Nini kinakukera na kukukwaza kutoka miongoni mwa wanachama wa JF?

Kitu gani hukufanya ujiskie kero au ujiskie vibaya ukiwa humu jukwaani, achilia mbali maoni na mitazamo tofauti na yako kutoka kwa miongoni mwa wana JF 🐒
Vifuatavyo hunikera hapa JF;
1)Komenti ama mada za kidini ama udini.
2)Ukabila.
3)Kuwepo wanachama wa upinde.
4)Kuisifia CCM ama serikali ya awamu ya 6 ya mama kizimkazi.
 
Wewe mtu akikufanyia ubaya nyamaza ili ajione mjanja kumbe ni mpumbavu tu! Ya kwako yanakuendea vizuriiiii🤸
Wapi Deeeeeeeeejjjjjjjjayyyy 🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️!

Huu uzi umenikumbusha uzi wa Nichane day ule uzi hadi ulifungwa😊!!


Hebu nikasonge yugali kwanza walai
🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️

Leo ulikodamkiaaa 👍👍👍👍👍👍👍!

Santo sana

Cc Smart911
 
Huyo alikuwa na matatizo mengine na wala haiwezi kuwa comment yako.
 
bila tag ya mesej tumebebishana ni uongo,,,sema kwenda nje ya mada apo nakubali ila kubebishana😄😄🙌🏾UONGOOOOO,,kwanza saivi tumepoa sieee
Ndio huko huko kuchat sana kila uzi mnapoteza flow bana, huku chit chat ndio kwenyewe muwe mnakuja huku mchatiiii hadi mtoke jasho....ila majukwaa mengine inakua kero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…