Nini kinaendelea ndani ya CCM? Nani ni tishio?

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Kuna kitu hakipo sawa ndani ya CCM ya Samia.

Nguvu inayotumika kusema fomu ni moja tu ya mgombea urais mpaka anachangiwa pesa sio ya bure.

Mange alipost matusi ya nguoni kwa Rais kisha akaambiwa afute akafuta. Haijatokea bahati mbaya.

Makonda anasema kuna mawaziri na watu wenye nguvu wanatuma watu wamtukane Rais mitandaoni.

Kuna kitu hakipo sawa, kuna mtu anaeogopwa sana na Rais Samia pamoja na utawala wa sasa.

Je, huyo mtu ni nani?
 
Hivi mgombea wa chadema 2025 ni nani?
 

Si ajikusanyie tu pesa akalee wajukuu, Mbona watu wanapenda stress sana.
 
Just politics,.....

everything within the rulling party, is okay, under full control and outhority of the one and only able leader, Comrade Dr. Samia Suluhu Hassan, The Chairman 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…