Nini kinaendelea ndani ya CCM? Nani ni tishio?

Nini kinaendelea ndani ya CCM? Nani ni tishio?

Hapa sukuma gang ndiyo wameona wamvuruge mama baada ya kuona chama kiko mikononi mwa watoto wa mjini na hawawezi kupenyeza mtu wao 2025 au 2030.

Walijawa na matumaini sana yule jasiri alipopewa uenezi ,lkn baada ya kuondoshwa wanataka kumwaga mboga.
Mara hii mnawatupia sukuma gang mpira tena?
I thought wote “wametulizwa na wamewezwa? Kumbe bado wananguvu hivyo?!!

Itakuwaje visingizio vikiisha?
 
Alikataa madhambi wala hakuogopa kufutwa uwaziri ....ni Mtumishi wa kwanza kujiuzulu.
Halafu akarudi tena madhambini? Tena kwa hafla kabisa na shati jipya akashona.

Wakati mwingine watu wanajiuzulu kulinda maslahi yao na sio kwa nia ya uwajibikaji.

Wengi walioondoka (na kurejea) CCM wamethibitisha hivyo.
 
Atleast wana thubutu
 
Back
Top Bottom