Nini kinaendelea kuhusu Novena ya Mtakatifu Ritha wa Kashia? Mbona imebamba sana?

Nini kinaendelea kuhusu Novena ya Mtakatifu Ritha wa Kashia? Mbona imebamba sana?

RITA ni Malaya kama Malaya wengine huko makanisani kwenu,MTAKATIFU ni MUNGU peke yake!

Ng'ombe nyie
Msabato halisi upo.!!Kwa Maombezi ya Mt.Ritha wa Kashia kanisa lilijaliwa kila kitu na Lina hudumia jamii yote bila kubagua !!

Bila shaka umesoma shule,vyuo vya kanisa katoliki ambavyo vilipatikana kwa maombezi ya watakatifu .

Bila shaka umewahiwa kutibiwa kwenye Hospitali za kanisa katoliki ambazo wakatoliki wanepewa na Mungu kwa maombezi ya Mt.Ritha wa Kashia.
 
Sio sahihi kusema hivyo, hospitali zinajengwa na Wakatoliki ambao wengine ni wakwepa kodi, mafisadi na hata wauza dawa za kulevya, mfano Colombia Pablo Escobar alivyojenga.
 
Kinachonifurahishaga ni jinsi Waprotestanti (Wakristu wote wasio wakatoliki) wanavojimwaga na kujifanya wanaujua Ukristu kuliko wakatoliki.
Biblia unayotumia Wakatoliki waliicompile ndio ukawa nayo!

Kinachonipa furaha zaidi ni jinsi wanavyojiona wana akili kuliko wakatoliki walio zaidi ya 1.2B, it never ceases to amaze me!
Wingi wa watu sio usahihi... usitumie hoja ya popularity Katika debate yoyote maishani mwako utaaibika
 
Msabato halisi upo.!!Kwa Maombezi ya Mt.Ritha wa Kashia kanisa lilijaliwa kila kitu na Lina hudumia jamii yote bila kubagua !!

Bila shaka umesoma shule,vyuo vya kanisa katoliki ambavyo vilipatikana kwa maombezi ya watakatifu .

Bila shaka umewahiwa kutibiwa kwenye Hospitali za kanisa katoliki ambazo wakatoliki wanepewa na Mungu kwa maombezi ya Mt.Ritha wa Kashia.
Nimelipia huduma nilizopewa na watu wanaolipwa mishahara...
Sikuombewa afu nikapata elimu, matibabu..etc...so huyo mtakatifu sijui cashier hahusiki happ
 
Msabato halisi upo.!!Kwa Maombezi ya Mt.Ritha wa Kashia kanisa lilijaliwa kila kitu na Lina hudumia jamii yote bila kubagua !!

Bila shaka umesoma shule,vyuo vya kanisa katoliki ambavyo vilipatikana kwa maombezi ya watakatifu .

Bila shaka umewahiwa kutibiwa kwenye Hospitali za kanisa katoliki ambazo wakatoliki wanepewa na Mungu kwa maombezi ya Mt.Ritha wa Kashia.
ZUMBUKUKU wewe,unadhani kila mwenye kueleza ukweli ni Msabato? TAHIRA wewe!

Narudia tena !

MTAKATIFU ni MUNGU Peke yake!

Huyo Malaya wenu Rita hapaswi Kuwa mtakatifu kwasababu ni mwanadamu mwenye dhambi anayesubiri ufufuo wa Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo!
 
Hapo anazungumzia Watakatifu walio hai, siyo wafu
Unajua nimmemjibu kutokana na hoja yake. Hivyo usidandie gari lenye kasi, haya leo mmekiri kumbe kuna watakatifu walio hai, yeye hata hilo hataki kulisikia.

Anyway, turudi kwenye hoja yako

  • Ufunuo 5:8 - "Hata alipoitwa kitabu, hao wenye uhai wanne na wazee ishirini na wanne wakaanguka mbele ya Mwana-Kondoo, kila mmoja wao ana kinubi na vikombe vya dhahabu vilivyojaa manukato, ambazo ni sala za watakatifu."
  • Ufunuo 8:3-4 - "Malaika mwingine akaja, akasimama karibu na madhabahu, akiwa na chetezo cha dhahabu; akapewa manukato mengi, ili ayatoe pamoja na sala za watakatifu wote, juu ya madhabahu ya dhahabu, iliyo mbele ya kiti cha enzi. Na moshi wa manukato hayo ukapanda mbele za Mungu pamoja na sala za watakatifu, kutoka mkononi mwa malaika
 
Hivi wale askari walimuacha Mnyika kuendelea kusali,au Bado wanamsubiria pale Msimbazi getini?
 
Mimi niliambiwa na mtu nikabisha kabla hata sijaanza kuisali usiku nikiwa nimelala nikamuona huyo mama kavaa manguo marefu nilishangaa sana

Asubuh nikaenda kununua vitabu viwili vya novena kimoja mtakatifu Rita kingine mtakatifu Philomena

Ile nafika tu nyumban nikatokewa na kasichana kadogo kazuri kananambia kenyewe Nika mtakatifu Philomena

Niliogopa vibaya

Huyo mtakatifu Philomena ni baraa utakuja kunikumbuka ukibeep ana piga mda huo huo tena hakawii dakika hiyo hiyo
Acheni upumbavu enyi wajinga.

Biblia iko wazi anaetakiwa kuombwa ni Muumba pekee, lkn ninyi mmekengeuka mnawaomba wafu ambao kimsingi hawana uwezo wa kuwasikia wala kujibu maombi yenu, angalau basi mgewaomba malaika ambao wana uhai wa milele na wana nguvu za kusikia na kutendea kazi maombi yenu.

Yaani mtu aliyeishi duniani na kutenda mambo kama wewe siku kafariki na pengine hujui hata undani wa maisha yake yalikuwa vipi, eti unamuomba asee, ninyi watu akili zenu zinafanya kazi kweli?

Kiuhalisia hizo sala hazina maana na hazifanyi kazi, mnayaomba mashetani/mizimu ya wazungu inayojigeuza maumbo na kubeba sura za hao wajinga mnaowaita watakatifu then mnapewa maono ya uongo ndotoni ili kuwaaminisha kuwa wafu wana uwezo wa kuwasiliana nanyi.

Achen ujinga, mtu akifa kila kitu kimekwisha, hana uwezo wa kufanya lolote na hana uwezo wa kukuombea wewe maana naye anasubiri hukumu kama wewe uliyehai unavyosubiri hukumu, hivyo hana haki ya kukuombea lolote.

Narudia tena, hayo maono yenu mnayopata na kuwaota hao viumbe, mnaangamiza nafsi+roho zenu, maana mnawasiliana na mashetani, mtu aliyekufa hawezi kuwasiliana nawe kamwe na haiwezekani.

Elimikeni jaman, alafu kuna mambo ni kawaida kutokea wala hayahitaji maombi wala visingio vya Mungu katenda maana ni uhalisia mfano mtu mtu unaomba upate kazi na unapata hilo jambo wala halihitaji visingizio vya maombi maana ni juhudi zako za kuwasilisha uhitaji wako wa kazi sehemu ulizowasilisha nyaraka zako,

Pili mtu anasema kaomba kapona, kitu ambacho kiuhalisia ni kawaida kabisa yaani hata asingeomba bado ungepona tu, ama unaomba ulipwe madeni yako, jambo ambalo hata kiuhalisia ungelipwa na mdaiwa wako baada kumsumbua sana,

Muumba hayahusiki hapo msichezee imani kwa vitu rahisi hivyo, kama kweli maombi yanafanya kazi tunataka majibu ya vitu vigumu, mfano kupona kwa magonjwa sugu/yasiyotibika, au solution la matatizo ambayo kiuhalisia ni magumu kuyasolve.

Wakristo wa sasa wamekuwa wapuuzi sana haswa hawa wafuasi wa romani Church& walokole, akili zao zimejawa ujinga na upuuzi mwingi.

Someni biblia muache kwenda kinyume na mafundisho ya kweli.
 
Na hao wenye dini wanakushangaa na wewe ulivyo mgonjwa wa akili kupenda kutazama mpira,kulewa pombe bar na kufanya yale mengine yaliyo nje ya utaratibu wao wa kidini ambayo yote mvumbuzi wake hakutokana na ukoo wenu wala bara lako la Africa

Sikiza mzee,hii dunia hakuna siku tutafanana kwa kila kitu wewe utaelewa hiki yule ataelewa kile mimi nitaelewa vile alimradi tuna itikadi tofauti tuna uelewa tofauti tunawaza tofauti kila mmoja wetu so relax acha watu wafanye yale wanayoamini as longer as hawajaja kwako kukugongea mlango kukulazimisha ushiriki.
Hivi uwaga mnatumia vigezo gani kumpa utakatifu mtu msiyeujua UTU wake? Alafu mbona huo utakatifu wamejaa wazungu watupu, hakuna chinese, Arabians, Africans, ama Japanese people, na hata kama wapo basi ni wachache saana nao ambao wanafuata mila&desturi za kanisa katolic, kwamba mtu ili awe mtakatifu lazima afuate hizo njia zenu? Na vipi mnapata kibali cha Mungu yupi?

Kuna muda tukitumia akili hizi imani za kipuuzi zinatakiwa kukemewa sana maana zinapotosha uhalisia, karibu % kubwa ya hao mnaita watakatifu walikuwa wahuni na wapuuzi, wanakuja kupewa utakatifu miaka mingi baadae ili kusahaulisha historia zao watu wasiulize maswali.

Ukristo ndio dini pekee yenye uchafu mwingi, yaani kila kanisa/dhehebu linalojiita kumuabudu huyo Elohimu/yesu/elishadai/Mungu, linatenda mambo tofauti na sheria za huyo Mungu, angalau kwa wale wafuasi wa dini ya Uongo ya Muhammad hawana mikanganyiko kama ninyi Fake Christians

Muafrika kufuata dini zilizobaka na kuua babu zako huo ni ujinga/upumbavu.
 
Kuombewa na Watakatifu ni imani ya Wakatoliki, kama vile kuombewa na wachungaji, mitume na manabii kwa Waprotestanti. Kila mtu abaki na imani yake, kila mtu aombewe na anayemuamini 😂😂😂
Unaombaje kwa mtu aliyekufa? Hata kumuomba aliyehai hilo jambo halipo maana si yeye anayeponya tofautisheni mambo, wazungu waliharibu sana akili za waafrika,
 
Unaombaje kwa mtu aliyekufa? Hata kumuomba aliyehai hilo jambo halipo maana si yeye anayeponya tofautisheni mambo, wazungu waliharibu sana akili za waafrika,
Lakini hakuna aliyekuzuia kuabudu mizimu ya kiafrika kama unaona imani ya wazungu inaharibu akili. Mbona unakomalia wengine wawe kama wewe? Si kimya kimya tu ungeupita uzi uanzishe uzi wa dini au kanisa la mwafrika ambalo unaamini haliharibu akili (kama unayo lakini)?
 
Watakatifu wote Mtuombee
Screenshot_20241101-124940.jpg
 
Ajabu sana kuona Muafrika anabishana kama poyoyo kisa dini.
 
Back
Top Bottom