Nini kinakuvutia zaidi katika simu janja(smartphones) kutoka kampuni ya Samsung?

Mimi napenda hii Secret Mode ya kwenye Samsung Internet
Unaturn secret mode on, unatengeneza password yako halafu inakupeleka kwenye internet sasa, unasearch mambo yako ya ovyo, unaangalia wee mpaka unachoka mwenyewe na ukimaliza history inajifuta yenyewe. Hakuna mtu mwingine anayeweza kuingia kwenye Secret Mode yako mpaka ajue password, tena ikiwezekana tia password ambayo hakuna mtu anayeweza kubahatisha mfano "PENTEKOSTE" hamna mtu atabahatisha hii password[emoji23][emoji23]
Ndani ya Secret Mode unafanya ushetani wako wote hata ukikaribia kukamatwa unarudi fasta Home screen, then tayari upo salama 100%. Ukiingia tena Samsung Internet unaikuta ipo kwenye safe internet page ya kila siku[emoji23][emoji23]
Secret Mode inaficha madhambi ya wengi sana[emoji38][emoji38]
 
Mkuu mambo vipi..

Kwa budget ya 600k-800k, simu gani kali ya kuishi nayo
 
Mkuu mambo vipi..

Kwa budget ya 600k-800k, simu gani kali ya kuishi nayo
Simu ambayo inapatikana Kirahisi ni Samsung galaxy A33, around 650k ukitafuta vizuri unaipata.

Zipo simu nzuri zaidi kuliko A33 sema inabidi utafute vizuri kama Samsung Galaxy A52S, Xiaomi 11 lite 5G NE, Realme GT master etc, ila A52s iwe priority kama unatafuta simu ambayo ina quality kila idara.

Kama perfomance kwako ni muhimu kushinda vyote tafuta Simu ya Dimensity 8100 kama Poco X4 GT ama Oneplus Ace racing edition.
 
Bado ujui samsung wewe unyama ni mwingi mno sio A wala s wala note pote ni unyama tu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mkuu nitajie simu ya toleo la A ambayo ina hizo future zote tajwa hapo juu maana mimi pia ni mhanga nataka tumia toleo la Samsung lakini ambayo naweza imudu kwa gharama Toleo la A. , S na Note changamoto chaji na bei kama hio mote 9 na s10 ziko poa sio mbaya betri4000 kwa 4500 mah nitajie hizo toleo za A zenye hizo future mkuu nilikuwa nasherehesha kwanza [emoji23][emoji23]
 
Yes
 
Ila we jamaa, pa kufanya ushetani ndo unaandika pentekoste πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† daah!
 
Hii simu nilikuwa naipenda ila baada ya kuishika ndo upendo wote ukapungua kisa huo mstari wa katikati, Ukiifunga inakuwa nene ila kwangu sio shida isipokuwa huo mstari wa katikati unakera.
Nimeona kama Xiaomi Mix Fold 2 haina mstari kama huo
 
Hii simu nilikuwa naipenda ila baada ya kuishika ndo upendo wote ukapungua kisa huo mstari wa katikati, Ukiifunga inakuwa nene ila kwangu sio shida isipokuwa huo mstari wa katikati unakera.
Nimeona kama Xiaomi Mix Fold 2 haina mstari kama huo
Inatofautiana hio Mistari, ila kwa Flagship Binafsi Ngumu kupata Overall Device nzuri kushinda za Samsung.
 
Inatofautiana hio Mistari, ila kwa Flagship Binafsi Ngumu kupata Overall Device nzuri kushinda za Samsung.
Yeah, but sometimes zinapatikana, It's only a matter of time. Mwaka huu Samsung ameshaachia flagship yake mapema tu. Si rahisi mwaka uishe bila wenzake kuja kumpindua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…