imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Bila kupora?! Thubuutuu!!!....Hata tukisema kura zipigwe kesho,tunashinda bila kampeni,nyie simmekalia matusi na kuutana majenerali huko x
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kupora?! Thubuutuu!!!....Hata tukisema kura zipigwe kesho,tunashinda bila kampeni,nyie simmekalia matusi na kuutana majenerali huko x
NdugaiHivi mgombea wa chadema 2025 ni nani?
We tulia,endelea kukipigania chama online,sisi tupo fieldlineBila kupora?! Thubuutuu!!!....
Ndani ya Mioyo Watanzania wamekichoka Chama cha Mapinduzi.We tulia,endelea kukipigania chama online,sisi tupo fieldline
Sayansi ya jamii haipimi mambo kwa namba,wewe umetumia njia gani kuhitimisha mchoko wa watz kwa chama kiongozi Afrika?Ndani ya Mioyo Watanzania wamekichoka Chama cha Mapinduzi.
Huwa napita mara kwa mara hapo Mkambarani nitakuja na Data nilizozikusanya kuanzia Dar Tunduma na Rusumo Dar Namanga Mwanza.Sayansi ya jamii haipimi mambo kwa namba,wewe umetumia njia gani kuhitimisha mchoko wa watz kwa chama kiongozi Afrika?
Wanasubiri mvurugano ndani ya CCM!Hivi mgombea wa chadema 2025 ni nani?
Hapo sasa ndipo kizungumkuti kilipo !!Kuna kitu hakipo sawa ndani ya CCM ya Samia.
Nguvu inayotumika kusema fomu ni moja tu ya mgombea urais mpaka anachangiwa pesa sio ya bure.
Mange alipost matusi ya nguoni kwa Rais kisha akaambiwa afute akafuta. Haijatokea bahati mbaya.
Makonda anasema kuna mawaziri na watu wenye nguvu wanatuma watu wamtukane Rais mitandaoni.
Kuna kitu hakipo sawa, kuna mtu anaeogopwa sana na Rais Samia pamoja na utawala wa sasa.
Je, huyo mtu ni nani?
Duh 🙄 !Kwanini huyu Mwigulu Nchemba anamlipq Mange Kimambi mamilioni ya fedha ili amtukane Rais wetu.
Kwa hiyo????Kuna kitu hakipo sawa ndani ya CCM ya Samia.
Nguvu inayotumika kusema fomu ni moja tu ya mgombea urais mpaka anachangiwa pesa sio ya bure.
Mange alipost matusi ya nguoni kwa Rais kisha akaambiwa afute akafuta. Haijatokea bahati mbaya.
Makonda anasema kuna mawaziri na watu wenye nguvu wanatuma watu wamtukane Rais mitandaoni.
Kuna kitu hakipo sawa, kuna mtu anaeogopwa sana na Rais Samia pamoja na utawala wa sasa.
Je, huyo mtu ni nani?
Fomu ni moja tu ndio utaratibu uliopo tangu zamani !!Endelea ku- type hapa, Ila usiseme kwa sauti huko uraiani
Karibu sana,hii ni Mkambarani ya watanzania na huwa tupo moseka tunajadili hoja,ila utaangusha kajogoo ukiwa unapitaHuwa napita mara kwa mara hapo Mkambarani nitakuja na Data nilizozikusanya kuanzia Dar Tunduma na Rusumo Dar Namanga Mwanza.
Usibahatishe mambo,Kwanini huyu Mwigulu Nchemba anamlipq Mange Kimambi mamilioni ya fedha ili amtukane Rais wetu.
Si Mkambarani hiyo ya Morogoro?Karibu sana,hii ni Mkambarani ya watanzania na huwa tupo moseka tunajadili hoja,ila utaangusha kajogoo ukiwa unapita
Bashite amesema au wewe ni chawa wa huyu Mwigulu Nchemba?Usibahatishe mambo,
🤣 🤣 🤣Just politics,.....
everything within the rulling party, is okay, under full control and outhority of the one and only able leader, Comrade Dr. Samia Suluhu Hassan, The Chairman 🐒
Kazi IPI?Au akaendelee na kazi aliyoisema mange?😂😂