Nini kinaendelea kuhusu Novena ya Mtakatifu Ritha wa Kashia? Mbona imebamba sana?

Nini kinaendelea kuhusu Novena ya Mtakatifu Ritha wa Kashia? Mbona imebamba sana?

Mnafahamu hata maana ya maombi? Wengi wanadhani maombi ni kumuomba Mungu akutane na haja zao. Maombi ni mawasiliano ya kiroho na Mungu na ni jambo endelevu. Ukijizoeza kuwasiliana na Mungu muda wote ndipo na sauti yake utaisikia na hutahitaji kumwambia mahitaji yako maana yanajibiwa tu automatic. Kama Wakristo tunachopaswa kuombea ni Agenda za Ufalme wa Mungu.
Unaweza ukawa sahihi mkuu na ndio maana nimeandika hapo na mimi kuwa wengi hawafahamu kuhusu maombi na kwasasa nimejikita sana kwenye hili zoezi la kutafit katika maandiko.

Nikupe mfano mmoja, toka tar 1 mwez wa saba niliji commit kuweka kipaumbele suala zima la uhusiano wangu na Mungu.
Fasting, praying , reading the bible and attending mass & worship sessions seriously.
Siku moja nikiwa ibadani jumapili, katikat ya ibada, nilisikia sauti ndani yangu ikiniambia "mlango wa gari uko wazi". Nikapuuzia maana nilifunga mlango wakat naingia ibadani japo funguo nikampa mwanangu wa kwanza.
Ile sauti ikanijia kwa tena ,kwa nguvu na msisitizo mkubwa this time "mlango wa gari uko wazi".
Nikainuka fasta, straight kwenye gari. Ile kugusu mlango wa pembeni nyuma, "kwel uko wazi". Ndani ya gari niliacha laptop yangu mpya ya 2.8M na parking ya kanisa iko barabaran tu watu wanapita. Na mnaya zaid nilishawah ibiwa laptop kwa namna hii miaka michavhe nyuma japo niliipata (kuna uzi nilipandisha kwa kifupi kuz kat)

Aisee nilistaajab sana, nikamuita dogo kuuliza vipi mbona mlango mmefumgua na mkaacha waz bila ku lock akaniambia ni kwel nilikuka one time nikasahau ku lock.

So prayer life, draws God closer to our daily life stuff
 
Mkuu kuna Uzi ulileta ulisema wewe ni Msabato ulikua kwenye makambi. Leo umekua Mkatoliki?
Kasome Tena! Nakusisitiza kasome Tena. Ule Uzi nilikuwa nipo katika process ya kuoa na nilikuwa nawiwa kuoa msabato. Ni kama muda wa miezi kaza nafatilia Hilo na kanisani naenda.


Mwisho nilioa kanisani(Rc) ndoa na hata Leo ni rc hata Nikifa Leo nitazikwa hivyo sijawahi batizwa kanisa lingine.

Napenda sana mafundisho ya wasabato hasa afya na sio makambi hayo tu Huwa naenda hata kuangalia kwenye mikutano Yao inayorushwa kwenye television!!
 
Yan mkuu umechanganya kila kitu humo.
Mara atheists, mara wengine hawaombi ila wanafanikiwa, mara Yesu kasema ombeni, mara nothing fails like prayers..🤣🤣.
Mkuu umevurugwa na nini? 😆.
Wewe msimamo wako ni nini??

Ila nakubaliana na wewe jambo moja, maombi kuna namna wengi tunashindwa kuyaelewa ndio maana wengine yasipojibu wanaanza kulaumu.
Na kutoelewa huku ni kunafanya maombi yaonekane kama bahati nasibu flani.
Nimekuja kugundua kuwa maombi yana conditions zake. Si kila maombi yana qualify kujibiwa. Kuna mambo yanapaswa kuambatana na maombi na kuna mambo yanapaswa kuambatana na muombaji.

Maombi ni kitu serious sana na kiko very complicated na wengi bahat mbaya tunakibeba jumla jumla hatu take time kuki study na kujua tunabaki kuomba omba kwa kubahatisha ndio maana yakijibiwa unakosa kujua why yamejibiwa ili next time uombe yajibiwe tena na tena na tena. Au yasipojibiwa ujue why hayajajibiwa.

Wengi hatufanyi hii kazi ya kuchunguza. Na mimi nimeanza kuifanya recently.
Yesu hakuweka conditions mapastor wako wamekuwekea conditions ili ikibuma wazuge...

Amka ....

Kusali ni biko...the answers is no yes or maybe what's the difference between praying n not praying... niambie Kuna tofauti Gani...?
 
Novena ya Mt. Ritha wa Kashia ni kweli kabisa inatoa majibu ya kila jambo. Mimi muislamu kiasili na ninashuhudia hilo...🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Ni kweli mtakatifu Ritha wa Kashia anasikiliziwa zaidi na Mungu au ni Placebo(matibabu ya kutuliza akili kwa kuidanganya) iliyozuka ghafla kwa Wakatoliki wengi wa bongo?
View attachment 3139512View attachment 3139514
 
Inapaswa uwe mtakatifu Kwa mwenendo siyo uwe mtakatifu Kwa Cheo,yaani hata fungu limekushinda kuelewa?,Mbuzi wewe
Kumwita mwenzio mbuzi ndio matendo ya utakatifu, au sio? Hoja huwa haijibiwi kwa kufanya personal attacks
 
Inapaswa uwe mtakatifu Kwa mwenendo siyo uwe mtakatifu Kwa Cheo,yaani hata fungu limekushinda kuelewa?
Ulisema Mtakatifu ni Mungu pekee. Kwa hiyo huo mwenendo mzuri uliotajwa kutakiwa ufanyike katika hicho kifungu, ni wa wanadamu au Mungu?
 
Back
Top Bottom