Coach Slamah Hamad JF-Expert Member Joined Nov 12, 2014 Posts 3,740 Reaction score 4,938 Apr 14, 2024 #81 G4N said: Hapa sukuma gang ndiyo wameona wamvuruge mama baada ya kuona chama kiko mikononi mwa watoto wa mjini na hawawezi kupenyeza mtu wao 2025 au 2030. Walijawa na matumaini sana yule jasiri alipopewa uenezi ,lkn baada ya kuondoshwa wanataka kumwaga mboga. Click to expand... Mara hii mnawatupia sukuma gang mpira tena? I thought wote “wametulizwa na wamewezwa? Kumbe bado wananguvu hivyo?!! Itakuwaje visingizio vikiisha?
G4N said: Hapa sukuma gang ndiyo wameona wamvuruge mama baada ya kuona chama kiko mikononi mwa watoto wa mjini na hawawezi kupenyeza mtu wao 2025 au 2030. Walijawa na matumaini sana yule jasiri alipopewa uenezi ,lkn baada ya kuondoshwa wanataka kumwaga mboga. Click to expand... Mara hii mnawatupia sukuma gang mpira tena? I thought wote “wametulizwa na wamewezwa? Kumbe bado wananguvu hivyo?!! Itakuwaje visingizio vikiisha?
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Apr 14, 2024 #82 Coach Slamah Hamad said: Lazaro huyu huyu wa Singida? Alitisha kwenye nini hasa? Click to expand... Alikataa madhambi wala hakuogopa kufutwa uwaziri ....ni Mtumishi wa kwanza kujiuzulu.
Coach Slamah Hamad said: Lazaro huyu huyu wa Singida? Alitisha kwenye nini hasa? Click to expand... Alikataa madhambi wala hakuogopa kufutwa uwaziri ....ni Mtumishi wa kwanza kujiuzulu.
Coach Slamah Hamad JF-Expert Member Joined Nov 12, 2014 Posts 3,740 Reaction score 4,938 Apr 14, 2024 #83 Bush Dokta said: Alikataa madhambi wala hakuogopa kufutwa uwaziri ....ni Mtumishi wa kwanza kujiuzulu. Click to expand... Halafu akarudi tena madhambini? Tena kwa hafla kabisa na shati jipya akashona. Wakati mwingine watu wanajiuzulu kulinda maslahi yao na sio kwa nia ya uwajibikaji. Wengi walioondoka (na kurejea) CCM wamethibitisha hivyo.
Bush Dokta said: Alikataa madhambi wala hakuogopa kufutwa uwaziri ....ni Mtumishi wa kwanza kujiuzulu. Click to expand... Halafu akarudi tena madhambini? Tena kwa hafla kabisa na shati jipya akashona. Wakati mwingine watu wanajiuzulu kulinda maslahi yao na sio kwa nia ya uwajibikaji. Wengi walioondoka (na kurejea) CCM wamethibitisha hivyo.
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Apr 14, 2024 #84 Coach Slamah Hamad said: Halafu akarudi tena madhambini? Tena kwa hafla kabisa na shati jipya akashona. Wakati mwingine watu wanajiuzulu kulinda maslahi yao na sio kwa nia ya uwajibikaji. Wengi walioondoka (na kurejea) CCM wamethibitisha hivyo. Click to expand... Atleast wana thubutu
Coach Slamah Hamad said: Halafu akarudi tena madhambini? Tena kwa hafla kabisa na shati jipya akashona. Wakati mwingine watu wanajiuzulu kulinda maslahi yao na sio kwa nia ya uwajibikaji. Wengi walioondoka (na kurejea) CCM wamethibitisha hivyo. Click to expand... Atleast wana thubutu
Coach Slamah Hamad JF-Expert Member Joined Nov 12, 2014 Posts 3,740 Reaction score 4,938 Apr 14, 2024 #85 Bush Dokta said: Atleast wana thubutu Click to expand... Hawathubutu. Ni wataalamu wa Unafiki so wanathibitisha uhalisia wao.
Bush Dokta said: Atleast wana thubutu Click to expand... Hawathubutu. Ni wataalamu wa Unafiki so wanathibitisha uhalisia wao.