Nini kinaendelea kuhusu Novena ya Mtakatifu Ritha wa Kashia? Mbona imebamba sana?

Nini kinaendelea kuhusu Novena ya Mtakatifu Ritha wa Kashia? Mbona imebamba sana?

1. Waebrania 13:24 - "Wasalimuni wote wanaowaongoza ninyi na watakatifu wote. Wale wa Italia wanawasalimu."

2. 1 Petro 1:15-16 - "Bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote; kwa sababu imeandikwa, ‘Mtakuwa watakatifu, kwa kuwa mimi ni mtakatifu.’"

3. Warumi 16:15 - "Wasalimuni Fileologi na Yulia, Nerea na dada yake, na Olimpa, na watakatifu wote pamoja nao."

4. Waefeso 1:1 - "Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, kwa watakatifu walioko Efeso, walio waaminifu katika Kristo Yesu."

5. Wafilipi 4:21-22 - "Wasalimuni watakatifu wote katika Kristo Yesu. Ndugu walio pamoja nami wanawasalimu. Watakatifu wote wanawasalimu, hasa wao walio wa nyumbani mwa Kaisari."

6. Zaburi 16:3 - "Watakatifu walioko duniani, ndio walio bora, ndio ambao napendezwa nao."

Je hao walio itana watakatifu hawakuwa na dhambi ?
RITA ni Malaya kama Malaya wengine huko makanisani kwenu,MTAKATIFU ni MUNGU peke yake!

Ng'ombe nyie
 
Endeleeni kujidanganya ng'ombe nyie!

MAANA YA MTAKATIFU

1.Mtakatifu ni Mungu mwenyewe kwasababu Hana dhambi,hajawahi kutenda dhambi.

2.Haki,isiyo na mawaa mbele za Mungu,isiyotenda dhambi,kufikiri dhambi,isiyo na hila!

3.Kufungamanishwa au kutengwa mbali na dhambi!

Nyie mbugila mnapaswa mkae kwenye hizo sifa 2,hiyo ya kwanza Niya Mungu mwenyewe!

Kuitwa mtakatifu maana yake huyo aitwaye ni mtu mwema asiye na dhambi hata tone!

Sasa huyo Malaya wenu mnaye muita mtakatifu hakuwahi Kuwa na dhambi?
Mtukufu Rais Ali Hassan Mwinyi
 
Unaongea mitazamo yako binafsi zaid na kilr unachokiamin wewe, sasa hbaya mi siwez kukushawishi otherwise
Yesu alisema mwenyewe mtu mwenye Imani ya mbegu ndogo duniani anaweza akasali mlima ukainuka ukajitupa baharini...wewe Leo hii mtu ana Imani unamuambia Hana Imani kisa sala zimebuma...
 
1. Waebrania 13:24 - "Wasalimuni wote wanaowaongoza ninyi na watakatifu wote. Wale wa Italia wanawasalimu."

2. 1 Petro 1:15-16 - "Bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote; kwa sababu imeandikwa, ‘Mtakuwa watakatifu, kwa kuwa mimi ni mtakatifu.’"

3. Warumi 16:15 - "Wasalimuni Fileologi na Yulia, Nerea na dada yake, na Olimpa, na watakatifu wote pamoja nao."

4. Waefeso 1:1 - "Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, kwa watakatifu walioko Efeso, walio waaminifu katika Kristo Yesu."

5. Wafilipi 4:21-22 - "Wasalimuni watakatifu wote katika Kristo Yesu. Ndugu walio pamoja nami wanawasalimu. Watakatifu wote wanawasalimu, hasa wao walio wa nyumbani mwa Kaisari."

6. Zaburi 16:3 - "Watakatifu walioko duniani, ndio walio bora, ndio ambao napendezwa nao."
Hapo anazungumzia Watakatifu walio hai, siyo wafu
 
Nikikumbuka enzi hizo nilivyokuwa mkatoliki konki kijana wa madhabauni Hadi nikanunua kitabu cha mawaridi ya sala ili kilasiku niwe nasali hizo novena natamani kujitandika makofi, akili ilipofunguka niligundua dini ni ubatili na utapeli mtupu sawa na Imani za kishirikina, wanaosali hizo novena hawana tofauti na wale mapoyoyo wavaa kobasi wanao amini kwenye majini.
NB: Hao jamaa wanaonaje wakiunganisha nguvu kwenye hizo novena wawaombe Hao watakatifu washushe gari za mwendo Kasi za kutisha? Taifa litawaweka kwenye vitabu sahihi vya historia, vinginevyo hawatakuwa na utofauti na wale wafuasi wa kinjekitile walio amini watapambana na mkoloni kwa kutamka Tu maji maji
Hiyo imeshapita mzee,kwani baada ya wewe kuondoka kuna kilichobadilika?
 
Kampotezea! Badala ya kupeleka maombi, anapeleka malalamiko huku akili ikiwa kulee! Mbaga Jr.
Watu wengi sana wanalalamika tu mbele za Mungu, hawaombi. Ndo maana majibu hakuna, Wasome kitabu Cha Nabii habakuki. Aliliona shida ni mfumo kulalamika kukakoma Akaanza kuomba.
 
Watu wengi sana wanalalamika tu mbele za Mungu, hawaombi. Ndo maana majibu hakuna, Wasome kitabu Cha Nabii habakuki. Aliliona shida ni mfumo kulalamika kukakoma Akaanza kuomba.
Unamlalamikia Mungu! Hata umtukane hana cha kupoteza. We are always the losers if we don't do it properly.
 
Dini zilikuja Kwa watu waliovurugwa Tyr. Sasa ushindwe kuomba direct Kwa Mungu unaomba Kwa Rita ama Nyerere hii imekaaje asee? Mimi naomba Kwa Mungu direct. Kila mtu na Mungu wake na Imani yake
hiyo ndo hoja ya msingi, hayo yote uliyoandika mwanzo ni porojo tupu na chuki dhidhi ya wanaomba kupitia watakatifu!
 
Kinachonifurahishaga ni jinsi Waprotestanti (Wakristu wote wasio wakatoliki) wanavojimwaga na kujifanya wanaujua Ukristu kuliko wakatoliki.
Biblia unayotumia Wakatoliki waliicompile ndio ukawa nayo!

Kinachonipa furaha zaidi ni jinsi wanavyojiona wana akili kuliko wakatoliki walio zaidi ya 1.2B, it never ceases to amaze me!
 
Back
Top Bottom