Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Ni kweli YESU KRISTO alikuja kuwaita wenye dhambi huo ni ukweli kabisaHahaha Acheni haya mambo, Yesu mwenyewe alisema 'Alikuja kwa ajili ya wenye dhambi" sasa ikiwa Novena ni kwa wasafi, mbona unapoteza ladha ya kusali na Kuomba.
Tuna sali kwa kuamini sisi ni binadamu na siyo wakamilifu, tunatenda dhambi za kila aina, na kumbuka hakuna palipoandikwa au kusema kuangalia makalio facebook ni dhambi, ile ni burudani kama mwingine apendavyo beer, au kuangalia mpira. sasa walokole kila msicho kitaka nidhambi.
Tusihukumiane, tuache jukumu la hukumu libaki kwa Mungu, mimi na wewe hatujui ya rohoni/moyoni wala akilini, tunaona yaonekanayo kwa macho tu.
Lakin ukisha mpokea ni lazima uache dhambi
Kuwa na YESU KRISTO mtakatifu huku wewe ukiendelea na maovu machukizo ni kazi bure mtumish na mbigu haipo kwa ajili ya wadhambi
Amin hivyo
Asante
Hahaha Acheni haya mambo, Yesu mwenyewe alisema 'Alikuja kwa ajili ya wenye dhambi" sasa ikiwa Novena ni kwa wasafi, mbona unapoteza ladha ya kusali na Kuomba.