Nini kinakuvutia zaidi katika simu janja(smartphones) kutoka kampuni ya Samsung?

Aloo mimi kwenye kila application nmei double moja ipo kawaida nyingine secure folder yaan ni ina save
Ila hyo ya Key sijaipata vzur mkuu
 
Hizo Features zote hazipatikani kwenye A Series halafu S na Note Series Ambapo ndo zinapatikana napo Betri Majanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo ndo ninapochanganyikiwa kununua Samsung! ukitaka Battery chukua A Series ila sasa Ule unyama Haupo huko [emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297] Ukitaka Unyama Basi Battery Manyanyaso labda uwe na kuanzia S10
 
Hata S zipo zinazokaa na chaji cha muhimu angalia tu reviews kabla hujanunua. Mfano s20 haikai sana na chaji ila S20 FE inakaa sana na chaji.
 
Wale wa S10 tunyooshe mikono🤚
 
Kuna wakati hata reviews hazina sana msaada.

Settings na matumizi ya simu yanachangia sana kwenye battery health.
Inategemea na review kila mtu ana benchmark yake linganisha.

Gsmarena anapima browsing, call time, standby na video watching,

Notebookcheck anapima load at full brightness, browsing na video watching

Phonearena wanapima streaming kama netflix na mixed usage nyengine,

Golden reviewer yeye anapima ukiwa unacheza online game etc.

Ukipitia reviews mbalimbali unapata full picture.
 
Hata S zipo zinazokaa na chaji cha muhimu angalia tu reviews kabla hujanunua. Mfano s20 haikai sana na chaji ila S20 FE inakaa sana na chaji.

nakubaliana na wewe mkuu. nina hii s20FE nilimpa Mrs. ikiwa mpya kabisa nilinunua Tigoshop ikiwa Mpya kabisa inakaa na moto hatari sana.

imagine hapo katoka nayo kazini toka asubuhi na mudo wote akiwa kazini inakuwa connected na Wifi na mixed usage lakini till this evening bado ipo MswanoView attachment 2452034
 

simu kubwa za samsung kwa sasa zinakaa na charge,sio kama s4 za miaka hiyo masaa 2 simu ina 25%.

nimetumia note 20 ultra ilikuwa inamaliza masaa 9 onscreen.
 
Camon 19
 

Attachments

  • Screenshot_20221220-153644.jpg
    48.9 KB · Views: 32
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…