Nini kinakuvutia zaidi katika simu janja(smartphones) kutoka kampuni ya Samsung?

Umefafanua kwa uzur saaan asee
 
Big up chief umemaliza
 
Aseries kuanzia A32 kupanda jui zipo hizo secure folder, smart lock n.k
 
nimepata changamoto moja, nina Samsung A32 juzi iliniletea update ya androin 13 UI 5 lakini baada ya kumaliza ilivyo restart navigation button zote tatu hazifanyi kazi. ingawa zipo.
ushakutana na hili tatizo kwenye samsung?
 
Asante sana hiyo fold 4 hata mie haijanivutia labda hiyo flip, iphone napenda hiyo 13, mie si mjuzi sana wa hizi ishu za simu, itakayonifikia nitapokea ukitegemea ni zawadi nk
 
nimepata changamoto moja, nina Samsung A32 juzi iliniletea update ya androin 13 UI 5 lakini baada ya kumaliza ilivyo restart navigation button zote tatu hazifanyi kazi. ingawa zipo.
ushakutana na hili tatizo kwenye samsung?
umejaribu kwenda setting then display kwenye gesture ukacheza nazo? siku hizi android ina option either kutumia njia ya zamani ya button 3 za navigation ama kutumia gesture.
 
ni

nimejaribu kubadili style lakini imegoma kabisa, hivi nikiformat itabakia kwenye android 13 au itarudisha iliyokuja na simu? maana ilikuwa na version 12 wakati nanunua julai.
 
ukiformat inabaki 13

je ukitumia gesture (ku swipe kutokea chini) inafanya kazi?
 
S/G Tab S7Fe..
Battery..10090mAh..[emoji95]
Kwa kuwa me ni mpenda kuandika andika ..
Pre installed Noteshelf is my favourite app..
Ikifuatiwa Samsung Notes..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…