasema kaomba kapona, kitu ambacho kiuhalisia ni kawaida kabisa yaani hata asingeomba bado ungepona tu, ama unaomba ulipwe madeni yako, jambo ambalo hata kiuhalisia ungelipwa na mdaiwa wako baada kumsumbua sana,
Muumba hayahusiki hapo msichezee imani kwa vitu rahisi hivyo, kama kweli maombi yanafanya kazi tunataka majibu ya vitu vigumu, mfano kupona kwa magonjwa sugu/yasiyotibika, au solution la matatizo ambayo kiuhalisia ni magumu kuyasolve.
Wakristo wa sasa wamekuwa wapuuzi sana haswa hawa wafuasi wa romani Church& walokole, akili zao zimejawa ujinga na upuuzi mwingi.
Someni biblia muache kwenda kinyume na mafundisho ya kweli.