Nini kinaendelea ndani ya CCM? Nani ni tishio?

Umeiona ya Mange ya leo? Acha hili lichama life tu....
 
Tishio alikuwa Membe na Lazaro Nyalandu waliobaki wote ni Vyawa tu.
 
Hapa sukuma gang ndiyo wameona wamvuruge mama baada ya kuona chama kiko mikononi mwa watoto wa mjini na hawawezi kupenyeza mtu wao 2025 au 2030.

Walijawa na matumaini sana yule jasiri alipopewa uenezi ,lkn baada ya kuondoshwa wanataka kumwaga mboga.
 
Just politics,.....

everything within the rulling party, is okay, under full control and outhority of the one and only able leader, Comrade Dr. Samia Suluhu Hassan, The Chairman 🐒
Wamemaliza UPINZANI sasa wamepwaya.......acha walimane mapanga.
 
Hapo naona tatizo. Unatukana, Mtumba anasema futa anafuta why. Hapo kuna harufu ya ubia au ushirika. Mbona matusi ya nguoni anayoandika huyo mama hakemei Waikato uwezo anao
 
Nani alimwambia afute?
Yule akipost matusi huwa baada ya muda anafuta haijalishi kamtukana msanii au nani.
Kuna mtu Naona ataka kuwauzia kesi wenzake waonekane ndio wala njama tu
 
Huyo mtu ni Chadema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…