Nini kinakufanya ugeuke nyuma baada ya kupishana na mdada mzuuuuuri?

Aise usiombe demu mwenye makebo makubwa apite kwa Kasi pembeni yako uone kama hautavunjika shingo.
Hahahaaaa juzijuzi kuna mdada kavaa dela limeshikana na makebo hata nguo ya ndani hakuna, aisee nilijikuta nabadili gear ya kutembea mwenyeweee
 
Hahahaaaa juzijuzi kuna mdada kavaa dela limeshikana na makebo hata nguo ya ndani hakuna, aisee nilijikuta nabadili gear ya kutembea mwenyeweee
Oyaa! Ukiwa mtumkshi wa mungu bora ununue tu miwani ya mbao Ili usiwe unashuhudia makebo.
 
Mimi nikipishananaye tu, chapu na haraka naanza
Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa kitu, huku unachungulia kama umekanyaga ka mwiba nyuma kumbe unavunga tu!
bora wew wengine hatujuwi kuvunga akiwa mzuri anafatwa kuobwa sadaka
 
Kuconfirm kama tako la haja. Coz unakuta sura ya uso ni baba dan saut n ya wema spatu tembea n ya binti maringo sasa ili kujua kama ni liz lazma uangalie what her mama gave her to shake. Leo sijapga nyago.
 
umeshasema baada ya kupishana na mdada mzuuuuuri....unataka jibu gani tena?
 
Binafsi naona hata wanyama anageuka..
Tena wao huvuka mipaka mpaka kwenda kuinusa kabisa! 😂
 
Mweshimiwa sana hapa Ayubu 31:1 haimaanishi “usimwangalie mwanamke kabisa.” Hoja ya Ayubu ni kuhusu nidhamu ya macho na moyo, hasa kutokuruhusu kumwangalia mwanamke kwa tamaa au kumgeuza kuwa kitu cha kutamaniwa. Kwa hiyo kuna tofauti kati ya:
  • Kumwona mtu — jambo la kawaida, huwezi kutembea mjini ukiwa umefumba macho.
  • Kumwangalia kwa makusudi kwa tamaa — hapo ndipo Ayubu anaweka mpaka.
  • Kumwona msichana mzuri na kutambua kwamba ni mzuri — si sawa moja kwa moja na kufanya dhambi.
  • Kuendeleza kumkodolea macho na kujenga tamaa moyoni — hapo ndipo suala la Ayubu 31:1 linakuwa na uzito.
Na kuhusu binti zake kuwa wazuri, hilo halipingani na mstari huo. Ayubu hakusema uzuri wa mwanamke ni tatizo; alizungumzia mwenendo wake mwenyewe wa macho. Kwa hiyo huyo anayesema, “nikipishana na mdada mzuri najikaza simwangalii, naimba Zaburi 23,” anaweza kuwa ameichukua aya hiyo kwa kiwango cha juu zaidi kuliko inavyohitajika. 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…