Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma comments ili zije kukupa muongozo[emoji23][emoji23]Nasoma comments...
Kwa akili zangu za kunyonyoa kuku najua inafanya kazi kama google lens tu.Bixby ni nini hivi, naomba muongozo wakuu.
Mkuu mambo vipi..Fold 4 ni ile simu ya kukunjua kama Kitabu,
![]()
![]()
Inakua na vioo viwili cha ndani na cha nje, cha ndani ndo hicho cha kufungua kinakuwa kikubwa kama Tablet na cha nje ndo kinakuwa kama cha kawaida.
Bei zake zinakuwa zimesimama kupita maelezo, milioni 4 mpaka 5.
Sema zipo Flip ambazo bei ni za kawaida kama flagship nyengine around 2m. Flip ipo hivi.
View attachment 2458955
Kwa wadada ambao hawana matumizi na kioo kikubwa na wanapenda Fashion Flip ina make sense zaidi.
Hizi ni Flagship vitu kama Camera, Perfomance, na hardware nyengine Quality ni kubwa ila ukaaji chaji ni average.
Kuhusu Iphone 14 plus unless unaipata bei rahisi ni vyema kununua Iphone 13 pro max, iphone 14 ambazo sio pro hawaku upgrade soc na zinamiss feature nyingi.
Bei zake hizi nazo ni around 2.5m
Simu ambayo inapatikana Kirahisi ni Samsung galaxy A33, around 650k ukitafuta vizuri unaipata.Mkuu mambo vipi..
Kwa budget ya 600k-800k, simu gani kali ya kuishi nayo
Mkuu nitajie simu ya toleo la A ambayo ina hizo future zote tajwa hapo juu maana mimi pia ni mhanga nataka tumia toleo la Samsung lakini ambayo naweza imudu kwa gharama Toleo la A. , S na Note changamoto chaji na bei kama hio mote 9 na s10 ziko poa sio mbaya betri4000 kwa 4500 mah nitajie hizo toleo za A zenye hizo future mkuu nilikuwa nasherehesha kwanza [emoji23][emoji23]Bado ujui samsung wewe unyama ni mwingi mno sio A wala s wala note pote ni unyama tu.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hera ngapi mkuu ulinunuaAseee mimi natumia Samsung galaxy A04s ni balaa inakaa na chaji hadi inaboa ipo full security RAM 8 GB 128 aseee Samsung ipo juuu sana
YesKuna hii inaitwa pop up view yaani unaangalia video huku unaendelea kufanya mambo yako kama mimi hapa nipo jamiiforums still kuna video inaplay pale juu mini screen,napenda sana throwbacks nikiwa nachat au kuingia jamiiforums ni lazima niplay video ya throwback hiyo ni mary J blige "be without you"
View attachment 2450584
Katika maisha yako andika historia ya leo umesaidia mtu kuboresha maisha yake
Ila we jamaa, pa kufanya ushetani ndo unaandika pentekoste 😆😆😆😆 daah!Mimi napenda hii Secret Mode ya kwenye Samsung Internet
Unaturn secret mode on, unatengeneza password yako halafu inakupeleka kwenye internet sasa, unasearch mambo yako ya ovyo, unaangalia wee mpaka unachoka mwenyewe na ukimaliza history inajifuta yenyewe. Hakuna mtu mwingine anayeweza kuingia kwenye Secret Mode yako mpaka ajue password, tena ikiwezekana tia password ambayo hakuna mtu anayeweza kubahatisha mfano "PENTEKOSTE" hamna mtu atabahatisha hii password[emoji23][emoji23]
Ndani ya Secret Mode unafanya ushetani wako wote hata ukikaribia kukamatwa unarudi fasta Home screen, then tayari upo salama 100%. Ukiingia tena Samsung Internet unaikuta ipo kwenye safe internet page ya kila siku[emoji23][emoji23]
Secret Mode inaficha madhambi ya wengi sana[emoji38][emoji38]
Ni kuongeza usalama tu mkuu[emoji23][emoji23]Ila we jamaa, pa kufanya ushetani ndo unaandika pentekoste [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] daah!
Haha kwann chief😄😄Katika maisha yako andika historia ya leo umesaidia mtu kuboresha maisha yake
Kitu kidogo tu kama kuweka fingeprint na pattern au pin ni usumbufu tu samtaimu.Haha kwann chief😄😄
Nakubal san chief lazm tupeane ABCKitu kidogo tu kama kuweka fingeprint na pattern au pin ni usumbufu tu samtaimu.
Mi nilikuwa sijui hicho kitu
Hii simu nilikuwa naipenda ila baada ya kuishika ndo upendo wote ukapungua kisa huo mstari wa katikati, Ukiifunga inakuwa nene ila kwangu sio shida isipokuwa huo mstari wa katikati unakera.Fold 4 ni ile simu ya kukunjua kama Kitabu,
![]()
![]()
Inakua na vioo viwili cha ndani na cha nje, cha ndani ndo hicho cha kufungua kinakuwa kikubwa kama Tablet na cha nje ndo kinakuwa kama cha kawaida.
Bei zake zinakuwa zimesimama kupita maelezo, milioni 4 mpaka 5.
Sema zipo Flip ambazo bei ni za kawaida kama flagship nyengine around 2m. Flip ipo hivi.
View attachment 2458955
Kwa wadada ambao hawana matumizi na kioo kikubwa na wanapenda Fashion Flip ina make sense zaidi.
Hizi ni Flagship vitu kama Camera, Perfomance, na hardware nyengine Quality ni kubwa ila ukaaji chaji ni average.
Kuhusu Iphone 14 plus unless unaipata bei rahisi ni vyema kununua Iphone 13 pro max, iphone 14 ambazo sio pro hawaku upgrade soc na zinamiss feature nyingi.
Bei zake hizi nazo ni around 2.5m
Inatofautiana hio Mistari, ila kwa Flagship Binafsi Ngumu kupata Overall Device nzuri kushinda za Samsung.Hii simu nilikuwa naipenda ila baada ya kuishika ndo upendo wote ukapungua kisa huo mstari wa katikati, Ukiifunga inakuwa nene ila kwangu sio shida isipokuwa huo mstari wa katikati unakera.
Nimeona kama Xiaomi Mix Fold 2 haina mstari kama huo
Yeah, but sometimes zinapatikana, It's only a matter of time. Mwaka huu Samsung ameshaachia flagship yake mapema tu. Si rahisi mwaka uishe bila wenzake kuja kumpinduaInatofautiana hio Mistari, ila kwa Flagship Binafsi Ngumu kupata Overall Device nzuri kushinda za Samsung.