Shida yako wewe ulienda kumjaribu! Hakika huwezi kusikilizwa! Hizo nguvu zinaitwa super natural power ambazo kwa Wakristo Wakatoliki wanaamini ziko kwa Yesu na Watakatifu wake! Waislamu wanaamini ziko kwa Mtume Mohamed (S.A)Kuna mtu humu JF aliwahi kunisogezea hy sala kutokana na changamoto fulani za kikazi, nikafanya kama ilivyotakiwa kufanywa ila nimegonga mwamba
Nilijua tu Kuna sehemu ntakukuta unakichafua 😄Laana ulinipa ww baada ya kukukula au
Kwa mwendo huu,kwa bikira Maria,-Kwisha habari yake!.Mimi niliambiwa na mtu nikabisha kabla hata sijaanza kuisali usiku nikiwa nimelala nikamuona huyo mama kavaa manguo marefu nilishangaa sana
Asubuh nikaenda kununua vitabu viwili vya novena kimoja mtakatifu Rita kingine mtakatifu Philomena
Ile nafika tu nyumban nikatokewa na kasichana kadogo kazuri kananambia kenyewe Nika mtakatifu Philomena
Niliogopa vibaya
Huyo mtakatifu Philomena ni baraa utakuja kunikumbuka ukibeep ana piga mda huo huo tena hakawii dakika hiyo hiyo
Ah sasa c mtu ananiletea mambo ya ajabu 😂Nilijua tu Kuna sehemu ntakukuta unakichafua 😄
Fanya fanya tupate My.Mbaga Jr wa Mamba. Hii ya kwako itajibu maombi mkuku mkuku.Ah sasa c mtu ananiletea mambo ya ajabu 😂
Mpaka sasa ulimwengu umesikia stori ya upande mmoja (upande wa mungu) siku shetani akiamua kuzungumza story yake watu wanaweza wasimuamini tena munguHii ni miongoni mwa kazi za Shetani kuhakikisha anajipatia waumini wengi dhidi ya MUNGU wa MBINGUNI.
Anapambana kuhakikisha kuwa,watu hawaisomi Biblia na hata kuiamini pia,huku akiwajaza mafundisho ya uongo.
Ngoja tuone 😂Fanya fanya tupate My.Mbaga Jr wa Mamba. Hii ya kwako itajibu maombi mkuku mkuku.
😂Mpaka sasa ulimwengu umesikia stori ya upande mmoja (upande wa mungu) siku shetani akiamua kuzungumza story yake watu wanaweza wasimuamini tena mungu
Hiyo ni hila ya Shetani ndugu.Yaani badala ya kuomba Mungu anaombwa mtu mwingine tena. Hii imekaaje RC kuna wakati mnafikirisha sana
Ha ha ha,Wakatoliki wapo Kila sehemu na Kuna sehemu hospitali zao ndio kimbilio na hii ni kwa Maombezi ya Mtakatifu Ritha wa Kashia.Kama hujawahi ipo siku isiyo na jina utajijuta Kanda ya ziwa utaelewa.Ipo siku isiyo na jina utajijuta Kanda ya kusini .Utamshuhudia Mt.Ritha wa kashia hukuSijawahi kutibiwa katika hizi Hospitali wala simjui ndugu yangu aliyewahi kutibiwa huko.
0712412170piga hii nambaKuna mtu humu JF aliwahi kunisogezea hy sala kutokana na changamoto fulani za kikazi, nikafanya kama ilivyotakiwa kufanywa ila nimegonga mwamba
0712412170piga hii namba
Kwa ajili ya ishu gn mkuu0712412170piga hii namba