Nini kinaendelea ndani ya CCM? Nani ni tishio?

Amefeli hafai kuwa rais

IMG-20240409-WA0000.jpg
 
Sayansi ya jamii haipimi mambo kwa namba,wewe umetumia njia gani kuhitimisha mchoko wa watz kwa chama kiongozi Afrika?
Huwa napita mara kwa mara hapo Mkambarani nitakuja na Data nilizozikusanya kuanzia Dar Tunduma na Rusumo Dar Namanga Mwanza.
 
Kuna kitu hakipo sawa ndani ya CCM ya Samia.

Nguvu inayotumika kusema fomu ni moja tu ya mgombea urais mpaka anachangiwa pesa sio ya bure.

Mange alipost matusi ya nguoni kwa Rais kisha akaambiwa afute akafuta. Haijatokea bahati mbaya.

Makonda anasema kuna mawaziri na watu wenye nguvu wanatuma watu wamtukane Rais mitandaoni.

Kuna kitu hakipo sawa, kuna mtu anaeogopwa sana na Rais Samia pamoja na utawala wa sasa.

Je, huyo mtu ni nani?
Hapo sasa ndipo kizungumkuti kilipo !!
 
Kwa hiyo????
 
Back
Top Bottom